vidonda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    KWELI Vidonda vya tumbo(Ulcers) huweza kuambukizwa kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine kupitia mate au kinyesi

    Leo nimesoma mtandaoni kuwa Vidonda vya tumbo(Ulcers) huweza kuambukizwa kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine. Naomba kujua kama ni kweli maana siku zote mie najua vidonda vya tumbo huvipata mtu kutokana na mtindo wake wa maisha(kutokula) au kwa kutumia baadhi ya dawa ambazo zinaweza...
  2. Surveyor_1

    Tiba za nyumbani: Matatizo ya mfumo wa mmeng'enyo wa chakula

    Habari za asubuhi wana JF, Leo nimependelea kushare nanyi baadhi ya tiba za nyumbani za matatizo ya mfumo wa umeng'enyaji chakula ambazo zinaweza kutumika kama huduma ya kwanza au tiba ya kuponya kabisa katika mazingira yetu ya nyumbani. Sitojikita kuelezea magonjwa kwa ajili ya kutorefusha...
  3. Sitachoka

    Kama unasumbuliwa na vidonda vya tumbo nitakutibu ndani ya mwezi mmoja

    Kama unasumbuliwa na vidonda vya tumbo kwa muda mrefu bila nafuu, Nina tiba ya asili itakuponesha ndani ya mwezi mmoja tu, kama ulikuwa Hulu baadhi ya vyakula utakula Kila kitu na mabadiliko utaanza kuyaona ndani ya wiki moja tu baada ya kutumia hii dawa Mimi nilikuwa muhanga wa hii changamoto...
  4. Tafakari_nami

    Vidonda vya tumbo kwenye utumbo mdogo

    Vidonda vya tumbo vilivyopo tumboni (tumbo la chakula) na vile kwenye utumbo mdogo tofauti yake ni nini? Kwa wanaojua tafadhali naombeni kujua wakuu.
  5. Exile

    Dawa gani ilikusaidia kwenye ugonjwa wa vidonda vya tumbo?

    Aisee hivi vidude vinanitesa nimekunywa kila aina ya matakataka ya dawa za hospitalini na tiba mbadala lakini bado vinanisumbua, angalau kidogo dawa zinaitwa legal kit zinisaidia lakini zingine ni kama natupa hela na kutesa tumbo kwa madawa. Na ni bora vingekuwa vinasumbua tumboni lakini mimi...
  6. jastin ndangala

    Msaada: Mke wangu ana vidonda ukeni

    Nimeishi na mke wangu kwa zaidi ya miaka 7 lakini huwa kuna wakati tunakuwa mbalimbali kama mwezi hivi kutokana na biashara Kama siku 5 zimepita ananiambia anaumwa sehemu za siri nimeenda kumuona nimekuta mashavu yote ya uke yamejaa vidonda hadi kutembea hawezi . NAHISI AMECHEPUKA AKAAMBUKIZWA...
  7. U

    Huu uzushi kuwa vidonda vya tumbo vinasababishwa na njaa ulitokea wapi?

    Kwanza Niseme kabisa Mimi sio Daktari, lakini nimeongea na madaktari. Lengo la Uzi huu ni kujaribu kuzungumzia juu ya ugonjwa wa vidonda vya tumbo ambao Kwa kizungu unaitwa ulcers, nimeamua hasa kujikita kwenye mada hiyo. Kuna uzushi mkubwa Tanzania kuwa vidonda vya tumbo vinasababishwa na...
  8. Rucho Herbal

    NAMNA YA KUEPUKANA NA VIDONDA VYA TUMBO (PEPTIC ULCERS)

    Je, Ninamna gani nitaepukana na Vidonda Vya Tumbo.? Kuepuka vidonda vya tumbo kunaweza kuhitaji mabadiliko kadhaa katika mtindo wa maisha na lishe yako. Hapa kuna miongozo kadhaa ya jinsi ya kuepuka vidonda vya tumbo: 1. Kula lishe yenye afya: Kula vyakula vyenye nyuzinyuzi nyingi kama...
  9. Mzee Saliboko

    Nasumbuliwa na vidonda kwenye kende

    Jamani naombeni ushauri jinsi ya kuvitibu haraka vidonda kwenye ngozi ya mapumbu. Vimetokana na wakati naoga nilijisugua kwa nguvu kwa dodoki nikachubuka sasa vina wiki 1. Natumia sabuni ya zoazoa. Ahsante.
  10. L

    Bajeti mpya inakuja kuweka pilipili kwenye vidonda vya gharama za maisha kwa wananchi

    Bajeti imeingilia maisha ya watu ambayo tayari ni magumu kuwahi kutokea katika kipindi cha miongo kadhaa iliyopita. Bajeti imeweka kodi katika bidhaa ambazo bei zake ni kero kubwa kwa wananchi kuwahi kutokea tangu nchi ipate uhuru; 1. Kupandisha kodi ya mafuta kwa hali ya mafuta ilivyo sasa ni...
  11. B

