Wananchi wenye uelewa mdogo hawataacha kumsifia Magufuli aliyeua uchumi wao

Kiboko ya Jiwe

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
12,712
36,173
Mtu mwenye akili ndogo, mwenye roho ya umaskini ni kama mchawi tu.

Furaha yake ni kuona tajiri anashuka sio yeye kupanda. Maskini wa akili na kipato waliufurahia sana utawala wa Magufuli maana walikuwa wanaamini matajiri wanakomeshwa na wataishi katika wimbi la ufukara kama wao kitu ambacho ni impossible.

Maskini ambaye mwingine hata cheti cha kidato cha 4 hana anapata raha akisikia kuwa boss ambaye ana PhD katumbuliwa, hajui kuwa huyu msomi bado ataendelea kutafuna Kodi zao mpaka afe.

Maskini wa akili na mali anaamini kila tajiri ni mwizi wa mali za umma.
Maskini wa akili na mali waliufurahia sana sakata la vyeti fake, baadaye zahanati zingine zikakosa wahudumu wakafia kwenye mabenchi. Kama mtu ana cheti cha taaluma na anafanya vizuri kulikuwa na ulazima wa cheti cha kidato cha nne? Magufuli aliwaweza sana maskini wa akili na mali.

Viwanda viliyumba na vingine kufungwa, kampuni nyingi viliyumba na zingine kufungwa masking wa akili na mali waliufurahia sana wakasahau kuwa huko sekta binafsi ndiko kunakotoa ustawi kwa wananchi.

Maskini wa akili na mali wanafurahi sana kumwona mtoto wa jirani mwenyewe degree au diploma hana kazi eti kwakuwa yeye watoto wake wote ni wavuta bange na wacheza singeli.
 
Maskini ambaye mwingine hata cheti cha kidato cha 4 hana anapata raha akisikia kuwa boss ambaye ana PhD katumbuliwa , hajui kuwa huyu msomi bado ataendelea kutafuna Kodi zao mpaka afe.

Maskini wa akili na mali waliufurahia sana sakata la vyeti fake , baadaye zahanati zingine zikakosa wahudumu wakafia kwenye mabenchi. Kama mtu ana cheti cha taaluma na anafanya vizuri kulikuwa na ulazima wa cheti cha kidato cha nne?
Magufuli aliwaweza sana maskini wa akili na mali.

Yaan ww bado unaangaika na Magufuli ambaye hayupo duniani. Mlimwita, mwendazake, ikiwa na maana kuwa, yeye tu ndiye ameondoka. Lakin naona wendazake wamekuwa wengi na hata ww si muda mrefu utakuwa, mwendazake.
 
20231112_185139.jpg
 
Wamekosa content tu. Huwa hawapasui bila ya Kumtaja Jabali.

CHADEMA hawana sera, hiyo hapo juu ndio sera yao. Hopeless
 
Mtu mwenye akili ndogo, mwenye roho ya umaskini ni kama mchawi tu.
Furaha yake ni kuona tajiri anashuka sio yeye kupanda. Maskini wa akili na kipato waliufurahia sana utawala wa Magufuli maana walikuwa wanaamini matajiri wanakomeshwa na wataishi katika wimbi la ufukara kama wao kitu ambacho ni impossible.
Maskini ambaye mwingine hata cheti cha kidato cha 4 hana anapata raha akisikia kuwa boss ambaye ana PhD katumbuliwa , hajui kuwa huyu msomi bado ataendelea kutafuna Kodi zao mpaka afe.
Maskini wa akili na mali anaamini kila tajiri ni mwizi wa mali za umma.
Maskini wa akili na mali waliufurahia sana sakata la vyeti fake , baadaye zahanati zingine zikakosa wahudumu wakafia kwenye mabenchi. Kama mtu ana cheti cha taaluma na anafanya vizuri kulikuwa na ulazima wa cheti cha kidato cha nne?
Magufuli aliwaweza sana maskini wa akili na mali.
Viwanda viliyumba na vingine kufungwa, kampuni nyingi viliyumba na zingine kufungwa masking wa akili na mali waliufurahia sana wakasahau kuwa huko sekta binafsi ndiko kunakotoa ustawi kwa wananchi.
Maskini wa akili na mali wanafurahi sana kumwona mtoto wa jirani mwenyewe degree au diploma hana kazi eti kwakuwa yeye watoto wake wote ni wavuta bange na wacheza singeli.
Vyeti feki ni janga la KITAIFA
 
Kwahiyo wewe haya uliyo yaandika hapa ndio unajiona una uelewa mkubwa?

