https://youtu.be/Ic6aeqb4dQ4?si=wMGbIlaoqB7qvBm8
Hii ni very exclusive and the best ever interview kati ya mtangazaji mwanadada huyu wa NijuzeNews TV na Wakili Msomi Peter Madeleka juu ya mambo mbalimbali ya nchi na taifa letu
Peter Madeleka udhaifu wake katika baadhi ya maamuzi yake kama...
Baadhi ya Watanzania wanataka viongozi wa Serikali waishi maisha ya kimasikini wakidai Mwl Nyerere aliishi hivyo ingawa si kweli alikuwa masikini
Watanzania wanadai kuwa Mwl Nyerere ndiye raisi wa mfano kuigwa kuishi maisha duni ya kimasikini na kuwataka viongozi wote waishi maisha sawa na yake...
Nitoe mfano wangu binafsi. Mie sio mwanasiasa, na wala sijawahi kujihusisha na siasa. Lakini mtu yeyote akisoma thread zangu anaweza kuhisi mie ni mwanachama wa Chadema au chama kingine cha upinzani. Si kweli.
Nakiri walionifikisha hapa ni CCM na viongozi wa serikali. Unakuta mara nyingi...
Kuhusu dhambi ya kuua binadamu mwenzako (kumwaga damu ya mwanadamu), Mungu Yehova katika Biblia anaweka wazi kabisa madhara/matokeo yake 👇🏻
Mwanzo 9:6 SUV
"....Atakayemwaga damu ya mwanadamu, damu yake huyo itamwagwa na mwanadamu, maana kwa mfano wake Mungu alimfanya mwanadamu...."
Lakini...
Ukweli ni kwamba muda wa regime hii ovu kuanguka haupo mbali.viongozi au watu walioshiriki kufanya maovu hakika wataadhibiwa baada ya hii regime ovu kuanguka na muda huo umeshafika.
Regime mpya inayokuja nauhakika itawachukulia hatua watu wote walioshiriki kufanya maovu kama utekaji...
Tukubali "ghasia" zilipangwa, kuratibiwa, kufadhiliwa na kutekelezwa.
Tukubali watu 518 tu ndio waliouwawa, 758 wamepotea na 448 hawajulikani walipo ( 518+758+448=1,724! Namba 8 imependwa sana na Tume).
Jumla watu 1,724 HAWAPO kama matokeo ya hicho kilichopngwa, kuratibiwa, kufadhiliwa na...
kabwe
mkuu usalama wa taifa
mkuu wa jeshi la polisi
ofisini
oktoba
oktoba 2025
serikali
usalama
viongoziviongoziwaserikali
vurugu
vyombo
vyombo vya usalama
wapo
wote
zitto
zitto kabwe
Nyerere akaondoshwa, Mkapa akaondoshwa, Magufuli akaondoshwa , Makamo Isidori akaponea chupuchupu, Sahizi kabakia Nchimbi ambaye kama Kanisa kwa kutumia Vyombo vyake, likishindwa kumlinda, naye anaondoshwa
Unajiuliza, ilikuaje Kanisa likashindwa Mlinda Magufuli?.
Haya Kanisa linashindwaje...
Kuna tabia inayozidi kujitokeza na kukua siku hadi siku katika jamii—wananchi kuonyesha kufurahia vifo vya baadhi ya viongozi au wanasiasa. Ukichunguza kwa kina, hali hii inachangiwa kwa kiasi kikubwa na mwenendo wa baadhi ya viongozi kuishi maisha yasiyo rafiki kwa wananchi wanaowaongoza.
Pale...
Ngoma bado NZITO, ahahahaa
Pascally Mayalla na mwenzake kupitia jambo Tv wako liveeeee!
Pascally asema anawaheshimu viongozi wa serikali ila hawaogopi, asema uhuru wake aliopewa na katiba ibara ya 18 uheshimiwe usiingiliwe.
Soma JAB yampa Pascal Mayala saa 24 kuthibitisha Dkt. Nchemba...
Hii nchi jamani, yaani hii tume useless ata aibu haina, Kwa kilichotokea MO29 unaanzaje kupoteza muda kufanya investigation Kwa kuwahoji kina
Majaliwa
Nape Nauye
Chalamila
Dr.Mpango
Makalla
Wassira
Jaji Mtungi
Ma polisi
Hivi hii nchi ina viongozi wenye akiri kweli? Yaani unafanya...
