mwandishi wa habari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Marekani Yamnyanyasa Mwandishi wa Habari Raia wa USA Aliyekuwa anaripoti Habari za Matukio ya Vita Iran

    My Take Tulikubaliana kwamba Nchi Zenye Demokrasia na Katiba Mpya Huwa hazinyanyasi watu wakiwemo waandishi wa habari na kwamba huko mambo ni saaaafi kabisa ,hii vipi tena wajameni? 😂😂😂😂 Chadomo mpo? Mkileta ukibaraka mshughulikiwe bila huruma...
  2. tucker carlson

    JamiiForums Tanzania Rais wa Senegal atoa msamaha kwa Mwandishi wa Habari Rene Capain Bassene aliyekuwa amehukumiwa kifungo cha Maisha jela

    Rais wa Senegal ametoa msamaha kwa mwandishi wa habari, Rene Capain Bassene, aliyekuwa amehukumiwa kifungo cha maisha jela kuhusiana na mauaji ya watu 14 yaliyotokea mwaka 2018 katika mkoa wa Casamance. Mnamo Januari 2018, watu 14 waliokuwa wakikata mbao (loggers) walivamiwa na kuuawa katika...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Msigwa: Mimi ndiye Mwandishi wa habari wa kwanza Tanzania kutuma stori kwa Internet

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji wa Serikali, Gerson Msigwa akifanya mahojiano na Bongo FM leo Mei 15, 2026 ameeleza namna alivyopambana wakati anafanya kazi na Radio Tanzania Mkoa wa Songea
  4. E

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali ndio iwe mwamuzi wa nani awe mwandishi wa habari na nani asiwe?

    Wakati Serikali ikitangaza kuwepo kwa mpango wa kuwatambua waandishi wa habari wakongwe ambao hawakusomea uandishi wa habari kwa ngazi ya stashahada, swali linalogonga vichwa ni kwa nini Serikali ndiyo iwe mwamuzi wa nani awe mwandishi wa habari na nani asiwe? Hivi karibuni, Msemaji Mkuu wa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Kampala: Mwandishi auawa kwa kupigwa Risasi

    Mwandishi wa habari mkongwe nchini Uganda Joe Nam, mwenye umri wa miaka 55, alifanya kazi katika vyombo vya habari vya serikali kwa miongo mitatu kabla ya kustaafu na aliandika kitabu kinachozungumzia matokeo yanayoweza kushuhudiwa Uganda pale Rais Yoweri Museveni aliyetawala nchi hiyo kwa muda...
  6. R

    JamiiForums Tanzania BURUNDI: Mahakama yamwachia huru Mwandishi wa habari baada ya kukaa jela miaka miwili

    Mahakama ya rufaa nchini Burundi imemwachia huru kwa masharti mwandishi wa habari Sandra Muhoza, hatua inayohitimisha kizuizini cha karibu miaka miwili kilichoibua hofu mpya juu ya uhuru wa habari nchini humo. Muhoza, ambaye ni mwandishi wa habari wa shirika la La Nova Burundi, alikuwa...
  7. McLaren

    JamiiForums Tanzania Mwandishi wa Habari aliyedaiwa kutekwa afikishwa mahakamani na kushtakiwa kwa kutangaza taarifa za uongo kuhusu mke wa Rais Janet Museveni

    Mwandishi wa habari nchini Uganda, Arnold Anthony Mukose, aliyeripotiwa kutekwa na watu wasiojulikana mnamo Machi 29, 2026, amefikishwa mahakamani na kupelekwa gerezani kwa tuhuma za kutangaza habari za uongo kuhusu mke wa Rais, Mama Janet Museveni. Mashtaka Yanayomkabili Bwana Mukose (41)...
  8. Mindyou

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Mwandishi wa habari Arnold Mukose atekwa na watu wasiojulikana muda mfupi tu baada ya kumaliza kufanya kipindi

