Mambas are fast-moving, highly venomous snakes of the genus Dendroaspis (which literally means "tree asp") in the family Elapidae. Four extant species are recognised currently; three of those four species are essentially arboreal and green in colour, whereas the black mamba, Dendroaspis polylepis, is largely terrestrial and generally brown or grey in colour. All are native to various regions in sub-Saharan Africa and all are feared throughout their ranges, especially the black mamba. In Africa there are many legends and stories about mambas.
Katika kuhakikisha usalama wa maisha ya watu wilayani Rufiji, Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania - TAWA imefanya msako wa mamba wanaotajwa kutishia maisha ya watu kutokana na kusogea karibu na makazi ya watu kufuatia kusafirishwa na mikondo ya maji yaliyosababishwa na mafuriko...
JF team nimekutana na hii habari kwenye whatsap, naomba kwa mtu aliye karibu na maeneo ya huko Chemka atuambie kama ni kweli au ni uzushi? Naambatanisha na video na huo ujumbe unaozunguka
Kinga ni bora kuliko tiba. Hapa ni Chemka kule boma ng’ombe. Sehemu pendwa kwa kuogelea na natural Massage...
Timu ya Maofisa uelimishaji kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania - TAWA imeweka kambi maalumu wilayani Rufiji yenye lengo la kutoa elimu ya namna ya kuepuka madhara yatokanayo na mamba na viboko kwa wananchi walioathiriwa na mafuriko wilayani humo.
Hayo yamesemwa leo na Afisa...
MAMLAKA YA USIMAMIZI WA WANYAMAPORI TANZANIA
TAARIFA KWA UMMA
HATUA ZINAZOCHUKULIWA NA TAWA KATIKA KUKABILIANA NA CHANGAMOTO YA MAMBA NA BOKO KATIKA BWAWA LA MTERA
Hivi karibuni kumekuwepo na ongezeko la matukio ya wanyamapori wakali na waharibifu wakiwemo mamba na boko kujeruhi na wakati...
Maafisa wa Idara ya Huduma ya Wanyamapori (KWS) siku ya Jana Ijumaa walifanikiwa kumuua mamba aliyemla mtoto wa miaka 11 katika kijiji cha Manyuru, kaunti ndogo ya Ndhiwa Nchini Kenya.
Katika tukio hilo, mtoto huyo, Felix Odongo wa Gredi ya Pili alikuwa anachota maji na wenzake Mto Kuja wakati...
Expression Of Interest To Goods And Service Providers
Mamba Minerals Corporation Limited, a company incorporated in the United Republic of Tanzania with incorporation number 163504529, is seeking expressions of interest from companies able to fulfill the requirements for the purchase of various...
Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori (TAWA) imesema imekamilisha uchunguzi uliokuwa unafanywa ili kuona kama kuna ukiukwaji wa sheria za uwindaji baada ya kuonekana kwa video ya Mwindaji wa Marekani Josh Bowmer akifurahia kuwinda mamba mkubwa chini Tanzania na kuleta taharuki, ambapo uchunguzi...
Naenda moja kwa moja kwenye point.
Hata mimi nisiye na uelewa kwenye mambo haya ya uwindaji sijui na vibali vya uwindaji naamini kabisa katika hili tumepigwa kabisaaa either na huyu Mzungu au hawa TAWA"
Kama kweli huyu ndio mamba mkubwa kuliko wote Tanzania na anarekodi zake, basi kuna kitu...
Hii mada haihusiani kabisa na huyo mamba wenu mkubwa.
Mimi nataka kujua tu hawa mamba maelfu kwa maelfu huwa wanamnufaisha nani?
Je, huwa wanaliwa?
Ila wao kila mwaka wanajeruhi watu kibao. Kwa nini isiwepo operation ya kuwaua?
Tazama kwanza Mama huyu akipelekwa kwenda kutumikia kifungo Cha miaka 22 kwa kosa la kukutwa na vipande 12 vya nyama ya swala miezi miwili iliyopita.
NB- tuzingatie na kutafakari pia wawindaji waliomuua mamba wamepigwa marufuku kufanya uwindaji nchini kwao.
Sasa twende kwenye tukio lilisambaa...
Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori (TAWA) imesema inaendelea na uchunguzi kuona kama kuna ukiukwaji wa Sheria za uwindaji baada ya kuonekana kwa video ya Mwindaji wa Marekani Josh Bowmer akifurahia kuwinda mamba mkubwa nchini Tanzania mwenye rekodi ya dunia na kuleta taharuki.
Taarifa ya TAWA...
Kiuhalisia jamaa aliyefanya Poaching hana kosa kwa Mujibu wa kanuni asilia kwa sababu Mnyama kama Mamba yupo kwenye Top of Food Chain, yani ni mnyama hasiyekuwa na Natural Predator au competition kutoka kwa Predators wa jamii nyingine tofauti na wanyama kama Simba, Chui, Duma na Fisi ambao kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.