njaa

Nee Ko Njaa Cha (acronym of Ninnem Kollum Njaanum Chavum) (English:Kill you, then Kill Myself) is a 2013 Indian Malayalam comedy thriller film written and directed by Gireesh. The story, set in Kochi and Goa, follows the lives of three friends played by Sunny Wayne, Sanju and Praveen Anidil. Poojitha Menon, Sija Rose, Rohini Mariam Idicula and Parvathy Nair form the female leads. Shooting was carried out in Goa and some shots in Kochi.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania ✍️ MTAZAMO: Mimi ni Muumini wa Maandamano, lakini Sitakuwa "Chambo" cha Wanaharakati Njaa

    Tunapoelekea kutimiza mwaka mmoja tangu tuondokowe na mashujaa wetu tunatakiwa kutathmini makundi haya ya wanaharakati wa mitandaoni. Kama raia ninayeamini katika mabadiliko, haki, na uwajibikaji, siku zote nitakuwa tayari kuunga mkono sauti yoyote halali inayopaza sauti dhidi ya changamoto za...
  2. Red black

    JamiiForums Tanzania Tafiti; 90% ya waJF wana maisha mazuri sio njaa kali.

    Utafiti unaonyesha 90% ya members wa Jf wana good life sio njaa kali.. Wengi wako uchumi wa juu na wachache uchumi wa kati.
  3. R

    JamiiForums Tanzania Shibe mwanaharamu, njaa mwana malegeza vyote anavyo

    Jalalani, ameshasahau alivyojidhalikisha kwenye uso wa dunia! Mjinga ndiye atamsikiliza
  4. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Traffic wa Ulanga Mna njaa sana! Sema mmenikuta Tarehe za Mshahara, Money Talks!

    Kuna Hawa matrafiki wa Ulanga, Morogoro, especially wanaokaa mara tu baada ya Kuvuka Daraja la Kilombero (kivukoni) ukitokea Ifakara. Either warudi kozi wakasome mishahara ipande, au wajishughulishe na kilimo cha Mpunga, wanaomba hadi aibu. Kuna kazi ni kujiaibisha, baba kaenda kazini, kumbe...
  5. Tochuku

    JamiiForums Tanzania Ni njaa ama kukosa akili, kabila Gani Tanzania linapigia mwanamke magoti? Nimesikia aibu sana 🚮

    Labda mniambie wajuvi ambao mnajua jamii nyingi za kitanzania na makabila mbalimbali tamaduni zao Na utu uzima wangu huu ni wapi, ambapo mwanaume anamsujudia mwanamke? Tunaacha kumpigia magoti Mungu alieumba Dunia hii tunampigia magoti mwanadamu? Yan na wewe umekaa kwenye kiti umejitanua kabisa...
  6. Red black

    JamiiForums Tanzania Hii picha inaongea mengi sana halafu just imagine kuna watu hawajui njaa ni kitu gani

  7. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Card B; Siwezi kumpikia mwanaume kama una njaa si uagize

    Rapa machachali wa Marekani, Cardi B mwenye watoto wanne, ameweka msimamo wake wazi kabisa kwamba kwasasa hawezi kabisa kumpikia wanaume, na akiwa na njaa anaweza kuagiza chakula kupitia Uber Eats. Kauli yake imezua mjadala mkubwa mtandaoni kwa kasi, huku baadhi ya watu wakiiona kama ishara...
  8. BOB LUSE

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wachache sana Wana Conviction,wengi siasa ni kutaka vyeo na kuganga njaa!

    Ukiuliza Wanasias wengi,Vyama vyote, Kipi unakisimamia Moyoni Mwako? Jambo gani umeweza kulisimamia kama Mwanasiasa katika Maisha yako bila kuyumba utakosa majibu! Ukisikia wanasiasa wanaongea vitu kinyume,lakini vinavyobeba Maslahi yao! Ili waonekane Machawa wapate teuzi. Wanayosema...
  9. Dr. Mariposa

    JamiiForums Tanzania Siwezi kulala njaa inauma, nipo ugenini

    Guys nipo mkoa fulani sasa mchana nilikula ugali nikaleta zile mbwembwe za Dar za sili usiku zaidi ya matunda tu, Sielewi nini kimetokea ila njaa inaniuma siwezi kulala na siwezi kutoka kutafuta chakula wala sina mtu ninayemjua nimuagize, Tumbo linaunguruma, baridi kali kuna vibiscuti wala...
  10. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Isaya Yunge awakwepa Wadangaji lia-lia (wapiga vizinga, njaa kali) Bongo!

