Wakuu naombeni mnifingue macho pengine Kuna kitu ntakua sikijui mpaka leo au ntakua nimekilock bila Mimi kujua.
Nikifungua page yoyote internet inakataa kwamba Sina Salio lakini nikiangalia Salio kwa kutumia menu ya kawaida naambiwa MB bado ninazo hapo tatizo litakua ni nini?
WanaJF salamu,
Ninaleta mada hii mbele yenu nikiwa na majonzi na masikitiko makubwa kutokana na hali halisi inayojiri katika Chuo cha Maji (Water Institute) kwenye Muhula huu wa Pili (Semester II). Kumekuwa na mfumo wa uendeshaji unaoonekana kulenga faida au biashara zaidi badala ya kutoa huduma...
Nimekuwa nikijiuliza sana.
Nikiweka vocha ya 10,000 napata 10,000 exactly.
Sasa hawa makampuni ya simu wanapataje faida kama wanarudisha hela ile ile?
Au kuna kitu sielewi hapa?
Naomba nieleweshe kwa lugha rahisi maana kichwa changu kimegoma kabisa 😅
Mara baada ya Mwananchi kupitia JamiiForums.com kulalamikia huduma ya Kazi za N-CARD katika kuweka fedha, inayowalazimu kupanga foleni wakati wa kuitumia katika Kivuko Kigamboni, ufaafanuzi umetolewa na Selcom.
Kama hukusoma andiko la Mdau bofya hapa ~ Kwanini N-CARD hawana App inayowezesha...
Hi ni tabia inayokera sana mtu anakupa namba ya simu ambayo anajua kabisa haina salio unawasiliana naye kupia namba hiyo badae yeye anakujibu au anakubip kwa namba tofauti kabisa,huo ni ushenzi uliopitiza kama vi toa namba zote basi ulizosajiri ili mtu aku-save ili ukipiga akutambue!!
Zaidi ya milioni siioni kwenye akaunti yangu ya CRDB.
Mdau kagua na wewe salio lako usije ukawa upo hujui kinachoendelea.
Kesho pakikucha tu natia mguu hapo Holland branch…
Jana nilikuwa bar moja natafuta usingizi wangu ghafla nikasikia haja ndogo nilipoingia chooni nikakuta mwamba mmoja akihesabu mzigo wake wa kumikumi nikajua huyu jambo linaenda kumkuta
Nikakumbuka Desemba 2024 Moshi Marangu nilikuwa nimekaa na girlfriend wangu pamoja na ndugu zake nikazungusha...
Mbona betpawa uki withdraw hela ni chap kwa haraka unapata message hapohapo hawa sportpesa wanaenda taratibu Sana kwenye malipo jirekebisheni kama mko ndani hapa.
Wakuu habari zenu.
Naomba kujua hela yangu halisi/iliyopo kwenye acc yangu ya Nmb ni ipi.Kuna gap kama la elfu 50 kati ya salio lililopo na salio halisi kwenye acc yangu ya NMB.
Wakuu kuna siku unaweza Kuja ukalala njaa kumbe mkeo ana fedha ya kutosha na akabunda kimya bila kukutaarifu,
Unakuta ana milion
Lakini pia ni vyema kufanya ambush phone searching mara moja moja ili ujuwe, mustakabali
🥶NB kama una moyo mdogo Usijaribu kusearch simu ya mke wako
Ila wake...
Mimi ni mteja wa zamani tigo na sasa Yas wa Post Paid. Malipo Baada. Nalipia GB kadha kwa mwezi na kuna kipindi huwa zinabaki. Kwa nini unapoingia mwezi mpya mnafuta GBs zangu ambazo nlishalipia badala ya kuongezea pale pale?
Nadhani hapo mnakuwa mnafanya wizi. Nimelipia zote so inapaswa kama...
Hili ni angalizo kuelekea wikendi.
Mabinti, msiwaamini sana wanaume! Kama mna hela, hakikisheni mnakabeba. Sio kila mwanaume anayeenda chooni anaenda kujisaidia, wengine huenda kuangalia salio lililobaki. Wengine wakiona bili ni kubwa, wanatafuta njia ya kutokea karibu na choo.
Nawaambia...
Kuna app inaitwa 'Voucher Master' inapatikana Google Play store. App hii inakuwezesha kuongeza salio kwenye simu yako kwa kuskani namba za vocha kwa kutumia kamera ya simu yako kisha kuongeza salio. Inauwezo wa kusoma vocha zaidi ya 5 kwa wakati mmoja. Pia inafanya kazi kwenye mitandao yote ya...
Ukiisikiliza hii nyimbo ya Salio utagundua kuwa Marioo yuko vizuri sana katika uandishi wa nyimbo zake.
Salio ni nyimbo yenye mafunzo kwa mabarobaro waache kukimbizana na mikongo wakati mifuko imechanika.
Mwanamke atavumilia mengi ila sio neno " SINA HELA aka Salio.
Tafuteni pesa vijana
Kuna ujumbe wa picha ya Raisi Samia na chini kukiwa na hayo maneno unasambaa kwenye ma-group ya WhatsApp ukionyesha kuwa Raisi Samia ametoa hiyo kauli.
Je, ni kweli Raisi Samia katoa hiyo kauli?
Kama ni kweli, kauli hiyo kaitoa lini na wapi?
Kama ni kweli, mimi naona itakuwa poa tu ili siku...
Habari wakuu
Hivi ni namna gani unaweza kuangalia kama mwajiri wako anaweka hela NSSF kila mwezi online ,yaani Kama Kuna app ,au kwenye ya website ya nssf hio huduma ipo ?.
Naomba kujua na ni kwa namna gani
TIGO Tanzania, juzi wakati namuhamishia dogo salio (siyo kifurushi na wala siyo pesa) ili yeye sasa ajiunge na kifurushi akitakacho,
On the process kufikia mwishoni baada ya kuweka amount (angalia picha) naletewa ujumbe wa kwanba mtumiwaji atakatwa 3% ya amount nitakayomtumia.
WHY IS THIS 3%...
Utafiti wangu mdogo nilioufanya nimegundua, watu wanaojua matumizi ya hela akaunti zao zinasoma hela ndogo ndogo tu; kama elfu kumi, ishirini au hamsini na haizidi laki; ila kwa wale wasiojua matumizi ya pesa akaunti zao zimenona, zinaweza kusoma kuanzia milioni nakuendelea.
Hii inatafsiri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.