    Vidonda vya tumbo

    Nianze na kuwasalimu wakuu, pia niende moja kwa moja kuwasilisha jambo, wakuu vidonda vya tumbo vinanisumbua mno aliyepona ametumia dawa gani ,,, msaada wenu wakubwa
  12. Messenger RNA

    Miriam Ndayishimie: Nilianza kunuka kutokana na vidonda vya majeraha ya kupigwa na muajiri wangu

    Na Dinna Gahamanyi BBC Swahili Safari ya Miriam Ndayishimie ya kuelekea Saudi Arabia ilikuwa imejaa matumaini ya kuepukana na umasikini aliouacha nyumbani. Ilikuwa ni safari iliyojaa matumaini ya kutafuta riziki na kubadilisha maisha, lakini iligeuka kuwa dhiki na makovu yasiyoweza kufutika...
  13. isaya febu

    Ujue Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo: Sababu, Dalili, Tiba, Madhara na Jinsi ya Kujikinga

    Vidonda vya tumbo ni vidonda vinavyotokea kwenye ukuta wa tumbo. Vidonda vya tumbo vinajulikana kwa kitaalamu kama peptic ulcers. Vidonda hivi hutokea kutokana na mashambulizi ya bakteria wanaoitwa Helicobacter pylori (H.pylori) au kulika kwa ukuta wa tumbo kunakotokana na athari za tindikali...
  14. Sildenafil Citrate

    UZUSHI Maziwa fresh ni tiba sahihi ya tatizo la vidonda vya tumbo

    Vidonda vya tumbo ni tatizo linalosumbua watu wengi. Husababisha maumivu makali sana, kiasi cha kufanya liwe tatizo lisilovumilika kirahisi. Katika kutafuta tiba, baadhi ya watu hutumia dawa za hospitalini, huku baadhi wakitumia dawa za asili. Pia, maziwa ni miongoni mwa dawa zinazo...
  15. Uhakika Bro

    Swali la kujiuliza kwa mtu yeyote mwenye vidonda vya tumbo

    Zamani iliaminika kuwa vidonda vya tumbo vinasababishwa na mawazo. Baadaye zikaja stori za Helicobacter pyrori kidudu ambacho kipo kwa karibia 80% ya watu. Ipo hivi; Kidonda chochote ukiumia inatakiwa upone. Kiasili kiumbe huwa anapona pale anapokuwa mazingira ya kupumzika. Resting. Je ndugu...
  16. B

    Nasumbuka sana wakuu mwenye kujua Tiba ya vidonda vya tumbo anijuze

    Nitangulize salam kwanza kwa ndugu wote wana jamii forum, kama kichwa cha Habari hapo juu kinavoeleza, ninasumbuliwa na vidonda vya tumbo huu mwaka wa 6 naomba kwa yoyote anayefaham dawa au ameshatumia dawa amepona anifahamishe na mimi niondokane na hiii karaha, , nipo mwanza, natanguliza...
  17. B

    Dawa ya Vidonda vya tumbo kwa ambaye amepona au anayeifahamu

    Nitangulize salam kwanza kwa ndugu wote wana jamii forum, kama kichwa cha Habari hapo juu kinavoeleza, ninasumbuliwa na vidonda vya tumbo huu mwaka wa 6 naomba kwa yoyote anayefaham dawa au ameshatumia dawa amepona anifahamishe na mimi niondokane na hiii karaha, , nipo mwanza, natanguliza...
  18. NetMaster

    Je, mboga za majani zinazolimwa Dar zina sumu inayochangia matatizo ya nguvu za kiume, cancer, bawasiri, vidonda vya tumbo, n.k?

    Unaweza ukawa unakula ugali na mboga za majani na ukajiona unakula chakula chenye afya kumbe uhalisia ni kwamba unajiongezea sumu zaidi mwilini. Sehemu kubwa ya mboga za Darisalama zinatoka mabonde ya Mto Msimbazi, Mandela road bonde lililoko kituo cha garage, Jangwani, Kigogo sambusa na maeneo...
  19. Justdr

    Ulitumia dawa gani kutibu vidonda vya tumbo?

    Vidonda vya tumbo ni moja ya magonjwa yanotusumbua sana miongoni mwetu na hii siyo Tanzania tu ni dunia nzima. Naleta huu uzi kwa maana wanasema sharing problem is half way of solving it. Hivyo bas wenye mlishawahi kuwa na changamoto kama hii na mkapata matibabu, naomba mshare namna...
  20. Sildenafil Citrate

    Tatizo la Vidonda ya tumbo

    Vidonda vya tumbo ni michubuko inayotokea kwenye kuta za mfumo wa chakula, hasa kwenye sehemu ya tumbo au pia sehemu ya kwanza ya utumbo mdogo. Ukubwa wa vidonda hivi hutofautiana, kuanzia millimita chache hadi sentimita kadhaa. Dalili za ugonjwa huu mara nyingi hutegemea umri pamoja na eneo...
Back
Top Bottom