haipo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. figganigga

    JamiiForums Tanzania Mifumo ya awamu ya sita imeparalyse, Fikria Usafiri umekwama, hakuna mabasi. Rais Samia wao kajificha

    Hapa ndo utamkumbuka Lowassa, Lukuvi na Makamba. Migomo kama hii haimalizi masaa matatu inakuwa imepatiwa majibu. Sasa hivi waliopo madarakani wanaangalia matumbo yao. Wananchi Mteseke msiteseke mtajua wenyewe. Hadi mjue umuhimu wa kupiga kura kwa watu watakao watumikia. Samia yupo zake...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tunashukuru HESLB kuongeza muda, lakini button ya Application bado haionekani kwenye mfumo

    Kwanza, napenda kuishukuru sana JamiiForums kwa kutupazia sauti sisi waombaji wa mikopo ya HESLB. 🙏🏽 Post yenu ya tarehe 14 Septemba ilisaidia suala hili kuwafikia wahusika, na hatimaye HESLB ikaongeza siku nne za maombi. Tunawashukuru sana kwa hatua hiyo. Hata hivyo, bado kuna changamoto...
  3. Kikubwa Pumzi

    JamiiForums Tanzania KERO Nimelipia Airtel 5G, Lakini Internet Haipo — Nani Atanilipa Hasara?

    Jamani, nimelipia router ya Airtel 5G, lakini mpaka sasa sipati internet kabisa. Nimewasiliana na 100, nikaambiwa kuna tatizo la mtandao lililowakumba watumiaji wote na kwamba internet itarudi, na kwamba siyo tatizo la kifaa wala ufundi. Sawa, nikasema ngoja nisubiri. Lakini cha ajabu, mpaka...
  4. Zum

    JamiiForums Tanzania KERO Vibali vya kazi kusafiri nje ya nchi kupitia Mifumo ya TAESA kwa waombaji/waliopata ajira nje ya nchi vinachelewesha na hakuna updates zozote

    Vibali vya kazi vinavyotolewa na mfumo wa Taesa haupo sirias mda mwingi kuja system error na hata pia huchkua muda mrefu kupata kibali mbali na mhusika kashakamilishamilisha mahitaj viambata na malipo. Ikiwa kuna lolote, ni vyema wakatoa update nini kinahitajika mhusika aweze kukamilisha kukaa...
  5. O

    JamiiForums Tanzania Hii nchi ya Ghana mambo yake kama haipo Africa vile

    Ghana wapo kwenye mchakato wa kupitisha Sheria ya kuwaruhusu wananchi wenye uraia nchi nyingine(diaspora) kuwa na fursa ya kugombea ubunge na kuwa na haki ya kuteuliwa nafasi ya uwaziri! Cha ajabu nchi yetu diaspora haruhusiwi hata kumiliki shamba kwenye nchi yake ya asili! Hivi changamoto hasa...
  6. Smartkahn

    JamiiForums Tanzania Current regime, Sio sahihi wala haipo katika hali, mahali, na nyakati, sahihi

    SERIKALI HAINA UHALALI WA KUSEMA CHOCHOTE. Inachokifanya ni sawa na (Sio vibanzi bali mnatoe kope za mnaowaongoza huku ninyi mkiwa na boliti machoni). Ni sawasawa na kulazimisha safari wakati chombo ni kibovu, chombo kiliitaji service kabla hatujaanza safari.
  7. Jack Daniel

    JamiiForums Tanzania Bro, timiza unayoyaweza , Dunia wala haipo Kasi ni walimwengu tu

    Salaam jamiiforum. Ni April 19 leo mwaka 2026, Siku zinakimbia, yaani bado siku kadhaa tu iadhimishwe siku ya wafanyakazi,bado wiki chache kufikisha nusu mwaka. Ama kweli siku hazigandi. Cha ajabu maisha ni kama yamesimama ,mishe hazisogei,mipango haitimii, anyway kila kitu kina wakati wake...
  8. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya “Vijana wa Subaru & Crown” na “bodaboda” haipo!

    Kufuatia ajali ya vijana wawili wenye Subari Pichani wakishindana na Crown , sasa ni rasmi “bodaboda akili zao ni sawa kabisa na vijana wa Subaru/Crown” Ajali imetokea Morogoro, wakipiga ligi na wakakutana na chuma Uso kwa uso. Ukiangalia Barabara za TANROAD , hakuna ya kuendesha zaidi ya...
  9. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Ni wazi kuwa Nchi kwa sasa haipo kwenye mikono salama

    Kwa masikitiko makubwa sana Viongozi tuliokuwa nao kwa sasa wamekosa TIJA. Nadhani kwa mara ya kwanza kwenye Taifa letu tumeweza kuwa na rais mwenye uwezo mdogo sana Natambua wapo wanaonufaika na incompetence ya Samia , to them , ni stepping stone kufikia malengo yao : Kwenu CCM wenye akili...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Toka Oct 29,2025 CHADEMA kama haipo kabisa na imekosa kusingiziwa

    Hii nchi hasa CCM ni kama haina wanamipango madhubuti. CHadema wamewazidi kistratejia, waliamua kuwa wapole, wakawatulia mzigo wananchi na gen Z. Hili lilipaswa kuonwa mapema sana. Ufedhuri wa CCM na serikali ukaleta hii grave mistake ya kuruhusu wananchi na Gen Z, kubeba ajenda. Leo CHADEMA...
  11. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Miaka ya tisini - elfu mbili kulikuwa na Bus maarufu sana zilizokuwa zikijulikana kama Meridian, vipi kampuni ipo bado?

