ahmed ally

Ahmed Ally ni Meneja wa Habari na Mawasiliano (Spokesperson/Media & Communication Manager) wa Simba Sports Club.Anachojulikana kwa:
  • Ni msemaji rasmi wa Simba SC na huwa anazungumza na vyombo vya habari baada ya mechi, wakati wa matangazo na mikakati ya klabu.
  • Ana akaunti maarufu ya Instagram (@ahmedally_) yenye wafuasi wengi, ambapo yeye hutoa taarifa, maoni na majibu kuhusu Simba.
  • Yeye ni mmoja wa watu wanaozungumza kwa ukali na kujiamini wakati wa derbi dhidi ya Yanga na mechi kubwa.
  • Pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Medali Motors.
  1. M

    JamiiForums Tanzania Ahmed alijua usaliti wa selemani mapema, hakumtaja kwenye kikosi

    Ahamed Ally aliotea mapema usaliti wa Selemani Mwalimu kwenda Yanga, hakumtaja kwenye kikosi kilichofanya vizuri na simba msimu uliopita.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya pigo la mwalimu Ahmed aandika ujumbe

    Baada ya Klabu ya Yanga kumtangaza Selemani Mwalimu katika kikosi chao, Meneja wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba, Ahmed Ally ameandika ujumbe mzito ulioambatana na picha ya kikosi cha Simba, akiwatia moyo mashabiki na kuwataka waendelee kuipigania kesho ambayo ni siku ya...
  3. kavulata

    JamiiForums Tanzania Hii ya Selemani Mwalimu kwenda Yanga Ahmed Ally akamatwe, kadanganya umma

    Ahmed Ally jiridhishe kabla ya kwenda hewani, una viongozi waongo, wanakuponza ili uonekane wewe ndiye uliyekuny pale Jangwani. Nguvu uliyotumia siku ya Simba day kumtambulisha Selemani mwalimu mchezaji wa Simba tumia nguvu hiyohiyo kuuomba radhi umma, wanachama na mashabiki wa Simba.
  4. C

    JamiiForums Tanzania Aliyemwelekeza Ahmed Ally kumtangaza Seleman Mwalimu anapaswa kujiuzulu mara moja pake Simba ni mhuni

    Sina mashaka kabisa na ninachokisema.Huyu aliyempa maelekezo msemaji wa Simba anapaswa kuondoka pale Simba mara moja. Inaonekana ni mpango wa kuidhalilisha timu uliopangwa na upande wa pili na umeenda sawa sawia. Mtu aliyempa uhakika Ahmed kwamba wamemalizana na Wydad kuhusu Seleman,huyu ndiye...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ahmed Ally aingia na Simba Wanyama uwanjani kwenye tamasha la Simba Day

  6. M

    JamiiForums Tanzania Ahmed Ally; nitaingia na ungo uwanjani

    Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba Sc, Ahmed Ally ametanabaisha kwamba siku ya Simba (Simba Day) Jumamosi Agosti 8, 2026 ataingia Uwanjani kwa namna ya tofauti ambapo ataingia kwa kupaa na ungo.
  7. D

    JamiiForums Tanzania Tetesi: SSB wachukizwa na kauli ya Ahmed Ally kwa Mzee Jamal

    Chanzo cha kuaminika kimenipa taarifa kuhusu uongozi wa SBS kuchukizwa na kauli za Msemaji Simba Ahmed Ally kwa Mmiliki wa AZAM FC Mzee Jamal baada ya Mzee kudai TFF haiwatendei Haki. Chanzo kimeniambia Mzee Jamal alitoa malalamiko kwa TFF ila wameshangazwa Ahmed kumkejeli Mzee Jamal ili hali...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Ahmed Ally: Yanga rudisheni Tsh. Milioni 40 za Umma

    Meneja wa Habari na Mawasiliano wa klabu ya Simba, Ahmed Ally, ameibua ameitaka klabu ya Yanga kurejesha kiasi cha shilingi milioni 40 serikalini, akidai kuwa klabu hiyo imepokea kiasi kikubwa cha fedha kuliko idadi ya mabingwa waliyofunga katika mashindano ya kimataifa. Hoja hiyo inakuja...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Ahmed Ally: Sowah tulimuondoa kambini Dodoma, tukamrejesha Dar

    Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba, Ahmed Ally, amezungumzia sakata la mshambuliaji wa klabu hiyo, Jonathan Sowah, na kuthibitisha kuwa walimuondoa kambini Dodoma na kumrejesha Dar es Salaam mara baada ya mchezo dhidi ya Tanzania Prisons. Ahmed amesema Sowah kwa sasa yupo nje ya...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ahmed Ally: Kuna timu kazi yake ni kugawa utamu tu kwenye kundi lake nyie chunguzeni

