kuchelewa

 1. palahingwe

  Wadau: Kuwahi kumaliza Tendo la Ndoa na kuchelewa kipi kina madhara? Na kipi ni sahihi?

  Habari ndugu zangu Naombeni msaada wa kutambua kuhusiana na hoja tajwa hapo juu. Generation ya leo tunashuhudia vijana, na hata rika za kati kwa madai ya kuwahi kumaliza tendo la ndoa na wengi wao kutafuta dawa kukabiliana na tatizo.
 2. mgt software

  Kuchelewa kurudi kwa Tundu Lisu kunaweza kumponza, wenye Tamaa za fedha washaanza vikao vya Siri kumweka Membe

  Wana Jf, Kwa uhalisia wa sasa upepo unapoelekea mtia nia ya urais Membe ashaanza vikao vya siri tangu Jana alipoamua kujivua uanachama. Kuna fununu kuwa anakutana na viongozi wakuu kukubaliana nini kifanyike ili aweze kujiunga na chama ili atimize dhamila yake. Kiukweli membe ni mkamilifu...
 3. Superjet ndenji

  Nilioa nikiwa na miaka 17 hadi leo ndoa yetu ina miaka 5

  Ndio hivyo usimuache mke wa ujanani kwako. Karibu kama una swali nitakujibu
 4. Analogia Malenga

  Jenerali Ulimwengu: Mlio Madarakani Mjifunze Kuchelea

  Jenerali Ulimwengu aandika shairi kuwaasa walioko madarakani MLIO MADARAKANI, JIFUNZENI KUCHELEA Nakuletea shairi, lino latoka moyoni Nakuomba likariri, ulitie maanani, Usije kulighairi, kuniona majinuni, Mlio madarakani, jifunzeni kuchelea Uliye nazo akili, huna budi utambue, Mwenza wako...
 5. B

  Rais Magufuli kuhusiana na Corona bora ukachukua hatua bila kuchelewa zaidi unauweka uongozi wako njia panda

  MODs natumaini mtaunusuru uzi huu kumwangazia mheshimiwa rais hali ilivyo, ili naye, aweze: 1. Kujinusuru mwenyewe kuweza kuendelea kuongoza kama kazi hiyo anaipenda. 2. Kuyanusuru maisha ya watu wake wasio na hatia kwa maana ndiyo kazi kuu tuliyompa kama rais wetu. 3. Kulinusuru taifa ili...
 6. Victor Mlaki

  Kinachosababisha jua kuonekana kuwahi kuchomoza au kuchelewa kuzama

  Jana tarehe 16/4/2020 Mkoa wa Dar es Salaam ulishuhudia jua kuchelewa kuzama jambo ambalo liliwashangaza wengi na hivyo niliamua kufukua maarifa ya fizikia na Jiografia juu ya hali hiyo. Kuna masuala mengi ya kifizikia na kijiografia yanayotokea Duniani ila kutokana na shughuli zetu za kila...
 7. K

  Bila kuchelewa, Serikali ya Tanzania ijipambanue kupata uchaguzi huru na haki ili kuondoa upotoshaji

  Kwanza naomba Mods, uzi huu usiunganishwe na nyengine. Kwa siku za hivi karibuni kumekuwa na kauli mbali mbali kuhusu Madai ya tume huru ya uchaguzi Tanzania. Si vyama vya upinzani tu lakini hata wadau wa maendeleo na demokrasia wamesikika wakihimiza kwa serikali kuleta tume huru ya uchaguzi...
 8. chinembe

  Dk. Zainab sasa awa kisingizio, wanaume wengi wadai walizimia kwa huduma zake, ndio sababu ya wao kuchelewa nyumbani

  Sasa hii imeonekana ndio sababu ya wanaume kuchelewa nyumbani Kila Nyumba anatajwa DK zainab kwamba ndio chanzo na kwamba walizimia usiku kucha. Jamani
 9. ymollel

  Msaada: Mzigo kuchelewa baada ya kuagiza tangu Desemba 2019

  Huu mzigo niliagiza mnamo tarehe 15 December 2019, na movement zote zilienda vizuri isipokuwa hapo ilipoishia "-Despatched to OverSeas Postal Admin (From SG/SIN to TZ/DAR) 2019-12-27 13:14:02 [GMT+8]" Hapo imekaa tangu tarehe 27-Dec-2019. Nimejaribu kwenda post na kuwapa tracking number, yule...
 10. miss zomboko

  Raia wa China wakamatwa kwa kumcharaza viboko mfanyakazi aliyefika ofisini kwa kuchelewa

  Raia wanne wa Uchina wamekamatwa na polisi baada ya video kusambaa katika mitandao ya kijamii ikiwaonesha wakimchapa viboko Mkenya. Inasemekana kwamba Wchina hao wafanyakazi wa mgahawa mmoja uliopo jijini Nairobi, alinaswa akimchapa mfanyakazi Raia wa Kenya kupitia kamera kwa madai ya kufika...
 11. Influenza

  Njombe: Binti afariki baada ya kupigwa na Shangazi yake kwa kuchelewa kurudi nyumbani

  Jeshi la polisi mkoani Njombe linamshikilia mwanamke aliyefahamika kwa jina la Apronia Mwinuka(35) mkazi wa mtaa wa Kikula kata ya Makambako mkoani Njombe kwa tuhuma za kumpiga na kumsababishia kifo shangazi yake Elina Mwinuka (18) kwa kosa la kuchelewa kurudi nyumbani. Kamanda wa polisi mkoa...
 12. Pascal Mayalla

  ATCL ni Shirika letu, ndege zake ni ndege zetu, tuipende, tuikubali na kukitokea dharura ya kuchelewa, tusilalamike, tuivumilie tuu

  Wanabodi, saa hizi inakwenda saa 7 usiku, tuko uwanja wa ndege wa Mwanza, tukisubiria ku board ndege yetu ya ATCL from Mwanza - Dar. Ilikuwa turuke saa 3:00 tufike saa 4:15, lakini kukatokea dharura, tukaarifiwa mapema kuwa ndege itachelewa hadi saa 6:30 sasa tumeboard tunaruka saa 7:30 na...
 13. tutafikatu

  Wizara ya Afya, yaanza kushindwa kusimamia Hospitali za Mikoa

  Kuna taarifa kwamba Wizara ya Afya imeanza kushindwa kusimamia rasilimali watu zilizopo hospitali za mikoa. Shida kubwa inatokana na mfumo wa Maafisa Utumishi wa Wizara kurundikana makao makuu ya Wizara. Hivi karibuni, watumishi kadhaa wakihusisha madaktari waliajiriwa katika hospitali za...
Top Bottom