uchumi

  1. N

    News Alert: Japani yatumbukia katika mdororo wa kiuchumi bila kutarajiwa, Ujerumani sasa ni nchi ya tatu kwa uchumi mkubwa duniani

    Japan ilitumbukia katika mdororo wa kiuchumi bila kutarajiwa mwishoni mwa mwaka jana, na kupoteza yake kama taifa la tatu kwa uchumi duniani kwa Ujerumani na kuzua mashaka kuhusu ni lini benki kuu itaanza kujiondoa katika matumizi yake ya fedha ya muongo mmoja wa kulegeza sera ya fedha. Baadhi...
  2. Kiboko ya Jiwe

    Wananchi wenye uelewa mdogo hawataacha kumsifia Magufuli aliyeua uchumi wao

    Mtu mwenye akili ndogo, mwenye roho ya umaskini ni kama mchawi tu. Furaha yake ni kuona tajiri anashuka sio yeye kupanda. Maskini wa akili na kipato waliufurahia sana utawala wa Magufuli maana walikuwa wanaamini matajiri wanakomeshwa na wataishi katika wimbi la ufukara kama wao kitu ambacho ni...
  3. Nehemia Kilave

    Vita ya Uchumi haijawahi kuwa nyepesi, Hayati Magufuli aheshimiwe

    Habari JF, vita ya Uchumi kuanzia mitaani, mirathi na makazini hata iwe ndogo haijawahi kuwa nyepesi na haijawahi acha mtu salama. Ukiwa kiongozi wa juu nchi za Africa huwa hakuna vita nyepesi ya uchumi sababu unakuwa unapigana watu wa ndani ya nchi lakini pia na mataifa ya nje. Magufuli...
  4. ward41

    Ukubwa wa Singapore ni kama Wilaya ya Kigamboni tu lakini ina uchumi mkubwa sana

    Ni jambo LA kusimitisha Sana kuona nchi ndogo kama Singapore ikiwa na uchumi mkubwa kuliko taifa lolote ndani ya bara LA Africa Ukubwa wa Singapore ni kama tu wilaya ya kigamboni. Ina raia karibia million Sita Uchumi wake ni gdp karibia 500 billion usd. Kwanini tunazidiwa na nchi ndogo kiasi...
  5. BARD AI

    Katibu Mkuu wa TUICO afikishwa Mahakamani kwa Uhujumu Uchumi

    Shauri la Uhujumu Uchumi namba 2015/2024- Jamhuri dhidi ya Bw. BONIFACE YOHANA NKAKATISI- Katibu Mkuu Taifa wa CHAMA CHA WAFANYAKAZI WA VIWANDA, BIASHARA-TAASISI ZA FEDHA, HUDUMA NA USHAURI (TUICO) imefunguliwa leo Januari 31, 2024 mbele ya Mh. Bittony Mwakisu (SRM) katika Mahakama ya wilaya...
  6. Teslarati

    Kuweni makini, Global Financial Crisis (Mtikisiko wa uchumi) is coming and real

    Kuna mitikisiko midogo midogo ya uchumi huwa inatokea na inadumu kwa muda mfupi lakini kuna ile mikubwa kama Great Depression, hii mikubwa yote huwa inatanguliwa na vita pamoja na utra super overspending kuanzia level ya watu binafsi, familia, makampuni hadi nchi kwa ujumla. Nikisema ultra...
  7. Akilindogosana

    Uchumi wa fremu, Framenomics

    Uchumi wa fremu (Framenomics, Frame + Economics=Framenomics), ndio uchumi halisi wa nchi hii. Uchumi wa kuagiza vitu na kuviuza. Kuimport na kuuza. Hakuna uzalishaji wa bidhaa au huduma wala hakuna exports. Changamoto ni nyingi sana, mipango, ardhi, mtaji, sheria za nchi, na umeme halafu Umeme...
  8. P

    Waziri Mwigulu ashangaa Tanzania kuishi kwa kutegemea Misaada!

    "Lazima kama Taifa tuwe na mikakati ya kujitegemea sio heshima Nchi kama Tanzania tunaishi kwa misaada ili tufikie huku lazima tulipe na kukusanya kodi ambapo bado tunapata shida katika maeneo haya." Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba amesema hayo leo, Jumanne 23/1/2024 Jijini Dodoma wakati wa...
  9. BARD AI

    Rais Ramaphosa amfuta kazi Mshauri wa Uchumi baada ya kuibuka utata kuhusu Elimu yake

    AFRIKA KUSINI: Rais Cyril Ramaphosa amemuondoa kazini Dkt. Thabi Leoka ambaye ni mmoja kati ya Washauri wake katika masuala ya Uchumi kufuatia hoja zilizoanza kuibuliwa kuhusu uhalali wa sifa zake Kitaaluma. Kwa mujibu wake Dkt. Leoka anadai alipata 'PhD' yake kutoka Chuo Kikuu cha London...
  10. The Burning Spear

    Huu Mgao wa umeme Ukiendelea hiví kuna watu watapoteza kazi huko sekta Binafsi

    Great Thinkers. Hali ya upatikanaji wa umeme nchini inatisha na bahati mbaya Serikali na Tanesco wanatuficha ukweli uliopo. Dotto Hakuna lolote la maana alilolifanya toka aingie Hapo. Kwa kweli shuguli za watu zinaathirika Sana. Tuna Zaidí miezi sita ni kata kata tu na sababu zisizoluwa na...
  11. Mto Songwe

