uchumi

  1. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini nchi haina Kitengo cha Intelijensia ya Uchumi?

    Muundo wa Serikali ulivyo ni wazi hatuna kitengo kinachoratibu na kusimamia intelijensia ya uchumi. Kama mipango yetu ingeongozwa na intelijensia ya uchumi maana yake sera zetu zingeeleweka hadi ngazi ya mtaa ila kwa sasa hata mawaziri hakuna ajuaye tuna threat na opportunity gani kisekta...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Kauli ya kuusema uchumi wa China unaporomoka, ni kauli zinazofilisika

    Siku hizi, vyombo vya habari vya Magharibi vimejitokeza pamoja kuusema vibaya uchumi wa China, na kwamba hata rais Joe Biden wa Marekani alikuja mwenyewe, akisema kuwa China inakabiliwa na matatizo ya kiuchumi na hata akadokeza kuwa uchumi wa China utaporomoka. Lakini ukweli ni kwamba: uchumi wa...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mikoa ambayo haina majiji lakini inachangia pakubwa kwenye uchumi wa nchi

    Kwa observation zangu ni: 1. Kilimanjaro 2. Mara 3. Geita 4. Iringa 5. Songwe 6. Pwani 7. Morogoro NB: Kuna mikoa kama singida ni ya kuhurumiwa tu.
  4. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Iundwe Kamati huru kubaini chanzo cha nyufa JNHP maana kuna harufu ya uhujumu uchumi

    Tumeona Naibu waziri mkuu, Mh Dotto Biteko akifanya ziara katika Bwawa la Mwalimu Nyerere na Kutoa ushauri jinsi ya kuziba nyufa zilizoanza kuonekana kwenye ukuta wa Bwawa. Haiwezekani kuacha jambo hili lipite hivi hivi bila kufanyika uchunguzi na kuchukua hatua Kali dhidi ya wahusika wote...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Utendaji mbovu wa BRELA unaathiri uchumi wa nchi. Rais Samia tafadhali shughulika na taasisi hii

    Taasisi ya kusajili makampuni ya BRELA inafanya kazi bila weledi. Rushwa, uzembe na dharau kwa wateja vimetawala. Tafadhali mheshimiwa rais shughulika na watendaji wabovu BRELA.
  6. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Muswada wa Mabadiliko ya Sheria ya Kanda Maalum ya Uwekezaji na Uchumi

    MBUNGE EDWARD LEKAITA AKICHANGIA MSWADA WA MABADILIKO YA SHERIA YA KANDA MAALUM YA UWEKEZAJI (MAUZO YA NJE) NA UCHUMI Mhe. Edward Ole Lekaita akichangia Bungeni jijini Dodoma katika Mswada wa Mabadiriko ya Sheria ya Kanda Maalum ya Uwekezaji na Mauzo Nje ya Nchi na Mswada wa Mabadiliko ya...
  7. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Umwona Daktari wa Uchumi Msalimieni

    Tanzania tuna Dakatari wa uchumi. Aliyejimwambafai na kutueleza kwamba mambo yote ya kiuchumi wa nchii tumwachie yeye. Sisi na akina Luhaga Mpina tuendelee kujadili Mambo ya kiganga na kucheza singeli Mkimwona msalimieni sana mwambieni huku mtaani tunaishi kwa nguvu ya macho..wala hatuji.kama...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mkandarasi barabara ya Itoni- Lusitu (Njombe) adaiwa kuwa na mpango kutahatarisha mito na maisha ya wananchi

    Kwa habari nilizozipata nikuwa ili kupunguza ghrama za ujenzi mkandarasi anayejenga barabara ya ITONI- LUSITU kwenye eneo la Kitulila anafanya MPANGO wa Kuchepusha Barabara ambako ni karibu sana na vyanzo vya maji na kuacha barabara kuu ambayo Haina shina kwa kigezo cha kupunguza ghrama za...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Bureau Change zisipofungiwa uchumi utazidi kushuka

    Nikiwa mdau wa biashara inayotumia dola kwa malipo mbalimbali, nimekuwa mhanga wa upotevu wa dollar. Leo imenibidi nieleze niliyoyaona. Unaweza fika bureau change, na Kuna watu wengi wanabadilisha dollar, ukifika dirishani uweze kupatiwa dollar, wanakuambia hawana, hii ni uhujumu uchumi kabisa...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Tax awapa Wakuu wa Mikoa mbinu za kutekeleza Diplomasia ya Uchumi

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Stergomena Tax (Mb.) amewapa Wakuu wa Mikoa mbinu mbalimbali za kutekeleza Diplomasia ya Uchumi katika Mikoa yao. Dkt. Tax ametoa mbinu hizo tarehe 26 Agosti, 2023 wakati wa Mafunzo ya Uongozi kwa Wakuu wa Mikoa na Makatibu...
  11. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Tafakuri ya FaizaFoxy 9: Ushauri kwa Rais Samia, Dr. Hussein Mwinyi na Watanzania wote kuhusu Uchumi wa Bandari wenye tija

