Kuna internation school Gani nzuri Dodoma

Inatumia syllabus ya Cambridge ya uingereza na mitihani wanafanya inayotungwa na Cambridge uingereza hawana mfumo wa Necta wa baraza la mitihani la Tanzania
Kwa hiyo shule zilizotajwa hapo juu ni international au ni English medium?!
 
kama international school ni canon andrea,kama ni english media zipo nyingi na zinatofautiana ubora
Wabongo wengi huwa wanachanganya English Medium Schools na International Schools.
Mtoa Mada bila shaka alimaanisha English medium schools.

Hawa waajiriwa(serikali) kusomesha mtoto International School labda awe mwizi.
*haihusiani na mtoa mada
 
Kuna shule zimeorodheshwa hapo juu ndo nilikuwa nata kujua mi international au English medium
Hizo ni English medium.
Shule za international zinazofata mitaala ya Cambridge na ib ni hizi
1- international school of tanganyika (dsm)
2-braeburn (arusha)
3-dar es salaam international academy
4- iringa international school
5-st Constantine international school
6-kennedy house school
7-heaven of peace academy
 
Basi Hilo ndo jibu umemaliza... international school nadhani ni Tanganyika school na zingine chache sana
Shule zinatoa mitaala ya International Baccalaureate (IB) na Cambridge International Curriculum. Kwa Tanzania ndio inakuwa termed as International school
 
Basi Hilo ndo jibu umemaliza... international school nadhani ni Tanganyika school na zingine chache sana
Sahihi ziko chache sana International schoolls Tanzania
International schools hata ada yake hutegemea darasa lakini ada kwa mwaka ya chini sana chekechea ni milioni 20 kwa mwaka.Kadri madarasa yakienda juu na ada huongezeka
 
Hizo ni English medium.
Shule za international zinazofata mitaala ya Cambridge na ib ni hizi
1- international school of tanganyika (dsm)
2-braeburn (arusha)
3-dar es salaam international academy
4- iringa international school
5-st Constantine international school
6-kennedy house school
7-heaven of peace academy
Kuna ile ya Moshi pia, one among famous in Tz
 
Back
Top Bottom