    Uchumi wa tujiviwanda hautegemei umeme wa uhakika

    Ukweli ni kwamba kuendesha nchi kwa mchango wa uchumi wa tujiviwanda hakuna umuhimu sana wa umeme kuwa wa uhakika. Ila kama unataka sekta ya viwanda iwe na mchango mkubwa katika ukuaji wa uchumi namaanisha uchumi wa viwanda hapa kuna umuhimu mkubwa sana wa umeme kuwa wa uhakika kwa kiwango...
  12. ward41

    Uchumi wa Bangladesh ni mkubwa kuliko uchumi wa taifa lolote Afrika

    Alietuloga kwa kweli hana huruma. South Africa, Nigeria Egypt wote wamezidiwa na Bangladesh Afrika tuna matatizo gani. Nchi 54 wote tumefeli. Hata hizo za kaskazini (Arab countries) wamefeli. Uchumi wa Morocco, Egypt, Algeria, Tunisia, Libya hauendani na uhalisia. Wote tumefeli vibaya mno...
  13. Kiboko ya Jiwe

    Udanganyifu kwenye mitihani uhesabike miongoni mwa makosa ya uhujumu uchumi

    Pamoja na yote maishani mwangu kitu kinaitwa udanganyifu kwenye mitihani nakichukia sana. Udanganyifu kwenye mitihani ndio mwanzo wa mla rushwa na fisadi. Kama mtu haogopi kufanya cheating kwenye mitihani huyo mtu katu abadani hatoogopa kula rushwa, hatoogopa kufisadi fedha na mali za umma...
  14. B

    Uchumi jumuishi Tanzania sio rahisi kufikiwa na wananchi wote

    Naionea sana huruma nchi yangu ya Tanzania hasa wananchi wake ambao majority wanazama kwenye lindi la umaskini mkubwa. Sababu kubwa ya umaskini kwenye taifa hili, zipo nyingi ila kubwa kupita zote ambayo nitaielezea hapa ni; WIZI, UFISADI NA RUSHWA.  Yaani nchi itakuwa na rasilimali za...
  15. Yoyo Zhou

    Makampuni ya China yasaidia Afrika kuendeleza uchumi wa kidijitali

    Katika msimu uliopita wa ununuzi wa Krismasi na mwaka mpya, Kilimall imekuwa jukwaa la biashara la mtandaoni linalopendedwa zaidi na wateja wengi nchini Kenya, kutokana na bidhaa zake bora na zenye bei nafuu, pamoja na huduma nzuri ya kupeleka vifurushi. Kilimall iliyoanzishwa na mfanyabiashara...
  16. Roving Journalist

    Rais Samia azindua Jengo la Kitega Uchumi Pemba, leo Januari 9, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizindua jengo la Kitega Uchumi la Zanzibar State Trade Cooperation - Pemba visiwani Zanzibar. https://www.youtube.com/watch?v=Xmw8ujSdvGI === Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amewataka wakulima...
  17. S

    Makusanyo ya Mapato Kanda ya Kaskazini Bilioni 1600 versus Bilioni 648 kanda ya Ziwa: Bado mnadai mna nguvu? Nguvu ni uchumi siyo idadi ya watu

    Taarifa iliyotolewa na BOT mwishoni mwa mwaka jana inaonesha kanda ya kaskazini yenye mikoa 4 ndio ya pili kwa makusanyo ya mapato nchini baada ya Dar. Mapato ya Dsm hayashangazi kwasababu kadhaa, kwanza uwingi wa watu, Dsm ndio TZ utamkuta hata mhadzabe. Ila kanda ya wenye sifa yenye mikoa...
  18. Suley2019

    Uchumi wa China: Rais Xi Jinping akiri 'wakati mgumu' kwa baadhi ya makampuni

    Uchumi wa China umekuwa ukijitahidi kufanya kurudi kwa nguvu. Sasa, hata kiongozi wa China, Xi Jinping, amekiri changamoto nyingi ambazo uchumi wa nchi hiyo ulikabiliana nazo mwaka 2023. Baadhi ya makampuni yalipata wakati mgumu. Baadhi ya watu walipata ugumu wa kupata kazi na kukidhi mahitaji...
  19. DON YRN

    Israel kuondoa baadhi ya vikosi vyake ukanda wa Gaza ili kulinda Uchumi wake

    Habari ndo hiyo kwamba baadhi ya vikosi vya wanajeshi wa Taifa teule la Mungu, vitaanza kupunguzwa kutoka uwanja wa vita huko Gaza ili kulinda uchumi wa Taifa la Mungu...
  20. K

    Rais Samia, mfute kazi Waziri wa Maliasili na Utalii, mzungu naye akamatwe na kushtakiwa kwa uhujumu uchumi

    Tazama kwanza Mama huyu akipelekwa kwenda kutumikia kifungo Cha miaka 22 kwa kosa la kukutwa na vipande 12 vya nyama ya swala miezi miwili iliyopita. NB- tuzingatie na kutafakari pia wawindaji waliomuua mamba wamepigwa marufuku kufanya uwindaji nchini kwao. Sasa twende kwenye tukio lilisambaa...
Back
Top Bottom