pemba

Pemba Island (Arabic: الجزيرة الخضراء‎ al-Jazīra al-khadrā, literally "The Green Island") is a Tanzanian island forming part of the Zanzibar Archipelago, lying within the Swahili Coast in the Indian Ocean.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    JamiiForums Tanzania Hizi project zinazo endelea Pemba zipo Kasi sana kipindi hichi?

    Nimepata safari ya kikazi kwenda Zanzibar kisiwa Cha Pemba , safari yangu ilianzia Tanga na boti ya Zanzibar 3 safari ilikua ya lisaa 1 ,nilicho jionea Pemba Ina miradi mingi sana ya serikali inatekelezwa awamu hii barabara kila mtaa kiwango Cha rami , shule za golofa , na inaenda kwa kasi...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Fainali ya CRDB shirikisho kupelekwa Zanzibar ni dharau kwa mashabiki wa Simba

    Ni jambo la ajabu, Zanzibar waba ligi yao, chama chao cha soka, mamlaka yao ya mapato lakini ama kw kujipendekeza kwa wanasiasa au mpango wa mwenyekiti wa bodi ya ligi kulinda maslahi ya Azam. Mashabiki wa Simba wengi wao wakiwa upande wa bara wamekuwa wakijitoa muda mrefu ikiwemo kuchangia...
  3. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mbunge Bi Chum Kombo: Wanawake wa mkoa wa kaskazini Pemba tutaulinda muungano kwa gharama yoyote

    Mwakilishi wa Viti Maalum Wanawake Mkoa wa Kaskazini Pemba, Mhe. Bi Chum Kombo Khamis amesema kuwa kwa niaba ya wanawake wa mkoa huo, wanaahidi kuilinda na kuihudumisha Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kwa gharama yoyote Kwa niaba ya wanawake wa mkoa wa kaskazini Pemba niseme kwamba naahidi...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Jimbo la Ole, Pemba asema nyama iliyoteketezwa ilikaa muda mrefu baharini ikaharibika

    Mei 29, 2026 Mdau aliandika “Pemba: Nyama ya msaada iliyotolewa na Wabunge imebainika haifai, kuna watu wameingia nayo mtaani, Mamlaka zipo kimya” Hoja ya awali ~ Pemba: Nyama ya msaada iliyotolewa na Wabunge imebainika haifai, kuna watu wameingia nayo mtaani, Mamlaka zipo kimya Mbunge wa...
  5. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Pemba: Nyama ya msaada iliyotolewa na Wabunge imebainika haifai, kuna watu wameingia nayo mtaani, Mamlaka zipo kimya

    Hivi karibuni Wabunge wa Zanzibar ambao wanawakilisha katika Bunge la Jamhuri ya Muungano walijichanga na kutaka kutoa zawadi kwa Wananchi wa Pemba, ambapo waliandaa nyama. Nyama hiyo iliingizwa Pemba kupitia Bandari ya Wete, haijulikani nini kilitokea, ilichelewa au ilikwama au ni yenyewe tu...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Wilaya ya Micheweni – Pemba tunasumbuliwa kupata Vyeti vya Kuzaliwa, tunachoka kusubiri

    Sisi Wananchi wa Wilaya ya Micheweni, Mkoa wa Kaskazini Pemba tuna malalamimo juu ya upatikanaji wa Vyeti vya Kuzaliwa katika Ofisi ya Uwakala wa Usajili wa Matukio ya Kijamii, ukihitaji unasumbuliwa kuliko maelezo. Unaweza kufuatilia kwa muda wa mwaka mzima hujapata cheti cha mtoto wako...
  7. BigTall

    JamiiForums Tanzania PEMBA: Waandishi wa Habari watakiwa kukaa karibu na Watafiti ili waibue matatizo ya Jamii

    Wandishi wa Habari wametakiwa kuzitumia Tafiti wakati wanapoandika habari zao, ili kuibua changamoto zinazoikabili jamii na kupatikana kwa ufumbuzi wa jambo husika. Ushauri huo umetolewa na commissiona wa ufuatiliaji na tathmini kutoka Tume ya Mipango Zanzibar zuhura Mohd Abdallah kwa niaba...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wananchi wa Kijiji cha Mitatuni, Pemba tuliathiriwa na Mradi wa Barabara ya Mtambile - Nanguji hatujalipwa fidia na hatuna pa kuishi

    Sisi ni Wananchi wa Kijiji cha Mitatuni, Jimbo la Mtambile, Wilaya Mkoani, Mkoa wa Kusini Pemba katika eneo letu tunaloishi kumepita mradi wa ujenzi wa Barabara ya Mtambile hadi Nanguji inayojengwa na mkandarasi IRRIS. Malalamiko yetu mkandarasi huyu alijenga njia kwa kujaza kifusi kingi bila...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ajali ya Meli: Watu wanne wahofiwa kuzama, watu kumi waokolewa

    Kuna taarifa za kusikitisha sana ambazo zimetoka rasmi leo tarehe 17 Aprili 2026, kutoka Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) zikithibitisha kutokea kwa ajali mbaya ya majini iliyohusisha meli ya mizigo ijulikanayo kama MV JOZANI II katika maeneo ya pwani ya Tanga usiku wa kuamkia leo...
  10. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Uwanja unaojengwa Pemba, Mkoa wa Kaskazini, Wilaya ya Wete unawekewa nyasi zilizotoka kwenye Uwanja mwingine

    Kero yangu ni Kiwanja cha mpira kinachojengwa Kisiwani Pemba, Mkoa wa Kaskazini, Wilaya ya wete, Shehia ya Pandani. Yaani Kiwanja kipya lakini kinawekwa Nyasi kongwe (zimetolewa kiwanja chengine). Hapo tayari ubora wa kiwanja haujafikiwa, kila siku itakuwa ni ukarabati.
  11. Fbn

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wanaume wa Pwani na visiwani Pemba na Unguja wanapenda kupika ukilinganisha na wa Bara?

