vidonda vya tumbo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Andaa tiba hii ya vidonda vya tumbo (ulcers) na ulete mrejesho

    mtomoko mjaafari kokwa la parachichi Chukua mimea ifuatayo:1.Unga wa matunda ya mtomoko (Annona Cherimola) 500 gm2.Unga wa kokwa la parachichi (Persea Americana) 500 gm3.Unga wa mizizi ya mjaafari...
  2. Keyboard_Warrior

    JamiiForums Tanzania Acha kuteseka, dawa za vidonda vya TUMBO ZIPO!

    Habari!? Eeeeh bwana eeeh, nimeteseka sana aisee. Nimesumbuliwa na shida ya vidonda vya tumbo kwa zaidi ya miaka 10. Katika kipindi hicho chote nimetumia dawa nyingi sana, kuanzia dawa za hospitali mpaka dawa za asili. Dawa zote zilishindwa kunisaidia. Hivi karibuni nilikutana na jamaa...
  3. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Ujue Mmea wa Mjaafari tiba za Vidonda vya tumbo

    Kutokea uzoefu wa elimu ya mimea tiba na uhusiano wake na elimu ya viungo vya mwili vilipo(Anatomy) na elimu ya mwili unavofanya kazi (Physiology), Huu ni muunganiko wa maarifa mengi yaliyo katika taarifa za kisayansi. Kwa mfano leo tuelezee uwezo-tiba wa Mjafari (Zanthoxylum chalybeum), lakini...
  4. Nyafwili

    JamiiForums Tanzania Vidonda Vya tumbo: Tatizo linalozidi kuumiza jamii kimya kimya, njoo upate tiba hapa

    Kwa nchi zinazoendelea Vidonda vya tumbo ni mojawapo ya matatizo ya kiafya yanayoathiri watu wengi. Hii inatokea pale ambapo ukuta wa ndani wa tumbo au sehemu ya juu ya utumbo mdogo unapopata jeraha. Watu wengi wamekuwa wakihusisha vidonda vya tumbo na kutokula chakula kwa wakati, kuwa na...
  5. pandex bawasiri

    JamiiForums Tanzania Vidonda vya tumbo chanzo cha bawasiri

    🟢𝐕𝐈𝐃𝐎𝐍𝐃𝐀 𝐕𝐘𝐀 𝐓𝐔𝐌𝐁𝐎 𝐒𝐔𝐆𝐔. ______________________________________ 🌻 Vidonda vya TUMBO SUGU vinakadiriwa kuwa chanzo kikubwa sana cha Bawasiri katika njia zifuatazo. Kwanza 👉Mgonjwa wa vidonda vya tumbo tafsiri yake huwa chakula hakisagwi vizuri tumboni na Vimeng’enya kama vile amylase, protease...
  6. Mafunzo yote ya Udereva

    JamiiForums Tanzania Huyu jamaa wa JF aliyetoa hii comment kuhusu vidonda vya tumbo alikuwa sahihi, naomba JF nzima tumpe hongera

    Hakika JF inabidi kudumu DAIMA Maana huyu ndio kanifanya nimepona vidonda vya tumbo kwa gharama nafuu sana. Ambayo Mimi binafsi nimetumia elfu sita tu.
  7. Foffana

    JamiiForums Tanzania Uzi: Je, una uhakika una 'Vidonda vya Tumbo'? Prof. Janabi atoa ufafanuzi muhimu!

    Mara nyingi mtaani, watu wengi wamekuwa wakijigundua wenyewe au kuambiwa na watu wasio wataalamu kuwa wana 'vidonda vya tumbo' pindi wanapohisi maumivu au kuunguliwa na asidi tumboni. Lakini, je, hii ni sahihi kitabibu? 🤔 Prof. Mohamed Janabi, Mkurugenzi wa JKCI, anasisitiza jambo moja muhimu...
  8. Mayova

    JamiiForums Tanzania Msaada wa matibabu ya vidonda vya tumbo

    Jamani wapendwa mko poa? Nina tatizo la vidonda vya tumbo, naombeni kama kuna mtaalam anaye jua matibabu sahihi ya ugonjwa huu.
  9. Robert Mbathane

    JamiiForums Tanzania Vidonda vya tumbo

    Chanzo Kikuu: # Maambukizi ya bakteria Helicobacter pylori (H. pylori) chanzo chake ni matumizi ya muda mrefu ya dawa za kupunguza maumivu kama Aspirin, Ibuprofen, Diclofenac). # Dalili zake ni pamoja na:- Maumivu ya tumbo sehemu ya juu. Gesi Kujaa tumboni au kuvimbiwa mara kwa mara. KuWa na...
  10. A

    JamiiForums Tanzania MUONGOZO KHS VIDONDA VYA TUMBO NA H-PYLORI

    Habari za mchana wana jamvi naomba kuuliza vidonda vya tumbo na hylori ni vitu vinavyotegemea?namaanisha kwamba unaweza kupima h-pylori hlf kwenye kipimo iko iko doctor akagundua una vidonda vya tumbo?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Dawa ya vidonda vya tumbo kwa wale wanaosumbuliwa.

