fitina

Fitina is a settlement in Kenya's Tana River County.

View More On Wikipedia.org
  1. Suley2019

    Amos Makalla: Leteni kero za kweli sio fitina

    Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Taifa, Amos Makalla amewataka Wananchi wanaopeleka kero kwa Viongozi wa CCM wanaoendelea na ziara kwenye Mikoa mbalimbali, kupeleka kero za ukweli badala ya fitina huku akisema hatoshughulika na kero hizo hadharani kwakuwa nyingine ni za faragha. Akiongea...
  2. U

    Fitina na Uhuni behind draw za CAF, tukomae tu

    Hizi draw za CAF Huwa tayari zinakuwa zishapangwa huko nje, hapo wanakuja kutimiza ratiba. Michuano hii huwaga na fitina nyingi sana, kuanzia Kwa marefa, mapokezi, uchezeshaji wa draw na fitina ya kuhonga timu pinzani Ili wakubwa wapite kirahisi. Sasa ni wakati wa watanzania kujikomaza...
  3. S

    Wataalamu wabobezi waliochafuliwa na fitina za CCM

    1. Sospeter Muhongo. Huyu ni gwiji ktk taaluma ya miamba ya madini. Alikuwa zake South Africa miaka lukuki akiwa rais wa wanataaluma ya miamba Afrika nzima. Kikwete kaenda kumbembeleza aje atunasue kwenye sekta ya madini. Kufika hapa kapewa uwaziri lkn hakukaa muda mrefu akaangushwa na kundi...
  4. Nsanzagee

    CCM ni kichwa ngumuu au ni jiko la kupika fitina?

    Leo nauliza swali fupi tu CCM ni kichwa ngumu...au ni jiko la kupikia fitina? Tangu mwanzo kabisa, kelele hizi za Bandari zetu na wawekezaji toka Emirate yaani DPW , tumekuwa tukikataa ubovu wa mkataba na siyo kumkataa mwekezaji, kwa nini ccm hamuelewi??? Matokeo yake sasa, CCM wamekuwa...
  5. Jugado

    Sheria hazina maana Kwa asiyenacho: Ijapokua ni afadhali ziwepo kwani zinawalinda wasionacho dhidi ya wasionacho!

    Members, Sheria zinawalinda wenye nguvu tu. Yaani nguvu hapa namanisha pesa/madaraka/umaarufu(fame) Mwenye nguvu akiua Kwa makusudi kesi yake itageuzwa geuzwa kuwa "kuua bila kukusudia" na jela haendi aue kabwela akaozee jela! Mwenye nguvu anaweza fanya chochote na jamii ikamuunga mkono...
  6. M

    Wana habari wengi wa media za Bongo ni mashabiki wa Simba wamejaa fitina

    Mafanikio ya Yanga Mwaka huu hasa katika mashindano ya kimataifa yamedhihirisha jinsi wana habari wengi walivyo mashabiki wa Simba hadi wanashindwa kuficha hisia zao, chuki na wivu kwa mafanikio ya Yanga. Wamekuwa wakijificha kwa kile wanachokiita uchambuzi lakini ukifuatilia chambuzi zao...
  7. Mganguzi

    Ni fitina za kibiashara au ukosefu wa ubora? Kwanini gari la Masoud Kipanya mpaka leo hakuna mrejesho?

    Nimeona niulize maana ukimya umekuwa mkubwa sana sana, si Masoud mwenyewe au serikali iliyodai inaenda kuifanyia uchunguzi iliyokuja na kutoa mrejesho tuambieni kama haifai tujue mmeifukia wapi tukatafute vyuma chakavu sie.
  8. Ahyan

    Haiingii akilini kabisa kwamba Yanga alishindwa fitina pale kwa Mkapa

    Mimi nina imani kubwa kwamba Yanga alijiandaa na kamati ya ufundi pale kwa Mkapa dhidi ya wale waarabu weusi, na alifanikiwa kabisa kupata ushindi mnono wa nje... Ila naamini kuna wahaini ambao kwa hulka zao za kichawi za kutopenda maendeleo ya wengine waliamua kuwasanua ama wao wenyewe kutibua...
  9. S

    Acha wanasiasa wafaidike na tozo, maana siasa za Tanzania zinahusisha fitina, uzandiki, ngono na ulozi

    Kama kuna mtu anaona wanasiasa wanafaidi naye aingie kwenye kinyang'anyiro cha udiwani, ubunge ama urais. Lakini... 1. Uwe tayari kufanya ulozi na makafara. Mfano mzee wa nje ya box na mzee wa mama Amina. 2. Uwe tayari kutoa roho ya mtu. Kuna wanasiasa Alphonce Mawazo, Dr. Mvungi, n.k...
  10. saidoo25

