Israel kuondoa baadhi ya vikosi vyake ukanda wa Gaza ili kulinda Uchumi wake

Hakuna taifa teule hapo, ni genge la wahuni liliweza kuwashawishi wajinga wa kusini mwa jangwa la Sahara na kuamini hata kinyesi Cha hao wazungu walioikalia Palestine ni Baraka kwao.

Unakuta mtumishi wa kilokole kapamba madhabahu kwa bendera ya Israel

Ramani ya biblia yenyewe haiitambui Israel kama taifa Bali Palestine.

Hao wayahudi wa Marekani hawana uteule wowote, ni walowezi Haram Toka Ulaya na Marekani. Vita nyingi walizoshinda zilipiganwa na baba na mama zao ( Marekani na Uingereza)

Eti, unakuta jitu linasema hakuna taifa la kuipiga Israel kivita kwa kuwa ni taifa la Mungu

Tell Aviv kumejaa mashoga tupu mpka jeshini, hovyo sana.

Aguse China au Russia aone moto.
 
Kupambana na mtu aliyechoka uonevu, aliyejitoa kufa ama kupona, anayekwenda vitani anafahamu atakufa na akifa ni sawa au akipona ni sawa, huwezi toboa, huwezi shinda. Aisee mentality waliyonayo hao Hamas tayari ni silaha, ni zaidi ya iron dome au silaha yeyote unayoifahamu.

Zamani nilifikiri kuwa na misilaha ya gharama na kutisha ndio kuwa mbabe, lakini kwa sehemu kubwa naona katika vita silaha kubwa ni mentality na morale waliyonayo askari, haya masilaha yenye majina ya kutisha sijui Lockheed Martin F22 Raptor, utasikia Lockheed Martin F-35 Lightning II ni mbwe mbwe na ni biashara za watu, silaha inapambwa kwa sifa mbalimbali ili biashara zifanyike utasikia inakimbia km 2500 kwa saa, hizo ni biashara za watu mambo ya military–industrial complex.

Ndio maana unakuta silaha yenye thamani dola milioni moja, inaharibiwa na silaha ya dola elfu moja, kama sio biashara za watu ni nini?

Inashangaza sana lakini ndio ukweli, myahudi this time around amefeli na kuaibika kwa wakati mmoja, inashangaza.
 
Ukweli wasioupenda kusikia walokole huu
 
acha ubishi we mpotoshaji
 
😅😅😅😅😅😅Chadomo wangekuwa wapambanaji kama hawa jama ,Fisiem ingeondoka kitambo sana .

Safi sana uzalendo ndio mpango mzima hata kama mpo dhaifu na wachache.
 
Kupambana na mtu aliyechoka uonevu, aliyejitoa kufa ama kupona, anayekwenda vitani anafahamu atakufa na akifa ni sawa au akipona ni sawa, huwezi toboa, huwezi shinda. Aisee mentality waliyonayo hao Hamas tayari ni silaha, ni zaidi ya iron dome au silaha yeyote unayoifahamu.

Zamani nilifikiri kuwa na misilaha ya gharama na kutisha ndio kuwa mbabe, lakini kwa sehemu kubwa naona katika vita silaha kubwa ni mentality na morale waliyonayo askari, haya masilaha yenye majina ya kutisha sijui Lockheed Martin F22 Raptor, utasikia Lockheed Martin F-35 Lightning II ni mbwe mbwe na ni biashara za watu, silaha inapambwa kwa sifa mbalimbali ili biashara zifanyike utasikia inakimbia km 2500 kwa saa, hizo ni biashara za watu mambo ya military–industrial complex.

Ndio maana unakuta silaha yenye thamani dola milioni moja, inaharibiwa na silaha ya dola elfu moja, kama sio biashara za watu ni nini?

Inashangaza sana lakini ndio ukweli, myahudi this time around amefeli na kuaibika kwa wakati mmoja, inashangaza.
Utakuta Hamas walishatotoka kitambo. Wapo afghanstan huko au Sytis ai Irak
Hskafu baadae wanarudi wanaliamsha tena, Islael inaendelea kuchezewa mchezo wa paka na panya for a long time.
Islael anaishia kubomoa majengo tu, utakuta wansokufa hata aio wanajeshi.
USA alivhezewa huo mchezo Afghanstan na Iraq mpaka akaamu asepe.
 
Hakuna taifa teule hapo, ni genge la wahuni liliweza kuwashawishi wajinga wa kusini mwa jangwa la Sahara na kuamini hata kinyesi Cha hao wazungu walioikalia Palestine ni Baraka kwao.

Unakuta mtumishi wa kilokole kapamba madhabahu kwa bendera ya Israel

Ramani ya biblia yenyewe haiitambui Israel kama taifa Bali Palestine.

Hao wayahudi wa Marekani hawana uteule wowote, ni walowezi Haram Toka Ulaya na Marekani. Vita nyingi walizoshinda zilipiganwa na baba na mama zao ( Marekani na Uingereza)

Eti, unakuta jitu linasema hakuna taifa la kuipiga Israel kivita kwa kuwa ni taifa la Mungu

Tell Aviv kumejaa mashoga tupu mpka jeshini, hovyo sana.

Aguse China au Russia aone moto.
Mbona una hasira. Naiombea palestine ishinde hii vita.
 
Back
Top Bottom