    Mwamba kakwepa kiunzi cha wadangaji wa bongo njaa kali. Kaenda kwenye ufalme wa maziwa na asali, familia bora ya Ruto. Poleni sana wadangaji lia-lia
  11. M

    JamiiForums Tanzania Sioni Mwanasiasa wa Kuwapambania Wananchi. Wengi ni Wazee Waliojichokea na Madingi wenye Njaa.

    Nimeziona picha zilizotumwa mtandaoni zikiwaonyesha viongozi wa vyama vya siasa waliokua wakimsikiliza Samia, ama kwa hakika ni aibu na hawatii matumaini kwa Tanzania ijayo. Yani ule ukumbi ulipwaya, ni kama ombaomba walikua ukumbini wanamsikiliza Samia. Mwingine sijui kapigwa stroke kapona...
  12. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Wakati Wakulima wa Tanzania Wakilia Kuporomoka Kwa bei za Mahindi,Huko Uganda Watu 16 waripotiwa kufariki Kwa njaa kisa ukame.

    My Take Kama mahindi yamejaa kwenye maghala ya NFRA basi wapeleke Msaada Uganda harafu wanunue ku restock upya Ili kusaidia wakulima kabla hawajashindwa kulima mwakani. Usalama wa chakula unategemea incentives Kwa mkulima mdogo kuweza kuendelea kulima na hii inategemea bei ya mazao. Kwa Sasa...
  13. MFALME WETU

    JamiiForums Tanzania Mtu unanuka njaa, bado unataka watu wakupigie simu. Ili iweje?

    Ciao, Huwa inashangaza sana kukuta mtu analalamika kuwa circle yake imemtenga kwa namna moja au nyingine baada ya kuyumba kiuchumi. Unakuta mwanaume mzima analia eti fulani sikuiz hanitafuti kabisa kisa nimefulia, bro? Sasa akutafute ili iweje? Come on. Mimi nakumbuka enzi izo najitafuta...
  14. kavulata

    JamiiForums Tanzania Chadema njaa tayari, wanagombea maokoto; wanadai ruzuku ya 500m kutoka serikali wasiyoitambua

    Taaayari!!!! Jamaa wamezimana maokoto, Heche kawazidi wenzake ujanja, kala tonetone na za wafadhili walioingiza fweza kwenye account yake binafsi. Na Mnyika anadai wapewe ruzuku ya sh. 500m serikalini, serikali ambayo wanasema ni haramu na hawaitambui. Heche hajui kwamba chadema ni saccos ya...
  15. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Hii video sio ya wagonjwa wakiletwa hospital bali ni mateka waliokuwa chini ya magaidi wa fulani kwa siku 67. Waliteswa, kubakwa na kushindishwa njaa

    Watekwa wakiwa kanisani na pastor wao aliuliwa huku wao wakichukuliwa mateka.
  16. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Nsunu kanyoko wena njaa!

    Nsunu kanyoko wena njaa,kwa tulioishi kidogo south africa,maana yake ni,""Hatutajali chochote,au liwalo na liwe,kwa lugha za kuko kwao, Kama kuna watanzania tafadhalini rudini tu hawa jamaa hawana utu tena,3 day left ,kabla ya tarehe ya mwisho #JUNE 30.
  17. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Mishangazi ya siku hizi ina njaa balaa

    Tofaut na zaman ambapo ilizoeleka mishangazi inajiweza kiuchumi. Kwa sasa mishangazi mingi midangaji tu. GenZ stuka usipoteze nguvu kwenye show za mishangazi. Bora upige punyere tu. Utunze kibunda.
  18. B

    JamiiForums Tanzania Sio kwamba Ukiachia hiyo Ajira Utakonda au utakufa njaa, ni Hofu tu

    Kwenye haya maisha kuna vitu huwa tunajitia wasi wasi na mashaka, mwisho wa siku unakuta mtu anahangaika Kuanzia ujana hadi uzeeni yeye ni wa kuamka saa kumi na moja kurudi saa mbili usiku. Cha maana anachofanya zaidi Sana ni kula, kulala, kujenga nyumba baasi. Sio kwamba hayo Mateso ukiyaacha...
  19. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Leo sitasikia njaa kabisa ......

  20. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Hivi hili tatizo la njaa Afrika hatuwezi kulimaliza sisi wenyewe?

    Mara nyingi tunaona nchi kama Sudan South Sudan Chad Somalia Burundi Madagascar And some parts of Nigeria Kenya Ethiopia Kila mwaka lazima usikie kutoka hizi nchi kuwa millions wanaface hunger. Kwa nini AU wasijadili jinsi ya kumaliza hili tatizo? Mfano Tanzania huku huwezi kusikia...
Back
Top Bottom