Umejichanganya sana,mara useme masikini walifurahia,mara useme masikini wenye vyeti fake walitumbuliwa!
Hata hueleweki,Uzi wako umetawaliwa zaidi na chuki kuliko uhalisia,kunywa maji baridi kisha pumzika hapo kwenye kochi la shemeji yako halafu njoo tena uedit uzi wako.
 
Haha. Hebu nendeni mmbuni matusi mengine.

Mna ropoka ropoka tu na makasiriko yenu. Mipovu

Mtaota vibiongo nyinyi mawakala wa mabeberu na Chuki zenu. Haya

Magulification will go on, at all costs.
Magufuli alikuwa anajua matatizo mengi yanayoikabili nchi yetu ila tatizo lake ni alikuwa ana deal na ''dalili'' na siyo ''ugonjwa'' wenyewe. Hebu tuchukuwe kwa mfano ufisadi, uvivu na uzembe. Tukubali kuwa Tanzania ufisadi, uvivu na uzembe ni matatizo makubwa sana. Kosa alilokuwa anafanya Magufuli ni kushughulikia watu, tena mmoja mmoja, badala ya kurekebisha mifumo iliyokuwa inafanya watu wavutiwe kuwa mafisadi, wawe wazembe na wavivu. Hivyo basi alijikuta anahangaika kushughulikia watu, na hii ikafanya wengi kumuona kama anachukia matajiri. Ni kama maigizo anayofanya Makonda sasa hivi. Nchi haiendeshwi namna hii. Huwezi ku-deal na tatizo la mtu mmoja mmoja na ukafanikiwa kuleta mabadiliko. Nyumba yako ikiwa inaingiza mbu kwa wingi, utakuwa unapoteza muda kujaribu kuua mbu mmoja mmoja, unachotakiwa kufanya ni kuziba zile sehemu ambazo mbu wanaingilia.
 
Mtu mwenye akili ndogo, mwenye roho ya umaskini ni kama mchawi tu.

Furaha yake ni kuona tajiri anashuka sio yeye kupanda. Maskini wa akili na kipato waliufurahia sana utawala wa Magufuli maana walikuwa wanaamini matajiri wanakomeshwa na wataishi katika wimbi la ufukara kama wao kitu ambacho ni impossible.

Maskini ambaye mwingine hata cheti cha kidato cha 4 hana anapata raha akisikia kuwa boss ambaye ana PhD katumbuliwa, hajui kuwa huyu msomi bado ataendelea kutafuna Kodi zao mpaka afe.

Maskini wa akili na mali anaamini kila tajiri ni mwizi wa mali za umma.
Maskini wa akili na mali waliufurahia sana sakata la vyeti fake, baadaye zahanati zingine zikakosa wahudumu wakafia kwenye mabenchi. Kama mtu ana cheti cha taaluma na anafanya vizuri kulikuwa na ulazima wa cheti cha kidato cha nne? Magufuli aliwaweza sana maskini wa akili na mali.

Viwanda viliyumba na vingine kufungwa, kampuni nyingi viliyumba na zingine kufungwa masking wa akili na mali waliufurahia sana wakasahau kuwa huko sekta binafsi ndiko kunakotoa ustawi kwa wananchi.

Maskini wa akili na mali wanafurahi sana kumwona mtoto wa jirani mwenyewe degree au diploma hana kazi eti kwakuwa yeye watoto wake wote ni wavuta bange na wacheza singeli.
Naunga mkono hoja. Umaskini ni laana. Unachukia matajiri na unasahau kuwa wao ndiyo waajiri wakubwa wa wafanyakazi kuliko Serikali.