    Nimemnukuu msemaji wa simba ambaye uwa namuweka kwenye kundi la comedian aliwai kusema Kuna katimu kazi yake ni kugawa utamu tu kwenye kundi lake! Maneno hayo alikuwa anailenga yanga kabla michuano ya kimataifa aijaanza sasa naona simba ndio imekuwa inagawa vizuri utamu kotekote iwe nyumbani...
  11. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania Ahmed Ally: Ninachotamani wote watolewe, tubaki peke yetu

    Mwamba kabisa Semaji la Simba linatamani timu zote zitolewe isipokuwa Simba kwenye michuano ya kimataifa halafu wabaki Simba Peke yao, Timu anazotamani zitolewe ni Yanga, Azam na Singida Black Stars. Neno moja Kwa semaji.
  12. ngara23

    JamiiForums Tanzania Haji Manara kurejea Simba, na Ahmed Ally kupandishwa cheo

    Habari za uhakika ni kuwa Haji Manara amekubali kurejea Simba, Baada ya Rais wa Club hiyo Mo Dewji kumuomba msamaha sana ili arejee Haji Manara ilikuwa aonekane Leo kwenye uzinduzi wa jersey za Simba, lakini kutoka na malipo yake kutoka Kwa Mo Dewji kucheleweshwa, Sasa ni dhahiri tutamwona...
  13. kavulata

    JamiiForums Tanzania Timu ya Taifa ipate kocha mwingine, Hamad Ally awe saidia kocha

    Uwezo wa Morocco na wenzake akina Julio umeishia pale. Morocco anateua wachezaji kwa kubalance badala ya uwezo wa wachezaji. Anaacha nje wachezaji wenye uwezo na kuingiza ndani wachezaji kwa kuzingatia Simba, Yanga, Azam na Zanzibar. Mfano, unamuacha Chikola nje na kumuingiza Shehani ni sawa...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Simba SC yangu Ahmed Ally tafadhali popote pale ulipo nakuomba unijibu haya Maswali yangu....

    1. Nani aliyekuambia kuwa Simba SC ikitangaza Kufungwa Mechi zake za Pre Season huko Misri ni vibaya kwa Mashabiki? 2. Kama umesema Watu wa Kitengo cha Habari Simba SC mmekubaliana msitoe Taarifa yoyote ya Matokeo ya Mechi za Pre Season huko Misri katika Page ya Simba SC ili kutowashtua...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya udereva. Nina uzoefu kusafiri masafa marefu zaidi ya miaka mitano

    Ndgu wapendwa Ninaombi kwenu la kazi ya udereva katika kampuni,mtu binafsi, taasisi. Nina uzoefu wa zaidi ya miaka (05) katika kazi ya udereva, nikiwa na leseni daraja [A, B, C1, na D], na ujuzi mzuri wa kuendesha magari aina mbalimbali pamoja uzoefu wa kusafiri masafa malefu katika mikoa mingi...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Ahmed Ally: Kibu Denis, Che Malone na Edwin Balua wapo Sokoni

    Afisa Habari wa Simba SC, Ahmed Ally amesema kuna uwezekano wa klabu kuwauza nyota wake watatu, Kibu Denis, Che Malone na Edwin Balua. "Mambo yasipoenda sawasawa watarudi kuja kuitumikia mikataba yao," ameomgeza.
  17. Metronidazole 400mg

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua SIMBA SC kuna tatizo uko kwenye uongozi,, Ahmed ally anakupa majibu

    Nimethibitisha ni wazi kuna tatizo kubwa sana huko ndani kwenye uongozi wa simba. Sijajua exactly kama ni hela hakuna??, Viongozi wamejigawa??, au kingine chochote ila nakuhakikishia kuna tatizo kubwa sana. Facial expression ya msemaji wetu Ahmed ally haipo sawa kabisa,, anajitahidi tu kwa...
  18. aka2030

    JamiiForums Tanzania je ahmed ally ana gundu?

    Toka awe msemaji wa simba hamna kikombe walichowahi kubeba ji ni ngundu?
  19. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Farhan Kihamu na Ahmed Ally wajibizana kuhusu kusajili wanachama wapya Simba.

    Baada ya Mchambuzi Farhan Kihamu kuandika kuhusu Simba inavyopoteza mapato mengi kwa kushindwa kusajili Wanachama wapya jambo ambalo linasababisha ukata na kukwamisha maendeleo kwenye klabu hiyo Meneja wa habari na mawasiliano wa Simba SC Ahmed Ally amekuja kwenye komenti ya post ya Farhan na...
  20. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Ahmed Ally: Simba hatujitaji kutumia nguvu nyongi kwenye huu usajili,tuna kikosi bora cha kwanza kutupeleka fainali Club Bingwa

    "Msimu huu hatuna kazi kubwa sana kwa sababu hatutengenezi timu tena, sasa hivi tumeshatengeneza misingi imara. Tukisema Simba tusisajili hata mchezaji mmoja, tunacho kikosi cha kwanza cha kuipeleka Simba fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika. Tunayo timu ya kuipeleka Simba kwenye kuwania...
Back
Top Bottom