Why wadada wanajichubua sana, hasa Hawa waofanya biashara mbaya mitandaoni

ubarinolutu

JF-Expert Member
Oct 22, 2012
1,964
3,895
Siku hizi maadili yamevunjika kiasi kwamba sijui vijana wanaelekea wapi, Kuna wimbi la biashara za miili Kwa mabinti wa kike na jinsia nyingine zinazofanyika mitandaoni, hasa mitandao ya telegram , wasap, na web za hovyo ambazo serikali imefungia lakini watu bado wanatumia VPN. Hii imeenda mbali Sasa kiasi kwamba kumezuka kundi la Madalali ambao kazi yao ni kuuunga watu na biashara hiyo, Kuna madalali wengine ni mastaa kabisa na wanakupa connection za mastaa uchwala ambao nao wanaendesha maisha yao Kwa biashara hii nyuma ya pazia. Hizi online TV ndo kichocheo kikubwa Cha kuwapa promo mastaa uchwala hasa video vixen wengi ndo wapo biashara hii.

Lengo la Uzi huu sio mnyumbuiko niliofanya hapa juu. Nataka mahsusi kuzungumzia levo za unywaji vidonge vya kuchubua ngozi Kwa wadada wengi ikiwemo mastaa wanaofanya biashara hii na vijana wetu walioharibiwa na uroll modal wa kuwafata hao, siku hizi Kila mdada anefanya mambo ya ajabu ikiwemo ustaa wa ajabu ni mweupe, na weupe ni wa mwili mzima , Sasa nashindwa kuelewa kwanini Hawa watu wameamua kuchubua ngozi na kuingia biashara hii, kwanini serikali inaruhusu madawa haya kuharibu vijana.

Ukiona dalali anaposti wadada zaidi ya thelathini wote wamejichubua mwili mzima, hii inatisha.
Serikali kupitia Mwenyezi naiomba uangalie hili suala mana linaharibu vijana wengi mno na watumishi wengi wa serikali ndo wanaosapoti biashara hii kwani ndo wateja wakubwa
 
Eti Watu8 hili sio tangazo kweli?

Si kama ni tangazo ataje bei ya vidonge vya kuwa mweupe mwili mzima na vinapatikanaje ee?
 

Attachments

  • images (1).jpeg
    images (1).jpeg
    44.2 KB · Views: 6
Back
Top Bottom