ukubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. David Harvey

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Wanawake Wanaolea Watoto, Nimejaribu na Kugundua Ukubwa wa Kazi Hii

    Kulea watoto ni zaidi ya kazi. Weekend iliyopita, mke wangu alienda kwenye msiba ,alifiwa na shangazi yake. Sehemu ya msiba iko karibu na makazi yetu, takribani kilomita 20 hivi. Nilimwambia aende, na kwamba mimi nitakuja siku ya mazishi,Nilimshauri asiende na watoto. Wakati huo, dada wa kazi...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Ofisi imenikatalia kwenda Mbeya kwa ndege kwa sababu ya ukubwa wa nauli - ATC sio lile shirika la Watanzania masikini alilolikusudia Magufuli!

  3. Dalali_wa_kimataifa

    JamiiForums Tanzania #plotforsale Gezaulole kigamboni Ukubwa sqm 3500 Block 16 Inauzwa milion 290 Full documents #daressalaam🇹🇿 #kigamboni #tanzania #realestate

    #plotforsale Gezaulole kigamboni Ukubwa sqm 3500 Block 16 Inauzwa milion 290 Full documents #daressalaam🇹🇿 #kigamboni #tanzania #realestate
  4. Dalali_wa_kimataifa

    JamiiForums Tanzania #plotforsale Gezaulole kigamboni Ukubwa sqm 3500 Block 16 Inauzwa milion 290 Full documents #daressalaam🇹🇿 #kigamboni #tanzania #realestate

    #plotforsale Gezaulole kigamboni Ukubwa sqm 3500 Block 16 Inauzwa milion 290 Full documents #daressalaam🇹🇿 #kigamboni #tanzania #realestate
  5. Dalali_wa_kimataifa

    JamiiForums Tanzania #plotforsale Gezaulole kigamboni Ukubwa sqm 3500 Block 16 Inauzwa milion 290 Full documents #daressalaam🇹🇿 #kigamboni #tanzania #realestate

    #plotforsale Gezaulole kigamboni Ukubwa sqm 3500 Block 16 Inauzwa milion 290 Full documents #daressalaam🇹🇿 #kigamboni #tanzania #realestate
  6. Traxtion

    JamiiForums Tanzania British-Nigerian influencer Igho Ubiribo alifariki March 2026 katika procedure za kuongeza ukubwa wa uume wake akiwa Thailand

    Influencer na mfanyabiashara mwenye asili ya Nigeria na uraia wa Uingereza, Igho “Tiny” Ubiribo, anayejulikana pia kwa majina ya Denisi au Ego, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 43 baada ya kupata matatizo kutokana na utaratibu wa kuongeza ukubwa wa uume nchini Thailand. Uchunguzi wa kifo...
  7. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania UN yaidhinisha ramani yenye Ukubwa halisi ya Afrika huku USA Wapinga.Tu Damp Dini, Elimu na mifumo Yao ya Utawala.

    My Take Hawa kima weupe walitufogosha sana ,ni wakati wa kuwatupia virago kuanzia dini zao,Elimu zao na mifumo Yao ya usalama Ili tururishe ukuu wa muafrika. https://www.instagram.com/p/Dc5oAiZjT0Q/?img_index=2&igsi=NnhsbDFnY3l1Zml0
  8. Sonship

    JamiiForums Tanzania Eneo la ukubwa wa heka 3 linauzwa Mbezi mwisho

    🏢 ENEO KUBWA LA UWEKEZAJI LINAPATIKANA — MBEZI MWISHO! Mbezi Mwisho, sio mbali na Stand ya Mabasi ya Mbezi Magufuli 🛣️ Linatazama moja kwa moja Barabara Kuu ya Mbezi–Msigani 📐 Ukubwa: Heka 3 ➡️ Sqm 12,300 ENEO BORA KWA UWEKEZAJI WA KIBIASHARA! Eneo hili linafaa kwa miradi mbalimbali...
  9. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Ukubwa sio mwili tu kama inner child hajakuwa...(utarudia cycles)

    One thing about maisha ni kuwa haya rudi nyuma... So kama present yako leo usipo iishi utakavyokuwa utakuja kui mourn au kuijuita mbele ya safari.. Binafsi katika utoto wangu sikuruhusiwa kuwa mimi, meaning I was robbed of my childhood.. Nili ishi na ku treatiwa kikubwa.. Nilisikia maneno...
  10. funaku

    JamiiForums Tanzania Huwezi kutaka katiba itakayodogosha ukubwa wa mamlaka...hapo hakutakuwa na Taifa moja

    Ni asiyejitambua tu ndio atalilia tuwe na katiba itakayodogosha ukubwa wa mamlaka .......Eti Rais awe na nguvu sawa na Mwenyekiti wa kijiji cha mpitimbi au rais wa NGO s za kutetea haki ya mbu kuishi.!! Ukiruhusu katiba ya namna hiyo utakuwa na Taifa la kambale au uduvi kila mmoja ana ndevu...
  11. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Iran: Kwa Ukubwa wa Nchi Yetu Tunaweza Kuhimili shambulio La Nyuklia na Kusimama Tena, Israel Ndogo Itasambaratika. Waamue Wasuke au Wanyoe

    Iran imesema endapo itashambuliwa na silaha za Nyuklia watajibu Kwa Ukubwa sana na hawataangalia fatwa inayowakataza kutumia silaha za maangamizi ya binadamu Kwa kushambulia vinu vya Nyuklia vya Israel ambavyo vitaleta maafa kwenye Nchi hiyo ndogo tofauti na wao ambapo wataathirika lakini Ukubwa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Hadhi ya Mwanza na majiji mengine ipo wapi? Tukisema hizi ni dharau tunakosea? Bajeti na mikopo ni kwajili ya miradi ya Dar na Dodoma?

