Usiku wa saa 4 ya leo kwa mara nyingine tena kutakuwa na mechi ya kibabe barani ulaya kwenye Ligi ya Mabingwa (UEFA Champions League) ikiwakutanisha miamba hii miwili ya soka pale Parc des Princes (Ufaransa).
Kwa upande mmoja ni bingwa wa ligi ya ufaransa na ligi ya mabingwa ulaya Paris...
Ngoja nikwambie kitu kimoja kuhusu kesi hii.
Ukiisikiliza kwa juu juu, unaweza kudhani mjadala mkubwa ni kwamba Lissu alisema maneno gani na aliyamaanisha nini.
Lakini ukiingia ndani ya sheria, utaona kwamba swali la msingi ni kwamba..
Je, Jamhuri imethibitisha kwamba maneno hayo yanatimiza...
MISS GRAND INTERNATIONAL 2026: TANZANIA TUMEFIKIA WAPI, TUTAPATA NINI NA MSHINDI ANAPATIKANAJE?
Wakuu, siku hizi nimeona kampeni ya Miss Grand Tanzania, Jihan Dimack, ikishika kasi sana kwenye mitandao ya kijamii ambapo watu mbalimbali hasa watu maarufu wakiongozwa na Niffer{ Jenifer Jovn...
Gor Mahia imeondolewa kwenye CAF Champions League baada ya kipigo kizito cha jumla ya 7-1 dhidi ya Pyramids FC ya Misri, matokeo ambayo sasa yameibua maswali na tuhuma za match-fixing miongoni mwa baadhi ya mashabiki.
K’Ogalo iliingia Cairo ikiwa nyuma kwa mabao 2-0 baada ya kupoteza mechi ya...
"Sukuma Gang" ni jina au msemo wa kisiasa nchini Tanzania unaotumiwa kuelezea kundi la wanasiasa, viongozi, na wanaharakati wa mtandaoni walioaminika kuwa wafuasi wa karibu wa mtazamo, falsafa, na uongozi wa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli.
Neno hili si kundi...
Katika kipindi kisichozidi wiki mbili, Tanzania imeshuhudia ongezeko la watu wanaofikishwa mahakamani wakikabiliwa na mashtaka ya ugaidi. Miongoni mwao ni mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), viongozi wa CHADEMA Students' Organization (CHASO), pamoja na makundi ya watuhumiwa zaidi ya 20...
Tunamshukuru Mungu kwa yote yaliyotokea kwa Nchi yetu kwa Mwezi ule wa 3 miaka kadhaa iliyopita.
Bado tunaamini atatenda tena kwa njia zake, Maana Mungu haishiwi mipango.
Tuna amini kwamba kilichomkuta Dikteta Jiwe kitawakuta hata Hawa Madikteta Wapya, Mungu hataniwi, Huwezi kuua maelfu ambao...
Mnamo tarehe 24 Februari kundi la mujaheddin El Khalq lenye asili ya watu wa KURDI lilivamia makazi ya Ayatollah Khamenei na kuyashambulia kwa risasi.
Idadi ya wanamgambo hao walikua wasiopungua 200 walivamia makazi ya Khamenei kwa lengo la kumuua na kuanzisha mapinduzi wakishirikiana na...
Watu leo wakiasi uwezi kwenda kuwafungulia kesi za uhaini wakati wewe mwenyewe umewauwa ndugu zake wengi.
Wewe ndio muasi na yeye ni mtetezi na mpigania haki huwezi kushinda hiyo kesi lazima utaulizwa umeuwa watanzania wengi na kuteka hadi maiti kwa sheria gani ?
Hello
Kupitia analysis fupi niliyofanya nimekuja na majibu kwamba Tanzania tuna asilimia kubwa 99% kubeba kombe hili
Timu nyingi za Taifa ambazo ni magiant round hii zinacheza mpira wa ovyo na hazina ubora ule tuliouzoea siku zote
Viwango vya wachezaji havipishani sana baina ya yale mataifa...