Magufuli kwa upumbavu wake alimfilisi Yusuf Manji na akasahau kuwa Manji anaajiri watu 3,000 wanaopata mishahara moja kwa moja kupitia makampuni yake ya Quality Group na wengine zaidi ya 300,000 indirectly kupitia ununuzi wa mazao kama korosho, mbaazi na ufuta
 
Bila shaka wewe ni mwizi na mkwepa kodi, JPM aikuwa anaikomboa nchi hii kutoka katika lindi la umasikini wa kutengenezwa.

Leo hii kila kitu ovyo, umeme shida, maji shida, vitu bei juu. Ujinga ujinga tu.
Siyo kweli. Nchi ilikuwa inaliwa na Magufuli na kakikundi kake kalikokukuwa kanafanya ufisadi na wale waliokubali kuitwa "wanyonge" huku wana vichwa na Mungu kawapa akili.

Magufuli alikuwa na characters za UDIKTETA na aliishia kujilimbikizia yeye na koikundi chake kidogo. Wao akina Magufuli, Biswalo Mganga, Makonda, Sabaya, Kabudi, Dotto James, Polepole ndiyo walikuwa wanaruhusiwa kufanya UFISADI.

Waliunda mifumo ya dhuluma kupitia TRA Task force, Plea Bargain na kikundi cha WASIOJULIKANA kwa ajili ya kunyan'anya fedha za matajiri.

Waafrika hatuhitaji watu wenye nguvu bali tunahutaji Taasisi zenye nguvu kupitia Katiba Nzuri
 
Bila shaka wewe ni mwizi na mkwepa kodi, JPM aikuwa anaikomboa nchi hii kutoka katika lindi la umasikini wa kutengenezwa.

Leo hii kila kitu ovyo, umeme shida, maji shida, vitu bei juu. Ujinga ujinga tu.
Wakala tu Huyo. Halafu ana mumunya mumunya, si angesema tu 'Wazungu' kaenda kupiga dana dana zote hizo za nini?

Hili bandiko, kati ya mengi anayoleta, ni kutujaza Ukuu wa Mzungu.

Wewe uende kusema alikuwa hapendi Matajiri wakati kila kukicha Hayati alikuwa anaimba Mabilionea Itoshe, CCM imetajirika kwa maono ya huyo Jiwe...na bado tu wanadai hakupenda matajiri. Sema tu hakuwezana na wazungu.

Its a Cognitive dissonance. Wanashida hawa mawakala wa kizungu.
 
Mtu mwenye akili ndogo, mwenye roho ya umaskini ni kama mchawi tu.

Furaha yake ni kuona tajiri anashuka sio yeye kupanda. Maskini wa akili na kipato waliufurahia sana utawala wa Magufuli maana walikuwa wanaamini matajiri wanakomeshwa na wataishi katika wimbi la ufukara kama wao kitu ambacho ni impossible.

Maskini ambaye mwingine hata cheti cha kidato cha 4 hana anapata raha akisikia kuwa boss ambaye ana PhD katumbuliwa, hajui kuwa huyu msomi bado ataendelea kutafuna Kodi zao mpaka afe.

Maskini wa akili na mali anaamini kila tajiri ni mwizi wa mali za umma.
Maskini wa akili na mali waliufurahia sana sakata la vyeti fake, baadaye zahanati zingine zikakosa wahudumu wakafia kwenye mabenchi. Kama mtu ana cheti cha taaluma na anafanya vizuri kulikuwa na ulazima wa cheti cha kidato cha nne? Magufuli aliwaweza sana maskini wa akili na mali.

Viwanda viliyumba na vingine kufungwa, kampuni nyingi viliyumba na zingine kufungwa masking wa akili na mali waliufurahia sana wakasahau kuwa huko sekta binafsi ndiko kunakotoa ustawi kwa wananchi.

Maskini wa akili na mali wanafurahi sana kumwona mtoto wa jirani mwenyewe degree au diploma hana kazi eti kwakuwa yeye watoto wake wote ni wavuta bange na wacheza singeli.
Ko ulifurahia vyet feki kuwa na ajira na kutohudumia watu Kwa ufanisi coz hakuna professional ili halal wenye vyet orgnal na wasomi wapo tu wamekaaa??? Matango nyanya kbsa ww,, sijuw na familia yako unaileaje,, tupo weng matajili na wasomi na still tulimpenda magu,,, yule ni mwamba usimulinganishe na vilaza wenzio mkuu
 
Back
Top Bottom