jengo

  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Baadhi ya vyoo Jengo la RITA TOWER - Dar sink zimeharibika na hazirekebishwi

    Meneja Mpya wa Jengo la RITA TOWER lililopo hapa Dar amekuja ameondoa sinks za kunawia na mifumo ya maji vyooni, sehemu za kunawia kwa ajili ya maboresho lakini hadi sasa ni wiki ya NNE hakuna maji ya kunawa na sinks vyooni kwenye floors zaidi ya 15 kati ya 26 za jengo hili. Tumemfikishia...
  2. H

    JamiiForums Tanzania DKT. MWIGULU AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA JENGO LA OFISI ZA HALMASHAURI YA BAHI

    DKT. MWIGULU AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA JENGO LA OFISI ZA HALMASHAURI YA BAHI Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Jumamosi, Septemba 5, 2026, amekagua maendeleo ya ujenzi wa Jengo la Ofisi ya Utawala la Halmashauri ya Wilaya ya Bahi na kuweka jiwe la msingi la mradi huo, unaolenga...
  3. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania JENGO JIPYA LA ABIRIA UWANJA WA NDEGE WA KIGOMA HII NI HABARI NYINGINE

    Ukarabati na Upanuzi wa Uwanja wa Ndege wa Kigoma umefikia zaidi ya asilimia 67. : 𝐌𝐑𝐀𝐃𝐈 𝐖𝐀 𝐊𝐈𝐌𝐊𝐀𝐊𝐀𝐓𝐈 𝐔𝐍𝐀𝐎𝐅𝐔𝐍𝐆𝐔𝐀 𝐋𝐀𝐍𝐆𝐎 𝐉𝐈𝐏𝐘𝐀 𝐋𝐀 𝐁𝐈𝐀𝐒𝐇𝐀𝐑𝐀 𝐍𝐀 𝐔𝐓𝐀𝐋𝐈𝐈 Huu ni miongoni mwa Miradi ya kimkakati inayotekelezwa na Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa lengo la...
  4. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Jengo Pekee Ambalo Halijasombwa na Mafuriko ya Nepal Limeonesha Umuhimu wa Ujenzi unaozingatia viwango na vigezo vya Kihandisi kwenye majengo ya Umma.

    Wataalamu wa uhanrdisi wa majengo wamefanya uchambuzi ni Kwa nini jengo Pekee la gorofa lilibakia limesimama bila kuangushwa na kusombwa na Mafuriko yenye Nguvu ya Nepal wakati majengo yote ya jirani yalioshwa. Jambo hili Limeonesha Umuhimu Kwa Serikali na watu binafsi kufuata vigezo na...
  5. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Siasa za migongano: Nchimbi na harakati za kujiunga na mtandao na jengo la la UVCCM ( 1998 - 2008)

    Hakuna mtu wa CCM hajui ugomvi wa Nape na Nchimbi juu ya Jengo la UVCCM na mpaka leo Nchimbi pale anamiliki Floor, jana nilishangaa Msingwa kichwa maji anasema kuwa eti hakuwahi kusikia kuhusu stori ya UFISADI. Kila mmoja hapa nenda tu Google kaulize stori ya Nchimbi na Jengo la UVCCM na hata...
  6. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania Chizi aliyechoma moto jengo la mahakama ya mwanzo Moshi mjini mbaroni

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro limefanikiwa kumtia mbaroni mtu mmoja anayedaiwa kuchoma moto jengo la mahakama ya mwanzo mjini Moshi . Kwa Mujibu wa Taarifa ya jeshi la polisi mkoani Kilimanjaro mtuhumiwa huyo ametajwa kwa jina la John Daud, (42), mkazi wa mtaa wa Lengua,Manispaa ya Moshi...
  7. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania Mtu mmoja anayedaiwa kuwa na tatizo la afya ya akili achoma moto jengo la mahakama ya mwanzo mjini Moshi

    Mtu mmoja anayedaiwa kuwa na tatizo la afya ya akili ,adaiwa kuchoma moto kwa makusundi jengo la zamani la mahakama ya mwanzo mjini Moshi mkoani Kilimanjaro na ,kusababisha uharibifu mkubwa wa jengo pamoja na nyaraka mbali mbali zilzokuwa zimehifadhiwa ndani ya jengo hilo. Kamanda wa Jeshi la...
  8. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gikomba Yabadilika: Jengo Jipya Laahidi Kubadilisha Sura ya Soko

    Soko maarufu la Gikomba jijini Nairobi liko katika hatua mpya ya mabadiliko makubwa, huku majengo matatu ya kisasa yenye ghorofa kadhaa yakianza kuchukua sura. Mradi huo unalenga kubadilisha soko hilo kutoka eneo lenye msongamano na miundo ya muda hadi kituo cha kisasa cha biashara. Kwa mujibu...
  9. Dalali_wa_kimataifa

