ukanda wa gaza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DON YRN

    Israel kuondoa baadhi ya vikosi vyake ukanda wa Gaza ili kulinda Uchumi wake

    Habari ndo hiyo kwamba baadhi ya vikosi vya wanajeshi wa Taifa teule la Mungu, vitaanza kupunguzwa kutoka uwanja wa vita huko Gaza ili kulinda uchumi wa Taifa la Mungu...
  2. Ritz

    Taarifa zinazokinzana kuhusu jumla ya wanajeshi wa Israel waliouawa katika Ukanda wa Gaza

    Wanaukumbi, Tuliambiwa kuwa Jeshi la Israel limechukua umiliki wa Gaza na wanakamilisha vitu vidogo vidogo kumaliza vita, lakini cha kushangaza mbona kila siku tunasikia vifo vya Wanajeshi wa Israel IDF hawajahi kutuonyesha maiti za Hamas zaidi ya kuona Maiti za Watoto na wanawake. DF...
  3. SNAP J

    Nafazi za kazi ukanda wa Gaza

    Kama title inavyosema Umoja wa mataifa (UN) watangaza nafasi mbali mbali za kazi katika ukanda wa Gaza. Hii sio mara ya kwanza kwa U kutangaza nafasi hizo katika tovuti yao. nimeona niilete hapa ili wale majobless wanaolalamika hakuna ajira maisha magumu bongo wachangamkie fursa. Ila msije...
  4. Mwande na Mndewa

    Vita Ukanda wa Gaza: Msimamo wa Tanzania wakati wa Rais Nyerere, Magufuli na sasa

    Mataifa ya Ulaya na Marekani hayawezi kuja na msimamo wenye kauli ya kuitaka Israel kuacha mashambulizi wala mataifa ya Waarabu hayawezi kukiambia kikundi cha Hamas kuja na kauli ya kutaka wafanye mazungumzo ya amani kwa kuwa hata wao wangeguswa kama ilivyoguswa Israel na Gaza wangefanya kitu...
  5. M

    Imefichuliwa: CBC Inawataka Waandishi wa Habari Kutowaita (Terrorist)magaidi wa Hamas, Tahadhari dhidi ya Kusema 2005 Iliondoka ukanda wa Gaza

    Imefichuliwa: CBC Inawataka Waandishi wa Habari Kutowaita (Terrorist)magaidi wa Hamas, Tahadhari dhidi ya Kusema 2005 Iliondoka ukanda wa Gaza nada. Imefichuliwa: CBC Inawataka Waandishi wa Habari Kutowaita (Terrorist)magaidi wa Hamas, Tahadhari dhidi ya Kusema 2005 Iliondoka ukanda wa Gaza...
Back
Top Bottom