    Hii dawa ni ya kienyeji! Hii dawa imesaidia watu wengi na vidonda vya tumbo kwao imebaki historia. Ni dawa ya maji kwa mgonjwa ambae vidonda vina muda mrefu atapaswa kupata doz 2 mpaka 3 na kwa mgonjwa ambae vidonda havina muda mrefu mwaka mmoja kushuka chini atatumi dozi 2 tu. Bei ya dozi...
  12. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania Je, vidonda vya tumbo vinaua? Nasikia watu wanasema vinaua bado hainiingii akilini

    Wakuu nipeni update vidonda vya tumbo vinauwaje?? mi sijui mechanism Au kama kuna evidence za watu kufa Na kama kuna Mtu alishawai pona completely
  13. L

    JamiiForums Tanzania Dawa ya vidonda vya tumbo

    Jana nilifika pale hospital ya muhimbili kitengo cha tiba asili nikanunua hiyo dawa ya vidonda vya tumbo, kwa maelezo ya Dr natakiwa kunywa chupa 15 mpaka 20 , nilinunua chupa 5 za kuanzia Kwahiyo ndugu zangu kwa wale mnaohangaika na gas, vidonda vya tumbo mnaweza kufika pale muhimbili na...
  14. Right Marker

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengi wanapata vidonda vya tumbo kwasababu ya stress nyingi

    Stress zinazowakumba wanawake wengi ni stress zifuatazo; 1. STRESS ZA MAREJESHO YA VICOBA. Wanawake wengi wanacheza Vicoba vingi kuliko uwezo wao. Wana madeni na marejesho ni makubwa. 2. STRESS ZA MICHEZO YA KUTOANA. Wanawake wengi wamejiunga na vikundi vingi vya kupeana pesa/kutoana ambavyo...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Je, unaweza ukawa una vidonda vya tumbo na usipate maumivu ya tumbo?

    Mambo vipi wana jamvi, naomba kuuliza, kwa uchache sana. Hivi unaweza ukawa una vidonda vya tumbo halafu usiumwe na tumbo? (usipate maumivu) kama ni ndio naomba kwa ufupi sana dalili nyengine za vidonda vya tumbo
  16. D

    JamiiForums Tanzania Je unasumbuliwa na vidonda vya tumbo na hujapata msaada? Dawa hii hapa

    Habari ndugu zangu. Kwa wale ambao mmekuwa mkisumbuliwa na vidonda vya tumbo kwa muda mrefu na hamjafanikiwa kupata tiba , Leo naomba niwashirikishe dawa hii ambayo imekuwa msaada Sana kwangu. Nimesumbuliwa na vidonda kwa miaka zaidi ya sita , nilikuwa siwezi kutumia maharage, dagaa, pilipili...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Anayesumbuliwa Na vidonda vya tumbo tafuta majani yanaitwa mashona nguo

    Habari za Leo wakuu, Haijalishi vidonda vyako vimefika hatua gani au umekuwa ukisumbuliwa kwa muda gani, unaweza kutumia tiba ya asili kwa majani ya mashona nguo. Haya ni yale majani ambayo huwa yanatoa vimiba vidogo vya rangi nyeusi vyembamba, ambavyo huweza kunasa nguo unapopita karibu nayo...
  18. matunduizi

    JamiiForums Tanzania kwa nini siku hizi watu wengi wanaumwa vidonda vya tumbo na UTI kuliko miaka ya 2000 kurudi nyuma?

    Ukichukua watu kumi wa mjini ni nadra sana kukuta kati yao hakuna mmoja ambaye hasumbuliwi na vidonda vya tumbo. Mara ya kwanza nasikia kuna ugonjwa unaitwa UTI ilikuwa 2008 kwa mdau wangu mmoja jijini DSM. Cha kushangaza miakq ya hivi karibuni imekuwa kama fasheni hasa vijana wa kike na wa...
  19. Introvert Music

    JamiiForums Tanzania Je, mchuzi wa maharage unafaa kwa mgonjwa wa vidonda vya tumbo?

    Wakuu naombeni majibu hivi mtu mwenye vidonda vya tumbo mchuzi wa maharage unamasihara kwake maana wife Hadi namuonea huruma anateseka sana mboga ya kulia wali maana anakula wali mkavu na ndizi tu
  20. G

    JamiiForums Tanzania Kwa utafiti wangu mdogo niliofanya, ongezeko la vidonda vya tumbo na bawasiri husababishwa zaidi kwa kupuuza ama kula kidogo mboga za majani

    Sikuhizi imekuwa kawaida sana watu kula ndizi, wali, ugali huku mboga ikiwa ni maharage, nyama, mchuzi, n.k. bila kutumia mboga za majani aina ya chakula maarufu chenye nyuzi kama figili, mchicha, n.k. kama ipo inakuwa ni kiasi kidogo sana ukila tonge mbili za kipimo sahihi habari imeisha...
Back
Top Bottom