Rock candy or sugar candy (in British English), also called rock sugar, is a type of confection composed of relatively large sugar crystals. This candy is formed by allowing a supersaturated solution of sugar and water to crystallize onto a surface suitable for crystal nucleation, such as a string, stick, or plain granulated sugar. Heating the water before adding the sugar allows more sugar to dissolve thus producing larger crystals. Crystals form after 6 to 7 days. Food coloring may be added to the mixture to produce colored candy.
Pamoja na Biblia na Quran kuzungumzia habari za wana Israel kuwa utumwani Misri kwa kipindi cha kati ya miaka 200 mpaka 400, hakuna ushahidi wowote wa kihistoria Misri, Israel au bahari ya Shamu ya kitu kama hicho kutokea.
Hakuna chembe ya maandishi ya kale ya Wamisri, zana, vyombo au masalia...
Wakuu salamu,
Kuna ukweli mchungu sana kuhusu Ustaarabu wa Misri ya Kale (Ancient Egypt) ambao mara nyingi haufundishwi mashuleni. Misri haikupotea kwa sababu majengo au mahruba (pyramids) yalibomolewa. Kilichopotea ni kitu chepesi lakini cha thamani zaidi: Mnyororo ulio hai wa watu waliokuwa...
NItasema kweli daima.
Maisha ya u singo maza sio maisha.
Uwe tajiri uwe masikini sio maisha.
Najitahidi sana kuwa mke mwema ila naona haitoshi kwa mwanaume huyu aliyenitoa katika yale maisha machachu ya usingo maza.Natamani niwe mke bora sana kwake kama njia ya kumu apreciate kwa kunitoa katika...
Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) limeripotiwa kukataa pendekezo la Shirikisho la Soka la Misri (EFA) lililotaka kuongeza idadi ya klabu za Misri zinazoshiriki CAF Champions League na Kombe la Shirikisho Afrika (CAF Confederation Cup) kuanzia msimu wa 2026/27.
Awali, EFA ilipendekeza kuwa...
Rais wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri Mheshimiwa Abdel Fattah El-Sisi, amehitimisha ziara yake ya Kitaifa ya siku moja nchini Tanzania Julai 18, 2026.
Akiwa nchini Mhe. El-Sisi amekutana na mwenyeji wake, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan na kufanya mazungumzo...
Tanzania, Misri Zakubaliana Kupanua Ushirikiano wa Kimkakati
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, na Rais wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri, Mhe. Abdel Fattah El-Sisi, wamekubaliana kupanua ushirikiano wa kiuchumi kwa kuongeza biashara na uwekezaji katika sekta...
Rais wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri Mheshimiwa Abdel Fattah EL-Sisi, amewasili jijini Dar es Salaam Julai 18,2026, kuanza ziara ya Kitaifa ya siku moja kufuatia mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Ziara hii itahusisha mazungumzo kati ya...
Ndani ya karakana iliyojaa watu wengi kando ya pwani ya Bahari Nyekundu ya Misri, Kareem Gaber, meneja wa vifaa katika kampuni ya Jushi Egypt Fiberglass Co., Ltd., amesimama karibu na kigari cha kunyanyua mizigo, akikagua kwa makini vifurushi vya plastiki ya fiberglass.
"Kwa siku tunaweza...
Mapacha wanaofanana, Hossam na Ibrahim Hassan, wanaandika ukurasa mpya wa kihistoria katika soka la Misri. Sasa wakiwa kama kocha mkuu na mkurugenzi wa timu, ndugu hawa wameiongoza timu ya taifa ya 'Pharaohs' kupata ushindi wao mkubwa na wa kwanza kabisa katika michuano ya Kombe la Dunia, na...
Muda mfupi ujao Misri itacheza na Ubelgij. Japo Ubelgij ndio favourite lakini kwa upande wangu niko pamoja na Misri the Pharaoh na hakika watashinda nakutupaisha wa Africa jins Morocco ilivyotupaisha dhidi ya Brazil.
Kila la kheri Al-Masr.
adriz de mbusii
Katika mtazamo wa kiroho wa Kikristo, mapigo kumi ya Misri yanaweza kuonekana kama mfano wa hatua ambazo Mungu humpitisha mwamini ili kumwondoa katika utumwa wa dhambi na kumfanya afanane na Kristo.
Misri inawakilisha ulimwengu wa dhambi, mwili, na utumwa wa shetani. Kwa Mkristo, mapigo haya...
Kama ungebahatika kutembelea jiji la Cairo hususani siku ya tarehe moja mwezi wa saba mwaka 2007, ungegundua ni siku na mwezi ambapo hali ya hewa ilikuwa ni joto kali sana kiasi kwamba muda wote ungekuwa unatokwa na jasho.
Mitaa mingi ya mji wa cairo ikiwa ina msongamano ndivyo ilivyozidi...
Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu alitangaza katika ujumbe wa video kwamba ameidhinisha makubaliano makubwa zaidi ya nishati katika historia ya Israeli. Mkataba wa gesi asilia na Misri una thamani ya NIS bilioni 112 (dola bilioni 34.7), ambapo NIS bilioni 58 (dola bilioni 18) zitatumika katika...
Assume umepewa nafasi ya kazi Moja na mshahara mmoja ila katika nchi hizi tano(5) umeambiwa uchague Nchi Moja utachagua ipi kati ya Misri,SA, Indonesia,au Brazil, au Israel utachagua ipi?
Mwaka wa 15 sasahivi tongu zianze kuletwa hadithi za mradi wa LNG Tanzania na mradi huo haujaanza hata kidogo mpaka Leo.
Tongu hadithi hizi zianze kuzungumzwa hakuna cha mradi wowote wa LNG umewahi kuonekana zaidi ya hadithi za hekaya za Abunuasi.
Wakati hayo yanafanyika jirani Msumbiji...
Majaribu 10 ya Waisraeli kwa Mungu tangu Misri hadi Kanaani
Musa ni nani katika safari kutoka Misri hadi Kanaani
Musa ni mtu mmoja maarufu zaidi katika Agano la Kale. Wakati Ibrahimu anaitwa "Baba wa Imani" na mpokeaji wa agano la Mungu lisilo na masharti la neema kwa watu Wake, Musa alikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.