    DED aliyepigwa fitina na Msukuma akatumbuliwa sasa aingarisha Ilemela

    Aliyekuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Geita Vijijini Eng. Modest Apolinary aliyetumbuliwa na Hayati Dkt. John Magufuli baada ya kupigwa fitna za uongo na Mbunge Kasheku Musukuma sasa anaonekana kufanya mageuzi makubwa katika Manispaa ya Ilemela baada ya kurejeshwa na Rais Samia Suluhu Hassan...
  11. saidoo25

    Januari Makamba aanza kuwafanyia fitina Mawaziri wenzake

    Tumeona siku za karibuni Makamba badala ya kujitika kutatua matatizo makubwa yaliyoko kwenye Wizara yake yanayolalamikiwa wa wananchi kila mahali ikiwemo tatizo la kukatika kwa umeme, kuchelewa kwa miradi ya Rea, lakini ameanza kuwapiga fitna mawaziri wenzake ili waonekane hawafanyi kazi. Mfano...
  12. MakinikiA

    Kwa wale wenye fitina Rais Putin alishapewa baraka na wananchi kubakia Ikulu mpaka 2036

    Hii ilifanyika 2021 The Russian president has signed legislation that gives him the right to run for two more consecutive terms. The constitutional amendment was approved by referendum last year. Russian President Vladimir Putin on Monday signed legislation that could theoretically mean he stays...
  13. Nyankurungu2020

    Job Ndugai aliposema ipo siku mtapigwa mnada mlijifanya hamuelewi na mkafurahi alipofanyiwa fitina. Sasa mnapigwa mnada huku mnaona

    Mwanasiasa anayetanguliza tumbo lake kuliko maslahi ya raia wanyonge ambao hawajui juu wa mustakabali wa kesho yao ni mwanasiasa mbaya sana. Anatumia mwanya wa nguvu ya kisiasa aliyonayo kuburuta watu ili afanikishe mambo yake kwa nguvu. Mikopo inayofanyika ina siri kubwa na hatujui ipo vipi...
  14. N

    CEO Barbra kakiwasha South Africa Rise FM, Show ya Robert Marawa apangua fitina zote

    Alikuwa live kwenye show kubwa ya redio ya michezo iliyo hosted na yule mtangazaji maarufu Robert Marawa aliyekuwa mtangazaji wa supersport na mchumba wa zamani wa bOONGE MOJA LA DEMU liitwalo Pearl Thusi Back to the point, ni kwamba CEO kamchachana sana yule kocha katoa ushahidi wa kila aina...
  15. Roving Journalist

    Spika Job Ndugai, amejiuzulu Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo leo Januari 06, 2022 ikiwa ni siku chache tangu kusambaa kwa video ambayo alinukuliwa akisema ipo siku Nchi itapigwa mnada kutokana na madeni Amesema ameandika Barua ya kujiuzulu kwa Katibu Mkuu wa CCM na uamuzi huo ni...
  16. Ze Bulldozer

    Daniel Chongolo: Siasa sio Uadui, fitina, majungu, ugomvi wala chuki

    Katibu mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM-Tanzania Ndg Daniel Chongolo amewataka wana -CCM kupendana na kuthaminiana wakati wote ili kukidhi matamanio na matarajio ya Watanzania kwa Chama na Serikali, Katika ziara yake ya siku 12 katika mikoa sita Mhe Chongole amewaasa viongozi na wanachama kuwa...
  17. Shujaa Mwendazake

    Fitina: Nani katika hawa alimdanganya Dkt. Magufuli kuwa Drone za kuzimia moto ni Camera

    “Zana za zimamoto ziko outdated , Fikiria Moto uanze PSPF tower floor ya 20 hakuna gari litazima moto kule,Isipokuwa drones,kwa bahati mbaya waliomuelezea mkuu wetu walimdanganya kuwa drone ni camera na zimesainiwa mabilion kumbe ni ndege ndogo za kuzima moto“-Mh Kangi Lugola. Hii ni kauli ya...
  18. J

    Kukomaa kisiasa: Pamoja na fitina na ubaya wote aliotendewa na Ole Sabaya, Mwenyekiti Mbowe ametulia kimya

    Binafsi nampinga Freeman katika mambo mengi lakini namkubali sana kuwa ni kiongozi asiyekumbatia siasa za maji taka. Pamoja na uovu wote aliotendewa huko Hai chini ya Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama DC Ole Sabaya, Mhe. Mbowe amekuwa mtulivu. Niseme tu kwa kifupi kwamba pamoja na...
Back
Top Bottom