uchumi

  1. Gabriel Shewio

    Vipi Watanzania tutaweza kuboresha uchumi wetu?

    (Maoni yangu binafsi) Maboresho ya uchumi ni wimbo wa kila awamu ya kiuongozi, aidha kila awamu huja na vipaumbele vyake. Mfano, katika kuboresha elimu, awamu ya 5 chini ya JPM ilikuja na mkakati wa kutoa elimu bure na hivyo kutoa ruzuku mashuleni zinazokaribia shilingi bilioni 18 kila mwezi...
  2. Stephano Mgendanyi

    Waziri Dkt. ndumbaro Aagiza BASATA na Bodi ya Filamu Kusimamia Sekta ya Sanaa Kukuza Uchumi wa Nchi

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro ameliagiza Baraza la Sanaa la Taifa na Bodi ya Filamu nchini kuhakikisha zinasimamia vyema Sekta ya Sanaa iweze kuchangia katika ukuaji wa uchumi wa nchi na kunufaisha wasanii. Dkt. Ndumbaro ametoa maagizo hayo Oktoba 17, 2023...
  3. Msanii

    Kutoka uchumi wa kati hadi kupapasa gizani tumepiga hatua

    Kabla Shujaa Mwendazake hajatuaga, tuliambiwa nchi imepaa na sasa tupo uchumi wa kati. Baada ya ziara zenye tija za Mama, ambazo hakika zimefungua nchi na uchumi kupaa sana tumefkia hapa leo nchi kuwa gizani Nyerere alitufundisha na kutuasa kuwakataa hawa wapuuzi wanaolizamisha Taifa bila...
  4. L

    Ustawi wa soko katika siku za mapumziko wathibitisha ufufukaji wa Uchumi wa China

    Katika siku nane za mapumziko ya Siku ya Taifa la China, watu wameshuhudia ustawi wa soko, kwani mamilioni ya watu wamefanya utalii, na wateja walijaa kwenye maduka na mikahawa. Kuongezeka kwa shauku ya watumiaji kwa mara nyingine tena inaonyesha uthabiti mkubwa na uhai wa uchumi wa China, hivyo...
  5. MK254

    Israel yafaulu kumuua waziri wa uchumi wa HAMAS

    Huyu kazi yake ilikua kupanga mipango yote ya matumizi ya fedha, yaani zipi zitumike kwenye ugaidi upi na wapi. Poleni kwa msiba wenzetu wa huku uswahilini mnaowaita wale ndugu. Israel bado haijaanza kulipiza kisasi. ========= PHOTO: GETTY IMAGES Rear Admiral Daniel Hagari, spokesman for...
  6. M

    Saudi Arabia haiwezi ingilia mgogoro haiwezi kubali uchumi wake na malengo yake yaangushwe

    Saudi Arabia haiwezi ingilia mgogoro haiwezi kubali uchumi wake, majengo na malengo yake ya muda mrefu yaangushwe. Kwa sababu ya kuingilia vita na watu waliokubali magaidi wawe sehemu yao. Week iliyoisha saudia Arabia, Israeli na Palestine walikuwa kwenye makubaliano ya amani.. Lakini kwa...
  7. FRANCIS DA DON

    Je, ni kwanini Japan tunayoambiwa ina uchumi mkubwa na maendeleo inagandamiza abiria kwenye treni kama viazi ulaya?

    Je, hii video clip hapo chini inayoonyesha abiria wakishindiliwa ndani ya treni kama nyanya za masalo huko Japan, ni kweli au ni Comedy video? https://youtube.com/shorts/ITpgR10DftY?si=oYDBAX5Di3WkoSOn
  8. figganigga

    Usitilie maanani maneno ya Mwanamke yoyote isipokuwa yanayohusiana na Uchumi tu

    Nilichojifunza. Mwanamke ni mtu mzuri sana. Na ndo wanaokamilisha mwanaume. Mwanamke na Ua na mambo mengine mazuri. Ila Usifanyie kazi maneno ya Mwanamke bila kufanya uchunguzi wako wa kina. Hata akiongea huku analia, hata aongee huku amegalagala chini. Ukitaka uishi na watu vizuri, iwe...
  9. Venus Star

    Hii ndio Urusi, Ulaya na Marekani wanaiogopa (Miundombinu, Utamaduni, Viwanda, Uchumi na Maliasili)

    BWANA YESU ASIFIWE Nimekuwa nikifanya utafiti wangu wa mara kwa mara na kuleta taarifa sahii zenye uchunguzi wa kina kuhusu nchi mbalimbali na kisha watu waweze kuelewa undani wake. NImefanya utafiti wangu kwa miaka mitano kuhusu nchi ya Urusi. Leo hii nitawaletea hali halisi ya nchi hii...
  10. K

    Maandalizi muhimu kabla ya uchaguzi ili kuepuka kusema umeibiwa kura Chama chako kinaposhindwa

    Hii ni kwa vyama vyote vinavyoshiriki uchaguzi ,uwe uchaguzi mdogo, uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu. Kila chama ni muhimu kufanya maandalizi ili kuepuka kutupa lawama kusikostahili. Kwanza, Kila chama kinatakiwa kihakikishe kina wanachama wafia chama ambao watakuwa pamoja na...
  11. S