    MIRADI YA MIUNDOMBINU YA MAJIJI – BAJETI YA MWAKA 2026/27 1. JIJI LA DAR ES SALAAM BRT na Maboresho Makubwa ya Barabara I. BRT Awamu ya 3: Maktaba – JNA – Gongolamboto (km 23.3) II. BRT Awamu ya 4: Maktaba – Morocco – Mwenge – Tegeta pamoja na Mwenge – Ubungo (km 30.1) III. BRT Awamu ya 5...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nchimbi: Tukijenga Utaratibu wa kuwa wakweli, Tukijenga utaratibu wa kutoa mawazo yetu kwa nia njema, tutajenga Nchi kwa kiwango kikubwa sana

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi ameshiriki mazishi ya Marehemu Boniface Makene, aliyewahi kuwa Mwandishi wa Habari wa Makamu wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mohamed Gharib Bilal, yaliyofanyika katika Kijiji cha Mabui...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Website ya BRELA ni mbovu sana na haendani na ukubwa wake wala teknolojia ya kisasa

    BRELA inatazamiwa kama kitu kikubwa sana na ukubwa wa juu yenye bajeti nzto sana lakini website yake ndio mbovu hivi maandishi yempandiana pandiana kiasi kwamba inatoa user experience mbovu sana. MDAU Je, unafikiri shida ni bajeti ndogo au wataalamu wa website hawana uwezo ? Vitu vimewekwa...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Ukubwa wa Mdomo/Vidole huakisi vitu vingi mwilini mwa binadamu

    Ukubwa wa mdomo/vidole vya mkono humaanisha pia ukubwa wa maumbo ya baadhi ya viungo vingine mwilini mwa binadamu. Gen Z chagua kwa makini. Usije kujuta. Asanteni.
  16. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania Suala la michango shule za serikali ni changamoto kubwa sana serikali litazameni kwa ukubwa sana

    Nimeona leo waziri mkuu akitoa maelekezo mepesi kwenye jambo zito hilo jambo ni zito tena zito kweli mnasema kweli elimu bila malipo na serikali kila mwezi inapeleka pesa mashuleni pesa ambazo matumizi yake na mambo mengine yanaitaji uwazi sasa niwape changamoto tu hizo shule za serikali si zipo...
  17. Prof Phraoh AI

    JamiiForums Tanzania Je, infinity zinatofautiana ukubwa?

    Wote tunajua kua infinity ni mwisho usio fikika mfano namba 1, 2, 3, 4, ... Je kuna Infinity kubwa kuliko mwenzake mfano infinity ya 1, 2, 3, 4, 5... nisawa na infinity ya 2, 4, 6, 8, 10... ? Jibu ni kwamba infinity zote ni sawa mfano infinity ya 2, 4, 6... imepatikana kwa kuzidisha 1, 2...
  18. 6 Pack

    JamiiForums Tanzania Picha: Kweli ukubwa wa pua sio wingi wa kamasi. Vita ya week 2 tu Trump ashakuwa hivi!!

    Niaje waungwana Kwa sasa Trump asha panic, anagombana na kila nchi ili apate msaada wa kupambana na Iran. Iran hii ambayo yeye (Trump) alipoingia madarakani 2016 - 2020 aliiongezea vikwazo vikali mno ili kuidhoofisha kijeshi na kiuchumi. Iran hii ambayo maraisi wote wa Marekani, na washirika...
  19. kukumdogo

    JamiiForums Tanzania Ukubwa wa Papa hadi WAISLAM wanaripoti kwake

    Kutokana na Taasisi ya ukatoliki ilivyokubwa duniani, inasababisha hadi masheikh wakubwa wa Dunia wakaripoti kwa papa na wapewe miongizo ya kuendesha dini zao.
  20. Mlatino Zeshalo

    JamiiForums Tanzania Makadirio ya tiles kwa nyumba ya ukubwa huu mkoani Mwanza

    Wakuu habari za majukumu, Kama title ilivyo, naomba mnisaidie kujua makadirio yote kwa ujumla maana nimesikia ukiachana na tiles, mchanga, maji na cement, kuna kitu inaitwa grout, skating, Ukubwa wa vyumba ni kama ifuatavyo: Sitting Room: 525*630 Master Bedroom: 524*385 Bedroom 1: 280*410...
Back
Top Bottom