Kama Receipt nyingi za ATM salio ni chini ya laki 3, hizo deposit za 6T ni za nani

ubarinolutu

JF-Expert Member
Oct 22, 2012
1,964
3,895
Nimeona mambo ya uchumi wa nchi ya TANZANIA kuwa ni magumu, upinzani wanalalamika pesa hakuna, sasa kama kawaida yangu nimejaribu kufanya utafiti na kusample bank moja, nimekusanya receipt za watu katika ATM Zaidi ya 5 kwa muda wa siku kumi ,na nilipata Zaidi ya receipt 100.

Cha ajabu na cha kushangaza asilimia Zaidi ya 90 receipt zinaonesha salio ni chini ya laki 3, ama kati ya laki tatu na nne. Ina maana hata waliopokea mshahara haukai kabisa bank, au either bank wanakata kutokana na mikopo.

Hoja yangu ni moja na ni kubwa, yaani gepu la walionacho na wasiokuanacho inaonekana limetanuka sana, kwani kwa kautafiti change bank hiyo inasema ina deposit za TRillioni 6 wakati majority a wateja wao salio lipo chini ya laki tatu. Sasa theory yangu ni hivi, deposit nyingi za bank ni za watu wachache, either matajiri au majizi ya serikali. Unaweza kukuta asilimia 95 ya deposit za bank, ni za watu wasiofikia asilimia 0.5 ya wateja wote wa bank. Na hiyo asilimia 5 ya deposit zot ndo sisi walalahoi.

Hii Hali inatisha, pia nimefanya utafiti wa kutafuta details za wasanii wa bongo movie na bongo fleva na deposit zao bank , aisee wana hali ngumu mno, hawana kitu kabisa , wasanii wachache t undo wanadeposit angalau inayoeleweka.
 
Kwa kiasi chake umaskini umeongezeka kidogo iasee, pia thamani ya hela imeshuka mno, thamani ya 10000 imekuwa ndogo mno.
Tuombe uzima na afya tu kwa kweli ila hali sio njema sana.
 
Nimeona mambo ya uchumi wa nchi ya TANZANIA kuwa ni magumu, upinzani wanalalamika pesa hakuna, sasa kama kawaida yangu nimejaribu kufanya utafiti na kusample bank moja, nimekusanya receipt za watu katika ATM Zaidi ya 5 kwa muda wa siku kumi ,na nilipata Zaidi ya receipt 100.

Cha ajabu na cha kushangaza asilimia Zaidi ya 90 receipt zinaonesha salio ni chini ya laki 3, ama kati ya laki tatu na nne. Ina maana hata waliopokea mshahara haukai kabisa bank, au either bank wanakata kutokana na mikopo.

Hoja yangu ni moja na ni kubwa, yaani gepu la walionacho na wasiokuanacho inaonekana limetanuka sana, kwani kwa kautafiti change bank hiyo inasema ina deposit za TRillioni 6 wakati majority a wateja wao salio lipo chini ya laki tatu. Sasa theory yangu ni hivi, deposit nyingi za bank ni za watu wachache, either matajiri au majizi ya serikali. Unaweza kukuta asilimia 95 ya deposit za bank, ni za watu wasiofikia asilimia 0.5 ya wateja wote wa bank. Na hiyo asilimia 5 ya deposit zot ndo sisi walalahoi.

Hii Hali inatisha, pia nimefanya utafiti wa kutafuta details za wasanii wa bongo movie na bongo fleva na deposit zao bank , aisee wana hali ngumu mno, hawana kitu kabisa , wasanii wachache t undo wanadeposit angalau inayoeleweka.
Corporate deposits achana na nyie walala hoi
 
Gepu kati ya viongozi wa CCM na wananchi imetanuka kwa ghafla na kuwa zaidi ya kumi, viongozi ninaoongelea ni waliopewa uteuzi serikalini.
 
Kuna bank moja ni wataalam wa ku cook figures, wana exaggerate kila kitu. Lakini pia kuna bank ambazo zimehold deposits za miradi ya serikali, development organizations kama UN, diplomatic organizations kama balozi mbalimbali, financial institutions zingine, mifuko ya hifadhi za jamii, (nssf, psssf), makampuni ya bima etc, so yes zipo zinaweza kufika 6T. Na pia lile sharti aliloweka mwendazake kwamba pesa zote za serikali zikae BOT sasa hv halijatiliwa maanani sana. Tumerudi ile miaka ya nyuma.
 
Back
Top Bottom