    Uchumi wa Ujerumani umedorora baada ya kukosa Gesi ya bei nafuu kutoka Russia

    Germany went from envy of the world to the worst-performing major developed economy. What happened? ESSEN, Germany (AP) — For most of this century, Germany racked up one economic success after another, dominating global markets for high-end products like luxury cars and industrial machinery...
  12. TUKANA UONE

    Mimi na Joannah tunatarajia kufungua Kanisa hivi karibuni ili kukabiliana na hii hali ya Uchumi

    Bwana Yesu asifiwe watu Mungu. Mimi na mama mchungaji Joannah Katika majadiliano yetu ya kukabiliana na hali ya uchumi,tumeonelea tuanzishe Biashara ya Kanisa ili nasi tujipatie kipato kizuri kama wafanyavyo wapambanaji wengine. Haikuwa kazi rahisi kulifikiria hili suala ila namshuku Mungu...
  13. The Sheriff

    Amani, Uhuru, na Ustawi wa Kiuchumi ndiyo mambo pekee yatakayoiepusha Afrika na Mapinduzi ya Kijeshi

    Maendeleo ya Afrika yanakwamishwa na serikali zilizojaa ukandamizaji, taasisi zinazotumia rasilimali kwa faida ya wachache, na viongozi wanaoona siasa kama njia ya kujinufaisha. Misingi ya jamii inayofanya kazi vizuri na kuwajumuisha watu wote katika nchi nyingi za Afrika mara nyingi haipewi...
  14. R

    Kwanini nchi haina Kitengo cha Intelijensia ya Uchumi?

    Muundo wa Serikali ulivyo ni wazi hatuna kitengo kinachoratibu na kusimamia intelijensia ya uchumi. Kama mipango yetu ingeongozwa na intelijensia ya uchumi maana yake sera zetu zingeeleweka hadi ngazi ya mtaa ila kwa sasa hata mawaziri hakuna ajuaye tuna threat na opportunity gani kisekta...
  15. L

    Kauli ya kuusema uchumi wa China unaporomoka, ni kauli zinazofilisika

    Siku hizi, vyombo vya habari vya Magharibi vimejitokeza pamoja kuusema vibaya uchumi wa China, na kwamba hata rais Joe Biden wa Marekani alikuja mwenyewe, akisema kuwa China inakabiliwa na matatizo ya kiuchumi na hata akadokeza kuwa uchumi wa China utaporomoka. Lakini ukweli ni kwamba: uchumi wa...
  16. K

    Mikoa ambayo haina majiji lakini inachangia pakubwa kwenye uchumi wa nchi

    Kwa observation zangu ni: 1. Kilimanjaro 2. Mara 3. Geita 4. Iringa 5. Songwe 6. Pwani 7. Morogoro NB: Kuna mikoa kama singida ni ya kuhurumiwa tu.
  17. R

    Ushauri: Iundwe Kamati huru kubaini chanzo cha nyufa JNHP maana kuna harufu ya uhujumu uchumi

    Tumeona Naibu waziri mkuu, Mh Dotto Biteko akifanya ziara katika Bwawa la Mwalimu Nyerere na Kutoa ushauri jinsi ya kuziba nyufa zilizoanza kuonekana kwenye ukuta wa Bwawa. Haiwezekani kuacha jambo hili lipite hivi hivi bila kufanyika uchunguzi na kuchukua hatua Kali dhidi ya wahusika wote...
  18. F

    Utendaji mbovu wa BRELA unaathiri uchumi wa nchi. Rais Samia tafadhali shughulika na taasisi hii

    Taasisi ya kusajili makampuni ya BRELA inafanya kazi bila weledi. Rushwa, uzembe na dharau kwa wateja vimetawala. Tafadhali mheshimiwa rais shughulika na watendaji wabovu BRELA.
  19. Stephano Mgendanyi

    Muswada wa Mabadiliko ya Sheria ya Kanda Maalum ya Uwekezaji na Uchumi

    MBUNGE EDWARD LEKAITA AKICHANGIA MSWADA WA MABADILIKO YA SHERIA YA KANDA MAALUM YA UWEKEZAJI (MAUZO YA NJE) NA UCHUMI Mhe. Edward Ole Lekaita akichangia Bungeni jijini Dodoma katika Mswada wa Mabadiriko ya Sheria ya Kanda Maalum ya Uwekezaji na Mauzo Nje ya Nchi na Mswada wa Mabadiliko ya...
  20. The Burning Spear

    Umwona Daktari wa Uchumi Msalimieni

    Tanzania tuna Dakatari wa uchumi. Aliyejimwambafai na kutueleza kwamba mambo yote ya kiuchumi wa nchii tumwachie yeye. Sisi na akina Luhaga Mpina tuendelee kujadili Mambo ya kiganga na kucheza singeli Mkimwona msalimieni sana mwambieni huku mtaani tunaishi kwa nguvu ya macho..wala hatuji.kama...
Back
Top Bottom