    JamiiForums Tanzania Jengo linauzwa lipo Africa sana billion 5, maongezi yapo

    YARD INAUZWA Plot size SQM 3800 Ipo Mwenge Full Documents Bei ni Tsh 5b/- mazungumzo yapo 🇹🇿Call/whatsap+255758844717
  10. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO DIT: Usalama wa wanafunzi wanaovuka barabara kwenda madarasa ya nnje ya chuo ni mdogo

    Wito kwa Uongozi wa DIT kuhusu usalama wa wanafunzi Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu wa Shahada ya Kwanza (Bachelor) katika Chuo cha Dar es Salaam Institute of Technology (DIT). Ningependa kuwasilisha changamoto inayohusu usalama wa wanafunzi wanaotumia njia kati ya DIT Main Campus na jengo...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TANESCO: Tumefanya ukaguzi wa miundombinu katika Jengo la Mwenge Stendi na kubaini huduma ya umeme ni ya uhakika

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limebaini kuwa huduma ya umeme katika Jengo la Kituo cha Mabasi cha Mwenge inaendelea kuwa ya uhakika baada ya kufanya ukaguzi wa miundombinu kufuatia taarifa zilizosambaa zikidai kuwepo kwa changamoto ya kukatika kwa umeme mara kwa mara katika eneo hilo...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TANESCO: Tumepokea taarifa ya changamoto ya umeme jengo la biashara Mwenge, tunafanyia kazi

    Kuhusu hoja ya Mdau aliyezungumzia Dar: Jengo la Stendi ya Mwenge linakosa umeme mara kwa mara, inasemekana lina deni ufafanuzi umetolewa kutoka upande wa TANESCO. Asante kwa kutufahamisha kuhusu changamoto hii. Tumepokea taarifa yako na tunaichukulia kwa uzito. Kesho (Julai 15, 2026)...
  13. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Buriani na Kwaheri Jengo la Al Jamiatul Islammiya fi Tanganyika (1933 - 2026)

    https://youtu.be/sESA440hvSs?si=xyq6R_sINF0ApN8g
  14. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki ufunguzi wa Jengo la Mionzi (Chemotherapy) Hospitali ya KCMC-Moshi Kilimanjaro

    https://www.youtube.com/live/tbA3qAYbzio?si=33KuineyOZDSZmtR Video Courtesy: Directorate of Presidential Communications YouTube Channel
  15. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Jengo la Al Jamiatul Islammiya fi Tanganyika ni Alama ya Historia ya Kupigania Uhuru wa Tanganyika

    https://youtu.be/4Azi52gW5U8?si=Ir7sExLBDoRqPSd-
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Madai ya kukosekana Mochwari Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi, uongozi wasema fedha imetengwa kujenga jengo hilo

    TAARIFA KWA UMMA Uongozi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi umeona taarifa katika mitandao ya kijamii kuhusu changamoto ya ukosefu wa Mochwari katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi. Hoja ya Mdau ~ Milioni 100+ zinatumika kununua gari la ‘staff’ Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi...
  17. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Wakili Peter Madeleka yupo Mahakamani kwa ajili ya kesi ya wafanyabiashara 'wapangaji' katika jengo la ghorofa lililoporomo Kariakoo

    Wakili Peter Madeleka, tayari amefika kwenye viunga vya Mahakama Kuu ya Tanzania, Divisheni ya Ardhi ambapo kesi inayowahusu waliokuwa wafanyabiashara 'wapangaji' kwenye jengo la ghorofa lililoporomo Kariakoo, Jijini Dar es Salaam mwishoni mwa mwaka 2024 inaanza kusikilizwa leo, Jumatatu Mei...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu asema Serikali imejipanga kujenga jengo lenye hadhi ya kimataifa Airport ya Mwanza

    WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali inaendelea kuchukua hatua kuhakikisha Uwanja wa Ndege wa Mwanza unaboreshwa na kujengwa katika hadhi ya kimataifa ili kuendana na hadhi ya jiji la Mwanza kama kitovu muhimu cha shughuli za kiuchumi Kanda ya Ziwa. Amesema hayo bungeni jijini...
  19. BigTall

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Jengo lililopo eneo la Stone Town, Zanzibar limeporomoka

    Jengo lililopo eneo la Stone Town, Zanzibar limeporomoka ghafla, huku mamlaka zikianza uchunguzi wa haraka kubaini chanzo cha tukio hilo. Chanzo: Mnana Online TV Pia soma ~ Jengo Maarufu Zanzibar kwa utalii, Beit Al Ajaib laporomoka
  20. greater than

    JamiiForums Tanzania Ujenzi: Kuzuia maji katika jengo

    SEHEMU YA PILI Namna ya kuzuia maji katika jengo 1.Mfumo wa kuchepusha maji mbali na jengo 2.Uwepo wa gutter 3.Matilio zenye kuzuia maji 1.MFUMO WA KUCHEPUSHA MAJI KATIKA KIWANJA Njia hii inatakiwa kutumika katika kukabiliana na maji yanayogusa sehemu za chini katika jengo lako,sehemu hizo ni...
Back
Top Bottom