UDSM-Rais mstaafu, JK
Mzumbe-Rais wa Zanzibar mstaafu, Ali Mohamed Shein
SUA- Jaji Joseph Warioba
UDOM- Jaji mkuu mstaafu, Prof Ibrahim Juma
Ardhi University- Jaji Mohamed Chande
Muhimbili- Alikuwa Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi
Chuo Kikuu Huria- Mizengo Pinda
MUST- Abeid Amani Karume
Ukisikiliza viongozi wa serikali kila kona ya nchi wanahubiri amani lakini neno haki halipo mdomoni mwao.
Mimi najiuliza mbona hawakemei utekaji na bado unaendelea ? Waziri wa mambo ya ndani huoni kinachoendelea?
Ni lini nchi hii itakuja kuwa na utulivu wa kisiasa kama kipaombele cha serikali...
Viongozi wa serikali kila kona ya nchi hususani waziri mkuu anahimiza amani najiuliza hiyo amani inapatikanaje huku watu wanachukuliwa na kupotea kusopojulikana?
Kiongozi unaongelea rasilimali huku ukijuwa kuna watu wanapotea kwanini usikemee tabia hizo zikakomeshwa?
watu wakikumbuka ya tarehe...
Waziri wa mambo ya ndani kwa kushirikiana Viongozi wetu wa serikali za mitaa Tunaomba mturudishie jeshi la sungusungu ili kuimarisha ulinzi na amani kwenye maeneo yetu.
Sisi wananchi tupo tayari kuwachangia posho kwasababu kazi zao tunazikimbuka vile zilikuwa na tija kwa ustawi wa serikali zetu...
Baba paroko Tumsifu Yessu Kristo!
Paroko wangu wa KANISA KATOLIKI karanga hapa Moshi vijijini Leo umenikosea ulipo niambia niwaombee viongozi wa serikali Ili watimize wajibu wao wa kutenda haki
Pili umenilazimisha kuwaombea wanahabari Hawa washenzi wasio jua walifanyaro Hawa vikaragosi wa...
Inauzi sana kuona kiongozi wa serikali anakuja mbele ya camera ooh pole tuvumiliane sijui nini maneno kibao yote hayana maana zaidi ya kutonesha vidonda na kupandisha hasira upya wananchi
Kilichotokea octoba 29 siyo tetemeko, siyo radi, siyo kimbuga wala ajari iliyosababisha watu kufa ni jambo...
Hii hata hao TEC au Shura ya Maimamu , Wasomi ,Taasisi mbalimbali hawataruhusiwa kuingilia Au kujaribu kushawishi Maamuzi ya Wananchi.
Wameua Ndugu zetu Maelfu , Wameteka Kila sauti iliyosimamia Haki, hakika Hawa ni watanzania ambao HATUTAWASAMEHE.
Jakaya Kikwete na Familia yake.
Rostam Aziz...
Picha ndio kitu wanachotafuta, baada ya hapo Utaona Vijana wao walowasambaa MITANDAON wakizitumia picha hizo na maneno yao.
Hilo likishindikana TEC wawe tayari kujibu kupitia Vyombo vya habari pale ambapo Picha hizo zitatumiwa vibaya.
Ni haki ya Kiongozi wa Dini Kukataa kupiga Picha na...
Viongozi wa Tanzania wamejisahau aidha kwa kujiona wao ndiyo wanafaa kuishi maisha mazuri kuliko waliowaweka kwenye nafasi husika aidha kwa kukodi za wananchi au kura za wananchi.
Viongozi wengi wamekuwa ni mzigo kwa wananchi kwa kuishi maisha ya anasa wawapomadarakani na matumizi ya kutisha...
Serikali na makundi ya kiimani kuelekea uchaguzi mkuu october 29 ambao asilimia kubwa ya watanzania wanapinga kwa nguvu kubwa uchaguzi huo usifanyike bila kufanya reform nimeona viongozi wa serikali na makundi ya kiimani yakitangaza amani huku watu wengi wakilia ndugu zao kutekwa na kupotezwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.