atm

ATM usage fees are the fees that many banks and interbank networks charge for the use of their automated teller machines (ATMs). In some cases, these fees are assessed solely for non-members of the bank; in other cases, they apply to all users.
Two types of consumer charges exist: the surcharge and the foreign fee. The surcharge fee may be imposed by the ATM owner (the deployer or independent sales organization) and will be charged to the consumer using the machine. The foreign fee or transaction fee is a fee charged by the card issuer (financial institution, stored value provider) to the consumer for conducting a transaction outside of their network of machines in the case of a financial institution.

View More On Wikipedia.org
  1. Nyoka kibisa

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi wanaotumia ATM machine kutoa pesa bado hawajui huduma ya kugusa kadi (NFC Reader) kutoa pesa wamezoea njia ya kuchomeka kadi

    Ukienda benki upande wa ATM mashine kati ya wateja 10 wanaotaka kutoa pesa, labda mteja moja ndio anaweza kutumia huduma ya contactless card reader. Kwani bado watu hawajui kuwa pia unaweza kutoa pesa kwenye ATM bila kuingiza kadi yako kwenye card slot kwani wengi wamekuwa wakilalamika kadi zao...
  2. idiomer

    JamiiForums Tanzania ATM zimepatwa na nin?

    NMB au ndio kama CRDB kipindi kile?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wiki nzima NMB, Atm na Nmb mkononi hazifanyi kazi.

    Nmb hawachukui hatua yoyote kusaidia wateja wao. Kama mtu umesahau kadi na uko safarini inakula kwako. Nmb mnafeli wapi?
  4. O

    JamiiForums Tanzania Ukitoa pesa ATM ya NMB ni chafu sana kuliko bank zingine why ni kama umerudishiwa change na muuza mkaa

    Eti NMB PESA ZENU HAMSAFISHI zimeenyooka ila ni chafu yaani kama karatasi zilizochakaa Hizo zote zimetola kwenye ATM bora hata kwa wakala Nb zinafanya kazi yake nimekerwa tu kukaa na maharasi machafu
  5. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Elfu 5 ni hela kubwa sana kwa maisha ya Mtanzania. Kwanini Bank zinaidharau, na kima cha chini kutoa ATM kiwe Elfu 10?

    Kuna kazi viwandani malipo ni Elfu 5 kwa siku. Na hiyo Elfu 5 mtu anaweza fanya shopping kubwa na kula ata siku 2. Sasa mtu unaenda ATM una balance ya 48,000/= unatakiwa utoe Elfu 40 na kuicha Elfu 8 waibutue butue ndani ya week. Sio fair kabisa
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO ATM za Equity Tawi la Moshi ni majanga, hela hazitoki, baadaye ukirudishiwa hawarudishi tozo walizokata

    Kuna kero kubwa kwenye ATM za Equity Tawi la Moshi, mwezi wa pili sasa, ukitoa pesa inaonekana umetoa na SMS inakuja kuwa umetoa, na tozo zote unakatwa, cha ajabu hela haitoki na ukiuliza unaambiwa jaza claim form pesa itarudi baada ya saa 24. Baada ya hapo pesa inarudi ileile uliyotoa ila zile...
  7. O

    JamiiForums Tanzania Jamaa Kila akifunga shop anaweka PESA bank na kuxitoa KWENYE ATM siku hiyo hiyo

    Nilivyomuuliza huoni unapoteza fedha nyingi Kwa MAKATO akasema lengo lake ni kuchukua noti mpya akatunze home. Ilikuwa kicheko na masikitiko. Basi namkumbuka Rafaeli, Tukalewa Tukalewa tukalewaaaa..... Mbege ya kibosho
  8. Stroke

    JamiiForums Tanzania Msitoe pesa CRDB ATM ya Royal Dodoma. Ni wezi

    Wakuu hawa wanaiba pesa na hutapata notification kwa sms. ATM za CRDB zimejaa wezi Msizitumie. Ukiweka ATM card ile ya kuscan. Ukitoa tu, Wanadetails zako zote. Hiyo ATM ya hapo Royal imejaa wezi watupu. Wanaiba na hawana aibu.
  9. R

    JamiiForums Tanzania Simbanking Vs ATM card charges wakati wa ku-withdraw

    Hallo wana JF. Mimi ni mteja wa CRDB BANK, nimekuwa nikitumia TemboCard yao for years. Siku moja card yangu ikagoma kufanyakazi. Nilipoenda ku-report, wakaniambia kuwa chip ya card imeharibika, huenda ikawa imesababishwa na kuiweka kwenye wallet. Wakaniambia for the time being naweza kutumia...
  10. Stroke

    JamiiForums Tanzania Kuweni makini na matumizi ya ATM; kuna wataalam wa kuiba na hutopata sms na notification

