ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 1,964
- 3,895
Moja kati ya mabwawa makubwa kuwahi kutokea Africa mashariki, man made lake , the Stiglers Gorge dam, au bwawa la Mwalimu Nyerere au Ziwa Nyerere kutokana na ukubwa wake.
Bwawa hili mpaka kujaa linatakiwa kufika MITA 186 kutoka usawa wa bahari, Cha ajabu pamoja na mageti kufungwa December 2022 mpaka Leo ujazo umefikia MITA 166.6. Nashangaa kwanini bwawa halijai haraka na Sasa hivi tumepata mvua nyingi kuliko kawaida. Je maji yanafunguliwa ni mengi sana.
Kwanza maji yamejaa lakini ukiangalia Google map and satellite huoni , wakati mabwawa mengine kama mtera unaona maji yalivyojaa, au ni mambo ya AI( akili bandia) tunatengenezewa na vijana.
Serikali lazima itoe ajibu maji ya mvua zinazonyesha yanaenda wapi