    Labda sijafika saudia ila nimeona tabia zao yani mwanaume mwenzangu unapika utazani mtoto wa kike tena unashinda jikoni. Sisi wanaume tunajua kupika ni kuchoma nyama na kupika supu. Sasa mwanaume mwenzangu unapika kuliko mwanamke hii sio sawa. Mumejazana forozani huko.
  12. Donnie Charlie

    JamiiForums Tanzania Pacha wajinyonga hadi kufariki baada ya kukorofisha na mama yao Pemba

    Watoto wawili wa kike, ambao ni mapacha wenye umri wa miaka 11 na wanafunzi wa darasa la tano katika Shule ya Kizimbani, wamekutwa wakiwa wamefariki baada ya kujinyonga. Tukio hilo limetokea katika Kijiji cha Kwale Mpona, Shehia ya Finya, Wilaya ya Wete, Mkoa wa Kaskazini Pemba. Akizungumza na...
  13. Mzalendo Uchwara

    JamiiForums Tanzania Ilikuwa ni kisasi cha wazanzibari kwa watanganyika dhidi ya yale mauji ya 2001 kule Pemba

    Wanzanzibari akiwepo 'mama yenu' wanacho kinyongo cha muda mrefu na watanganyika. Kuanzia mauaji yaliyoambatana na mapinduzi matukufu (mpaka wajomba wakakimbilia Oman), muungano, kifo cha Karume, issue ya Jumbe, na hususani yale mauaji ya wapemba baada ya uchaguzi wa mwaka 2000. Hayati Mkapa...
  14. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya Pemba Yanavyosababisha Mtindio wa Ubongo na Saratani

    Matumizi ya pemba yamebainika kuongeza hatari ya kupata maradhi ya saratani, pamoja na kuongeza uwezekano wa mtoto aliye tumboni kuzaliwa akiwa na mtindio wa ubongo. Hayo yameelezwa na Dkt. Joseph Mwanga, mhadhiri mwandamizi wa Afya ya Jamii kutoka Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi...
  15. Maya Angelou

    JamiiForums Tanzania Natafuta mganga wa kienyeji konki

    Poleni na majukumu ya kila siku, nimekuja na ID yangu hii sina haja ya kujificha. Moja kwa moja kwenye mada, nahitaji msaada kama kuna mtu anamjua mganga wa uhakika anifanyie kazi yangu, kuna waganga huwa nasikia wanatoa watu mabusha, wanatuma majini au kumpa mtu ugonjwa nahitaji mganga wa...
  16. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Watu watano wahajulikani walipo baada ya mashua kuzama wakisafiri kutoka Pemba kwenda Unguja

    Watu watano wahajulikani walipo baada ya mashua waliokuwa wakisafiria kutoka Pemba kuelekea Unguja, kupigwa na dhuruba na kisha kuzama. Wananchi katika eneo la Mwambe Wilaya ya Mkoani, Kisiwani Pemba wamekusanyika katika eneo la bandari, wakisubiri hatma ya wenzeo watano waliokuwa wanasafiri...
  17. Taasisi ya Mifupa-MOI

    JamiiForums Tanzania MOI yang'ara Maonesho ya Elimu ya Juu Pemba

    Washiriki wa maonesho ya elimu ya juu yanayoendelea visiwani Pemba wamevutiwa na banda la Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI), ambapo wengi waliotembelea banda hilo kupata elimu juu ya huduma za kibingwa na kibobezi zinazotolewa wamepongeza. Afisa Uhusiano wa MOI, Bw. Abdallah...
  18. Y

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya Muambe Kengeja, Wilaya ya Mkoani Pemba ni hatari kwa usalama wa Watumiaji

    Barabara ya Muambe Kengeja, Wilaya ya Mkoani, Pemba imekuwa kero, katikati ya njia kuna drainage za kupitishia maji ambazo wamezitengeneza kwa zege, nondo zimeshang’oka na zimetokeza juu. Ikitokea umepita kwa mwendo wa haraka unaweza kujeruhiwa na nondo zilizopo hapo. Tunaomba Mamlaka...
  19. Last_Joker

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Mzimu wa mashuaa (Jini la Msitu wa Mtende)

    SEHEMU YA KWANZA MTUNZI: The Last Joker Mwanzo wake haukuwa na kelele nyingi. Saa tano za mchana, jua lilipokua limeyumba pembezoni mwa msitu wa Mtende, kulikuwa na ukimya wa ajabu. Kimya kilichozidi hata cha kaburi. Ukapigwa na upepo wa ghafla—ukaja kama kicheko cha majini waliokuwa hawajala...
  20. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri wa Uchukuzi Makame Mbarawa awasilisha Ripoti ya utekelezaji wa ilani ya CCM Jimbo la Mkoani Pemba, zaidi ya Millioni 800 zimetumika miaka 5

    Waziri wa Uchukuzi Makame Mbarawa awasilisha ripoti maalumu ya utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi CCM kwa miaka mitano jimbo la Mkoani Pemba Akiongea na Viongozi pamoja na wanachama mbalimbali wa chama hicho Prof Mbarawa amebainisha namna alivyofanya jitihada za ziada kwa kutafuta pesa...
Back
Top Bottom