kanda ya kaskazini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GoldDhahabu

    Swali fikirishi: Kanda ya Kaskazini ingelikuwaje endapo utawala wa kimajimbo /Kikanda ungeruhusiwa Tanzania?

    Tetesi zisizo rasmi ni kuwa baadhi ya watawala wa Tanganyika walikuwa wakiwahofia watu wa ukanda huo! Sina uhakika kama hayo ni ya kweli au ni porojo tu. Hata wengine wameenda mbali kwa kidiriki kusema kuwa Nyerere alilazimia kutokuruhusuKanda hiyo kumtoa Rais wa Tanganyika. Ingawa yote hayo...
  2. Chizi Maarifa

    Genge la wauza madawa ya kulevya lamuua kikatili "Snitch" kutoa onyo kwa wengine huko Kilimanjaro

    Ni wazi kuna police ambao wamehusika na kutoa taarifa za huyu jamaa kuwa ndiye anawahujumu wauza madawa ya Kulevya ambao kwa sasa wamerudi na kasi mpya, ari mpya na nguvu mpya. Kumhujumu rais wetu sami.
  3. I

    Makonda kawa kituko ziara Kanda ya Kaskazini

    Ukifiatilia hotuba zote alizotoa Kilimanjaro na Arusha hakuwa na ajenda ya kueleweka zaidi ya kuzungumzia maandamano ya Chadema na kujikomba kwa Mbowe. Mara akasema siasa inalipa, mara nitalala kwa Mbowe, mara Samia karuhusu maandamano ya Chadema. Hivi Nchimbi hakumwandalia hoja za kupeleka kwa...
  4. S

    Makusanyo ya Mapato Kanda ya Kaskazini Bilioni 1600 versus Bilioni 648 kanda ya Ziwa: Bado mnadai mna nguvu? Nguvu ni uchumi siyo idadi ya watu

    Taarifa iliyotolewa na BOT mwishoni mwa mwaka jana inaonesha kanda ya kaskazini yenye mikoa 4 ndio ya pili kwa makusanyo ya mapato nchini baada ya Dar. Mapato ya Dsm hayashangazi kwasababu kadhaa, kwanza uwingi wa watu, Dsm ndio TZ utamkuta hata mhadzabe. Ila kanda ya wenye sifa yenye mikoa...
  5. Balqior

    Kwa maoni yangu, Arusha inaongoza kuwa na warembo Kanda ya Kaskazini

    Hasahasa maeneo ya Arusha Mjini, usipokua makini unaweza gongwa na bajaji kwa kushangaa wanawake. Wanawake wengi huku Arusha wana makalio makubwa yenye shepu nzuri balaaa, miguu ya bia ilionona daah, huwa saa nyingine nakutana na pisi, naishia tu kuguna kwa tamaa!
  6. R

    Walioitenga Kanda ya Kaskazini wakitamani imomonyoke kimaendeleo wapo wapi?

    Kuna kakikundi Ka watu kalijiaminisha kwamba kanaweza kuidhorotesha Kanda ya Kaskazini kiuchumi na kisiasa kama walivyofanya Kanda ya Kati lakini Mungu amewaumbua kwamba wachapa KAZI dawa Yao siyo kuwaonea wivu Bali nikuwaongezea nguvu wachape KAZI zaidi. Mimi naangalia Dodoma ilivyokufa...
  7. N

    Tunamshukuru sana Mungu Dar es Salaam haipo Kanda ya Kaskazini au kanda ya ziwa

    Tunamshukuru sana mungu mzizima haipo kanda ya kaskazini au kanda ya ziwa kwa hakika kama ingekuwa katika kanda hizo bila shaka wananchi wa mikoa mingine wasingeweza hata kukaribia au kunusa tu ila mungu kwa ufundi na busara hatimaye Dare Ssalaam ipo hapo ilipo. Wenyeji wa mzizima kwa hakika si...
  8. Chawa wa lumumbashi

    Najuta kuoa mwanamke kutoka Kanda ya Kaskazini

    Sina haja ya kuwasilimia hata kidogo Aisee hawa maduu kutoka Kanda ya kaskazini sio poa kabisa nusura nipigwe kipapai kwa maana niuliwe kisa mali aisee nyie wabara mnawezaje kuishi nao hilo kabila? Sio poa kabisa. Yaani ni hivi Kuna duuu mmoja nilikutana nae pale old Moshi tukabadilisha...
  9. M

    Mwaka 2025 ni kimbembe, kama wakurugenzi hawatafanya yao CCM hawatoboi. Kanda ya Kaskazini wana yao pia moyoni,masasi yamelindima

    Ndugu zao wamemwaga damu kwa ajili ya ardhi yao ambayo wamekaa kizazi na kizazi. Mbona hatuajawahi kushuhudia haya mambo? Ilianzia kanda ya Ziwa na sasa imefika kanda ya kaskazini.Mwaka 2025 ni kimbembe.
  10. ijue historia

    Majambazi Wakenya Walivyotikisa na Kuweka Historia Kanda ya Kaskazini Nchini Tanzania (SEHEMU YA TATU)

    SEHEMU YA TATU MOJA katika mchoro huo ni idadi ya watekelezaji wa ujambazi huo katika benki ya NMB MWANGA, kwa mujibu wa “mastermind” mwenyewe ambaye ni MACHO MBAYA aliona kunahitajika watekelezaji sita [6] tu ili mchoro utendewe haki na ujambazi wao kufanikiwa. Hapo wao majambazi WAKENYA ni...
  11. ijue historia

    Majambazi Wakenya Walivyotikisa na Kuweka Historia Kanda ya Kaskazini Nchini Tanzania

    Kitabu bora cha UJASUSI na USALAMA kiitwacho "IJUE HISTORIA" chenye kurasa 470 kinachoongelea historia za UJASUSI, UPELELEZI, SIRI ZA DUNIA, UGAIDI na UHALIFU kimeshatoka na kinapatikana kwa sh 25,000 tu. Pia kundi la "ijuehistoria" (WhatsApp group) lipo kwa gharama ya sh 3000 kwa mwezi. Namba...
  12. G

    Dhana ya udini, ukabila na ukanda wa CHADEMA

    Bob Nyanga Makani ni mmoja wa waasisi wa CHADEMA, ni Msukuma, Mwislamu kutoka Kutoka Shinyanga na katibu mkuu wa Kwanza wa CHADEMA. Katibu mkuu ndiye mwenye siri zote Chama, ndiyo anakaa na mafaili yote, ni mwajiri wa wafanya kazi wa makao makuu nk. Nimejifunza mambo yafuatayo. Mosi, Kama...
Back
Top Bottom