Ukifanya tathmini ya kina kuhusu CCM utagundua hakuna jambo wanaloliogopa kama ajitokeze mtu mwenye nguvu ndani ya chama, aseme "mabadiliko ya mfumo wa kuendesha nchi hayakwepeki tena na ni lazima yafanyike".
Miaka ya mwanzo wa 1990s, Rais wa Urusi Mikhail Gorbachev, baada ya kuona mzigo wa...
Shangwe latawala mara baada ya Mbunge wa Buchosa aliyemaliza muda wake, Eric Shigongo, kuibuka mshindi katika kura za maoni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) akiwania muhula wa pili wa ubunge katika jimbo hilo.
Wasalaam!!
1: Kundi la kwanza ni kundi la pure wazalendo wa nchini lenye ushawishi ni kundi linaloongozwa na Tundu Lissu,John Heche, Lema na umma wa wapenda mabadiliko ya kweli, Hawa ni wale ambao hawajawai kuwa serikalini lakini serikali wanaijua nje ndani na uozo wao wote na wakiingia...
Ni dhahiri shairi kuwa kuna fukuto kubwa linaendelea ndani ya chama tawala ambalo ni kero kubwa kwa wanachama wao wengi.
Jambo la kufurahisha na kutia moyo ajenda kubwa ya chama kikuu cha upinzani CHADEMA ya No reform no election imeingia kwa kasi ya mwendo wa Ngiri katika jumba la kijani...
Karibu marais waliopita, ni Magufuli pekee aliyetumia raslimali za umma kujenga kwao. Siku hizi nasikia Kizinkazi. Je baada ya hapo, tutegemee Songea kwa Nchimbi? Je hii ni haki kwa mikoa ambayo haijawahi na wala haitatoa marais? Kwanini viongozi wetu hawakujifunza toka Gbadolite na Yamoussokro...
Ndugu zangu Watanzania,
Moshi Mweupe Wafuka Juu ya Bendera Yetu ya Tanzania Geneva Uswisi. Yatabiliwa Tanzania na Professa Mohammedi Janabi Kuibuka Kidedea kwa mara nyingine tena katika kinyang'anyiro cha ukurugenzi mkuu wa WHO kanda ya Afrika.
Hii ni kutokana na uungwaji mkono mkubwa...
Kuwako kwa wimbi kubwa na la ghafla mtandao wa X (twitter) kwa wanaojiita mapunter.
Uchunguzi wangu...
Wanatabia kama za watu wa forex now kuonyesha wana maisha mazuri sana na wanapiga hela kwenye betting.
Mbili, code wanazotoa ni za kweli, bt kama ilivyo kwa wote mwisho wa siku huchezi ww...
Tangu kuingia karne ya ishirini na moja, nchi za "Dunia ya Kusini" zimeanza kubadilika hatua kwa hatua kutoka nchi nyingi zenye ukimya mkubwa hadi kuwa nguvu kuu inayoendesha mabadiliko katika utaratibu wa kimataifa.
Nchi na mashirika ya kimataifa kutoka Kusini, kama vile China, India, Umoja wa...
Kamati ya Tuzo za Muziki Tanzania (TMA) kwa kushirikiana na Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), wametangaza kuwa sherehe ya utoaji wa tuzo hizo itafanyika rasmi tarehe 19 Oktoba 2024, kuanzia saa nane mchana. Tuzo hizo zitatolewa katika Ukumbi wa The Super Dome, Masaki, Dar es Salaam.
Vipengele...
AFRIKA KUSINI: Rais Cyril Ramaphosa amemuondoa kazini Dkt. Thabi Leoka ambaye ni mmoja kati ya Washauri wake katika masuala ya Uchumi kufuatia hoja zilizoanza kuibuliwa kuhusu uhalali wa sifa zake Kitaaluma.
Kwa mujibu wake Dkt. Leoka anadai alipata 'PhD' yake kutoka Chuo Kikuu cha London...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.