Wakuu, kumekuwa na mjadala kuwa mwanamke hawezi kuvumilia mwanaume asiye na mwelekeo wa kifedha hata kama ana upendo wa dhati. Je, ni kweli upendo pekee unatosha kulinda ndoa au mahusiano, au pesa ndiyo gundi inayoshikilia hisia?"
Habari za muda huu wana-JF,
Nimekuwa nikifanya tafakari ya kina juu ya hali ya Ziwa Victoria tangu miaka ya 1980 hadi sasa. Wote tunajua kuwa katika miaka ya 1950, uamuzi ulifanywa wa kumwingiza Sangara (Nile Perch) ndani ya Ziwa Victoria akitokea Ziwa Albert na Mto Nile nchini Uganda.
Lengo...
Mradi wa Kukuza Usawa wa Kijinsia Tanzania (PAMOJA) unaotarajiwa kuzinduliwa rasmi Machi 08, 2026 mkoani Geita na Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima utaimarisha fursa za kiuchumi kwa wanawake wa vijijini na kuboresha upatikanaji wa huduma kwa...
Womenomics Tanzania 2025.
~Utafiti kuhusu Wanawake katika Nguvu Kazi, Biashara, na Uongozi.
Takwimu Muhimu (2025)
80%: Kiwango cha ushiriki wa wanawake katika nguvu kazi.
54%: Idadi ya biashara ndogo na za kati (MSMEs) zinazomilikiwa na wanawake.
Dola bilioni 1.7Nakisi ya mtaji kwa...
Unapokatiza mitaa ya Kariakoo jijini Dar es Salaam, Mwanjelwa jijini Mbeya, au soko la Nyakato jijini Mwanza, zile sauti za wafanyabiashara wadogo na harufu ya vyakula vya mama lishe zinazotawalaga kwa mbali, unaweza kudhani ni shughuli za kawaida za kujitafutia riziki, lakini ripoti mpya kutoka...
Wote kipaumbele chao ni kuendelea kubaki madarakani. Ili dikteta aendelee kubaki madarakani lazima awe na hela za kuwalipa wapambe, wanajeshi na vyombo vingine vya dola. So akili ya dikteta siku zote imefocus kwenye hela na uchumi.
Kama nchi ina resources kama mafuta basi akili yote ya dikteta...
Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Eric Shigongo, ametoa kauli yenye msisitizo mkubwa kuhusu hali halisi ya uchumi wa Tanzania, akiongea bungeni jijini Dodoma. Akizungumza katika kikao na wanahabari, Mbunge Shigongo amesema kuwa licha ya rekodi rasmi kuonyesha kuwa uchumi wa nchi unaendelea kukua...
Habari Tanzania !
Mimi na Wewe ni marafiki. Tunapendana sana. Tunaishi taifa moja na kwanini leo nikunyime Elimu.
Karibu.
Y = C + S ni sawa na kusema;
Y= C+ I
Hii maana yake;
Y = Income/ Kipato
C= Consumptions/ Matumizi
S = Savings/ Hifadhi
I = Investment/ Uwekezaji
Nawaletea mambo kwa...
Nyere alishidwa sehemu moja tu kwenye uchumi. Wakati wa nyerere Tanzania ilikuwa masikini na hakufanikiwa kuja na suluhu ya maana.
Sera na maazimio yake hayakufanikiwa ndiyo maana hadi leo Kenya nchi ndogo zaidi imetuzidi uchumi. Kuna watu wawili ambao angewasikiliza tusingekuwa hapa Edwin...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu -TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe amemshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuidhinisha Shilingi 1,035,047,200/= za ujenzi wa dharura wa barabara ya Kasamwa- Gamashi yenye urefu wa kilomita 18, iliyoimarisha shughuli za kiuchumi kupitia Sekta ya Usafiri na...
Kuzimwa kwa intaneti kote nchini Uganda wakati wa uchaguzi mkuu kumeathiri vibaya uchumi na maisha ya wananchi, hususan wafanyabiashara na vijana wanaotegemea huduma za mtandaoni. Biashara za fedha kwa njia ya simu zilisimama, waendeshaji bodaboda waliopata wateja kupitia programu walipoteza...
Tuna taizo la kuwa na mzunguko mzuri wa pesa mwisho wa mwezi kisha kukata kwa karibu siku 20. Biashara nyingi zinalala sana katikati ya mwezi.
Kwa sababu watu hawapangi foleni dirishani kuchukua mshahara kwa nini serikali na hata waajiri wengine wasilipe mishahara kwa wiki ili kusisimua uchumi...
Jarida hili litakuelimisha na kukupatia taarifa mbalimbali zinazohusu masuala ya uchumi na sekta ya fedha nchini, hususani yale yanayoratibiwa na kusimamiwa na Benki Kuu ya Tanzania kwa mujibu wa sheria. Katika toleo hili, utapata taarifa kwa kina kuhusu shughuli na majukumu ya Benki Kuu Ya...
Mimi nadhani mambo ya maandamano ya ahirishwe mpaka October 2030.
Ili uchumi ukue vizuri sana, na utalii ukue vizuri sana, na wananchi wapate vipato vizuri sana.
Inaelekea baadhi ya global na continental agents wa illuminati walitaka akae mpaka Oct 2025, halafu astaafu.
Kuna baadhi ya agents...
GT.
Na Malisa.
Wakati wa Magufuli IMF ilitoa takwimu kwamba GDP per capita yetu imepanda hadi $2,400 na tukaingia kwenye orodha ya nchi za uchumi wa kati (Lower middle Income). Leo IMF haohao wametoa takwimu kuwa GDP per capita imeporomoka hadi $1,300. Nini kimetokea?
Wakati ule tumeingia...
UCHUMI TANZANIA 2026
Januari 2026 unaonyesha kuwa uchumi wa Tanzania upo katika kipindi muhimu cha mpito, ambapo ukuaji wa jumla wa uchumi ni imara, lakini kuna changamoto za kimuundo katika upatikanaji wa ajira na usambazaji wa matunda ya ukuaji huo kwa wananchi wa kawaida.
Huu hapa ni...
GT
Samia anachofanya wakati ninyi mkiamini amejificha lakini yeye anapeleka serikali huko na kuongeza mzunguko wa fedha.
Ikulu inapohamia mahali pilikapilika zinakuwa nyingi. Hotels na migahawa hufurika.magari yanakuwa na movement za hapa na pale.
In short huyo bi kidude anaipenda Zanzibar...
Tanzania tumekuwa na uhusiano mzuri na nchi ya China kwa miaka mingi
Uhusiano huu unapaswa kuendelezwa ili tuweze kusaidiana mbinu za maendeleo katika nchi zetu
China inatutegemea sana lakini pia sisi tunawategemea sana katika mambo mengi yanayohusiana na maendeleo
Kesi ya Uhujumu Uchumi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.