Nyimbo ya Harmonize ft Marekabi ni Nzuri , ila beat bado sana kufika level za Nigeria

ubarinolutu

JF-Expert Member
Oct 22, 2012
1,964
3,895
Harmonize ametoa wimbo mkali, lakini bado beat na production za Tanzania hazipo kwenye kiwango sahihi na Wala haziendi na wakati, beat ni ya kizamani na production ni low quality.

Harmonize alishindwa Nini kupanda ndege kwenda Kwa producers wa Nigeria amtengenezee kitu kali kama zilivyongoma za rema, burnaboy, omarlay.

Production zetu ni za quality ya chini sana. Sasa hii imezidi kwani staili ya beat hii ni old skull. Nasikitika kwanini ameshindwa kwenda hapo Nigeria akapikiwe mdundo mkali .

Dah, sijui Sasa nyimbo hii itakuaje ya kimataifa. Wewe mwenyewe harmonize unajua Single again hakutengeneza producer wa Tanzania, wewe mwenyewe unajua kwangaru hakutengeneza producer wa kitanzania. Jiongeze kaka mbona vitu vingine Wala havihitaji ushauri vinaonekana tu Kwa macho.

Biti zetu bado mno, Bora ungeomba hata biti ya mikasi ya majani
 
Wasanii wetu wanajitahidi ila producers wengi miyeyusho.

Hawaendi na nyakati na nadhani wengi wamevamia fani.
 
Back
Top Bottom