    Kwa nia njema kabisa, kwa mustakabali wa Taifa lenye tija na malengo ya miaka 200 mbele. Hii yangu ni simple na straight forward idea ambayo inaweza kuanza kuwa "implemented" kesho. Ni kuamuwa tu haina longolongo. Hakuna shaka kabisa kuwa dunia nzima sasa hivi inaitazama na kuichungulia...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Utamaduni mpya wa uchumi duniani umeshabadilika, tujiandae kisaikolojia kwenda nao na si kuganda kule kule

    Vilabu vikubwa vya Ulaya vinamtangaza Emirates kila kukicha. Mechi inachezwa uwanjani na ukitazama yale mabango ya umeme yanayokatiza pembeni ya mstari wa uwanja huwezi kulikosa bango lenye sura za kinadada wazuri weupe wanaotangaza shirika hilo la ndege. Kabla mechi hazijaanza au kabla ya...
  13. Logikos

    JamiiForums Tanzania Maelewano ya Jamii ni Muhimu kuliko Faida za Ki-Uchumi

    Maelewano na mshikamano ni Priceless - Kwahio chochote kile hata kama kina faida kiasi gani za kifedha hakiwezi kuziba pengo litakaloweza kuachwa na Jamii kutokuelewana.... Mfano kuna Wadau walienda vijijini kuwajengea watu nyumba za Kisasa kwa gharama kubwa na zingekuwa faida sana kwao (mwisho...
  14. Pile F

    JamiiForums Tanzania Ubepari wa Kigeni Katika Uchumi wa Tanzania Leo

    Habari ya siku, wasomi wa kweli, nguvukazi yetu na watu mlio Imara. Poleni na shughuli na purkushani za hapa na pale. Mola awajaalie mpate afadhali zaidi. Moja kwa moja kwenye Mada: Pamoja na Ubepari wa kibinafsi na mabwanyenye wa kienyeji hapa Tanzania, kuna utaratibu wa uzalishaji mali wa...
  15. Naantombe Mushi

    JamiiForums Tanzania Miezi 30 ya Rais Samia madarakani: Pamoja na kujikwaa kwenye Bandari, bado ni Rais mwenye record bora ya kukuza uchumi wa Tanzania kwa kipindi kifupi

    Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni. Unapozungumzia masuala ya kiuchumi, huwa mara zote tunaangalia Zaidi ‘numbers’. Kwenye uchumi hakuhitaji porojo na mihemko. Waweza kumchukia mtu lakini kamwe huwezi kujidanganya kwamba eti hakuna lolote alilofanya, kwasababu namba huwa hazidanganyi. Lengo...
  16. OLS

    JamiiForums Tanzania Tanzania imeendelea kuwa imara licha ya uchumi wa dunia kutetereka

    Summary Licha ya wasiwasi ulimwenguni kama janga la COVID-19, kutokuwa na utulivu kifedha, na mivutano ya kijiografia, uchumi wa Tanzania uko imara. Ripoti ya Hali ya Kifedha ya Benki Kuu ya Tanzania inasisitiza ukuaji thabiti wa uchumi wa taifa, ambapo mwaka 2022 ulishuhudia ongezeko la 4.7%...
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Martha Mariki - Kukamilika kwa Ujenzi wa Daraja la Msadiya Kutakuza Uchumi Halmashauri ya Mpimbwe.

    Mbunge Martha Mariki - Kukamilika kwa Ujenzi wa Daraja la Msadiya Kutakuza Uchumi Halmashauri ya Mpimbwe. WANANCHI katika Kijiji Cha Chamalendi halmashauri ya Mpibwe Wilaya ya Mlele Mkoa wa Katavi wameishkuru serikali Kwa Ujenzi wa Daraja la Msadiya linaloziunganisha kata za Chamalendi na...
  18. funaku

    JamiiForums Tanzania Ufaransa watazidiwa stratejia katika vita vya uchumi dhidi ya Urusi?

    Niger inageuka kuwa kete muhimu ya vita vya kiuchumi katikati ya mataifa nguli na yenye misuli duniani. Viashiria ni kwamba sera za mfaransa Africa zimetikiswa ndani ya wiki hii ambapo Niger anaenda kumkataa mfaransa kama mshirika wa kihistoria kiuchumi.Jambo ambalo linaenda kutishia uchumi wa...
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mradi wa ujenzi wa Mji wa Serikali Mtumba umeleta ajira na kuchangia chachu ya ukuaji wa uchumi

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulika na (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama, amesema mradi wa Ujenzi wa Mji wa Serikali Mtumba, pamoja na Miradi mingine ya kimkakati imeleta ajira na kuchangia kasi na chachu ya ukuaji wa uchumi hususan katika Jiji la Dodoma. Ameyasema...
  20. Logikos

    JamiiForums Tanzania Uchumi Mamboleo; Timu haijengwi na Washambuliaji Pekee

    Kumetokea Kasumba ya Watengeneza Sera kuwa Wauza Sura na Wapiga Brah Brah; Kama vile walivyo wapiga ramli wanatafuta mchawi kwa kuwaambia wadau makosa ni yao kwa kutokufanikiwa... Wanasema kila kitu ni Biashara kana kwamba vingine vyote havina maana; Yaani hata Timu sababu Mfungaji ndio...
Back
Top Bottom