    Wakuu , Kumeibuka wizi wa kupitia ATM. Hasa ile benki flani hivi. Jamaa wanaiba in such a way hutopata notification SMS. Msitumie ile njia ya kuweka ATM card juu ya mashine
  11. Fbn

    JamiiForums Tanzania Dubai wamekuja na teknolojia ya ATM ROBOT inayotembea utakapoitaji pesa sehemu yoyote

    Wenzetu wanazidi kusonga mbele.Usalama wa dubai swala la wizi unaweza kuwa umezibitiwa sana. Sasa wamekuja na ATM ROBOT ambayo itajileta yenyewe na kutoa pesa. 😄 Kibongo itakuwaje ikaitwa uswahilini si wanaikaba huko huko.
  12. H

    JamiiForums Tanzania CRDB nimetoa pesa kwenye ATM kwa simbanking sijarudishiwa wiki sasa

    Nawatahadharisha kuwa mtandao CRDB ni nyoko ukitoa pesa kwenye ATM kwa simbaking ikagoma wanasumbua kurudisha nilitoa 400,000/= ikakatwa kwenye akaunti ila haikutoka nikarudia tena kutoa 400,000/= ikakatwa kwenye akaunti ila haikutoka nikaambiwa wakijiamini ndani ya masaa 6 zitarudishwa ni wiki...
  13. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Nataka Niwashitaki CRDB - Nimetoa fedha ATM hazijatoka naomba ushauri

    Juzi 1/10/2025 nilitoa fedha kwenye ATM, hata hivyo pamoja na fedha kutoka kwenye AC yangu fedha hiyo haijatoka kwenye mashine. Fedha hiyo nilitakiwa kulimlipa mdeni amabaye ananida, pamoja na jitihada za kuwasiliana na Branchi husika na kupiga simu kitengo hiduma kwa wateja bado fedha hiyo...
  14. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Kuna aliyetoa pesa ATM ya CRDB muda huu au Leo imekubali?

    Eti wadau Hali Tete
  15. maroon7

    JamiiForums Tanzania Kwa hiyo CRDB mmehanisha branch ya millennium towers mkaamua kung'oa na ATM

    Leo nimepigwa surprise ya hatari,nimetoka zangu job nikasema nipite millennium tower nikae Montana kusubiri foleni ipungue nishushe na one for the road...ila nikasema kwanza niingie ATM nizagamue cardless maana ATM card huwa sina, ajabu nafika sehemu ilipokua ATM nakuta peupe..nikahisi...
  16. W

    JamiiForums Tanzania EQUITY Bank unafungua account na kupewa ATM Card ndani ya dakika 10 , Crdb na Nmb wameboresha huduma zao ?

    Ninahitaji kuongeza account kati ya benki hizo mbili Crdb na Nmb. Nakumbuka hapo zamani Crdb na Nmb process zilikuwa ndefu sana wiki 1 hadi 2 Mambo yamebadilika ????
  17. JEJUTz

    JamiiForums Tanzania Usitegemee pesa iliyopo kwenye simu au ATM card kufanya manunuzi au kulipa bills kuna Siku utaumbuka

    Hili limenitokea jana tu! Kama mnavyojua msimu wa sikukuu watu tunakuwa busy na shopping za hapa na pale. Jana nikaingia super market moja hapa down town .Kusanya mazaga kama yote kwa mbwembwe kibao. Kucheck pembeni namuona rafiki yangu ambae tulipotezana kitambo.Maongezi kidogo kisha...
  18. jodac

    JamiiForums Tanzania Kwanini ATM za Mabenki zinauliza kama tunataka Risiti wakati ni haki ya mteje kama kununua bidhaa?

    Naiomba TRA ishughulikie hili, hivi ni kwanini mashine za ATM mfano NMB, CRDB n.k hazitoi risiti pasipo kuuliza? Ilihali akifanya hivyo mfanya biashara kariakoo anakamatwa . Kwanini risiti za ATM kuzipata kunamakato ilihali kudai risiti ni haki ya mteja?
  19. nipo online

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna haja ya kuhesabu pesa Baada ya kutoa Atm? Mimi hua nahesabu duh.

    Japo nahis nakua kama kituko hivi, ila hua nahesabu kila napoenda nahisi mashine inaweza wrong hivi.
  20. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Kutoa kwenye ATM kwango cha laki nne kwa mkupuo mmoja ni kidogo sana, nashauri waongeze

    Benki kupitia mashine zao za ATM wamekuwa na ukomo wa kiwango cha kutoa pesa. Kutoa kwa mara moja kiwango cha juu ni Laki nne. Yaani kutoa Milioni moja mpaka uweke kadi mara 3 huu ni upotevu wa muda na ongezeko la gharama kwa wateja. Kwa niaba ya wateja wenzangu ninaomba kiwango kiongezwe.
Back
Top Bottom