    Miaka ya tisini - elfu mbili kulikuwa na Bus za Meridiani, vipi kampuni bado ipo? Hawa jamaa Meridian walikuwa maarufu sana wakishindana na Dar Express, safari zao zilikuwa Dar es Salaam to Kilimanjaro & Arusha Zamani bila kupanda bus hizo ulikuwa hujioni matawi ya juu Dar Express nawaona...
  12. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Natumia yas nampigia mtu wa Airtel hapatikan ila inajibu asante kwa kutumia Vodacom namba unayopiga haipatikani

    Nimejiuliza sana mitandao yenye watalaam unaruhusu kitu km huku katika biashara..mimi natumia yas 0678 na uhakika asilimia 100 na niliyempigia mshikaji wangu Sana na NI Airtel hata Jana nimetoka kumrushia hela kwa wakala 0695 sijui alikuwa ameishiwa chaji ikajibu asante kwa kutumia Vodacom namba...
  13. PLOII

    JamiiForums Tanzania WASOMI HAPA VIPI? WALE WAJUVI WA LUGHA KAOMBENI KAZI HESLB; kwa haya makosa ya kawaida ni wazi Taasisi haipo serious.

    No greetings kwa Leo, Nina hasira sana! Nadhani dhana ya utumishi wa umma iendane na uwezo. Unaweza ukasema ni kosa dogo lakini Kuna watu wamepewa madeni yasiyo Yao kwa uzembe wa namna hii. Kosa dogo nyuma au mbele yake Kuna kosa kubwa. Hii ni kuhusu image ya Taasisi kufanya makosa ya kawaida...
  14. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Aliyekuwa Sheikh wa mkoa wa Dar: Kama hakuna amani na haki pia haipo. Kikishanuka kwelikweli unaweza kwenda mahakamani kutafuta haki yako?

    Wakuu, Kwenye huu mdahalo wa Wadau wa Amani Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Wabunge na Madiwani 2025 ambao umeandaliwa na JMAT - Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania kuna point imeibuliwa na huyu Sheikh Anasema pamoja kwamba kuna ukweli kwenye kauli ya kwamba hakuna amani bila haki lakini pia ni...
  15. Mlume Ndago

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Michango wangu wa NSSF mwezi wa 12 Mwaka 2022 & 2024 imetolewa japokuwa ililipwa

    Habari za muda huu wakuu, ni matumaini yangu kuwa mpo na afya na nguvu tele, na kama ni hivyo basi tumshukuru na kumtukuza Mungu wa mbinguni aliye hai. Moja kwa moja bila ya kupoteza muda niende kwenye mada yangu iliyonifanya niandike uzi huu. Suala hili huenda wengine wanalijua na wengine...
  16. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Hizi channel wanaopiga nyimbo 24/7 ni kwamba katika ulimwengu huu kuna nyimbo wanayo mtandaoni haipo ama?

    Upande wa tv kama wasafi, crown, trace, mtv kila ukifungua ni nyimbo, bussiness model ya hizi channel ikoje
  17. Griss

    JamiiForums Tanzania Usalama wa taifa umevamiwa?

    Watu wengi wanafikiri usalama ni kulala na kuamka mzima. Lakini usalama ni zaidi ya hapo Nawaambia nchi haipo salama kwa Sasa. Hakuna usalama wa ajira yaani kwa Sasa mpaka utoe rushwa ya pesa,Ngono au uwe Mtoto wa kiongozi ndio upate ajira au cheo. Usalama wa kiafya haupo Kama ndugu yako...
  18. Bueno

    JamiiForums Tanzania Hii Dunia Haipo Fair Hata Kidogo

    Wapo washenzi kwenye hii Dunia wanacheza rafu sana. Wewe uki-play-fair wenzako wanaingia na miguu yote miwili, watakuvunja kua makini. ...........................
  19. C

    JamiiForums Tanzania Wananchi wanalazimishwa kuipenda CCM, hivyo wanaipenda kwa hofu na unafiki. Haipo mioyoni mwao kabisa na kupingana nayo ni kutafuta mauti

    Ushahidi wa hili ni katika kupiga kura kwakuwa ni tendo la hiyari na halina kutafutana, hawapigi kura kabisaa na hawana fikra hizo za kupiga kura kwa hiyar yao wenyewe ndio maana Ikiwa hakuta kuwa na kura za kupika zitakazo wekwa na wasimamizi wa vituo kwenye masanduku ya kupigia kura kama...
  20. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Mrema: G-55 imekufa rasmi, haipo tena!

    Kutoka akaunti ya X ya Jon Mrema Salaam, kwa kuwa kundi Sogozi la G -55 limekufa rasmi na halipo tena , naomba kuwatangazia rasmi kuwa Usemaji wangu kwenye Kundi hilo umekoma rasmi . Hivyo basi , kama kuna jambo lolote litakalotumia jina la Kundi hilo ieleweke kuwa ni watu watakuwa wanataka...
Back
Top Bottom