    Mwanahabari Arnold Anthony Mukose, ambaye ni mkurugenzi wa vipindi katika kituo cha runinga cha mtandaoni cha Alternative Digitalk, anaripotiwa kutekwa nyara na watu wasiojulikana waliovalia nguo za kiraia jijini Kampala. Tukio hilo la kushtusha lilitokea siku ya Jumapili mwendo wa saa saba...
  9. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Ripota wa televisheni ya Urusi ya RT na mpiga picha wake walinusurika chupuchupu baada ya kombora la Israel kuanguka karibu yao

    Ukisikia kila kazi inachangamoto yake ndio hii, na moja ya watu wanakutana na changamoto ni Waandishi wa Habari. =========== Waandishi habari wakati mwingine hujikuta katika mazingira hatari wakati wakikuletea habari. Ripota wa televisheni ya Urusi ya RT na mpiga picha wake walinusurika...
  10. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Mmiliki wa Kusaga TV ashikiliwa na Polisi chanzo chadaiwa kuandika taarifa za uongo za kijana aliyebishana na Polisi

    Mwandishi kusaga wa Arusha ashikiliwa na polisi muda huu,chanzo chadaiwa kuandika taarifa za uongo za kijana aliyebishana na polisi Mwandishi wa habari wa alphonce Kusaga mmiliki wa Kusaga TV na mtangazaji wa kituo cha Radio cha Sunrise anashikiliwa kituo kikuu cha polisi Arusha muda huu baada...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Mwandishi wa habari amnunulia dawati mwanaye baada ya kuona wanafunzi wanakaa chini katika shule ya Msingi Mwilamvya

    Nimeona ile stori ya Mwananchi mwenzangu wa Kigoma aliyoandika kuhusu Shule ya Sekondari Buhanda iliyopo Kigoma Mjini kuwa na upungufu wa madawati, ni kweli shule hiyo na nyingine kadhaa hazina madawati na ni changamoto ambayo ipo kwenye shule kadhaa. Nishee stori moja, kuna Mwandishi wa Habari...
  12. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Paul Makonda asema kuwa Mwandishi wa Habari lazima uwe na leseni kuandika habari za Serikali

    Kumekuwepo Na Chapisho Linalo Sambaa Kwenye Mitandao Ya Kijamii Hasa Facebook Likiwa Na Ujumbe Kwa Vyombo Vya Habari.Je Lina Ukweli Kiasi Gani? Hii Ni Nukuu Ya Ujumbe huo ""Baada yakuteuliwa kuwa waziri wa habari, Makonda kaja na Sheria mpya. Mtu yoyote ili aweze kutoa taarifa ya serikali ni...
  13. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Kipangula: Mwandishi wa habari kutoka nje ya nchi anapaswa kupata Ithibati

    Patrick Kipangula- Kaimu Mkurugenzi Mkuu Bodi ya Ithibati ya waandishi wa habari Tanzania (JAB) anasema vyombo vya habari vya nje havikufuata utaratibu wakati wa kuripoti matukio ya Oktoba 29 nchini.
  14. McLaren

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Polisi wa Uganda wampiga kikatili mwandishi wa habari aliyekuwa akifuatilia na kuripoti kampeni za Bobi Wine

    Polisi kwa mara nyingine wamempiga na kumjeruhi mwandishi wa habari aliyekuwa akifuatilia kampeni za mgombea urais wa chama cha National Unity Platform, Robert Kyagulanyi, katika Wilaya ya Kween, eneo la Sebei. Chanzo cha ukatili huo wa polisi dhidi ya mwandishi huyo asiye na silaha bado...
  15. JamiiCheck

    JamiiForums Tanzania Ernest Sungura: Ulinzi wa kweli wa mwandishi wa habari ni kusema ukweli

    Ujumbe wa Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), Ernest Sungura, alioutoa Septemba 18, 2025 jijini Dodoma wakati akifungua mkutano wa majadiliano baina ya MCT na waandishi wa habari, maafisa wa idara na mamlaka za serikali, unakumbusha jukumu la waandishi wa habari katika kusimamia...
  16. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwandishi wa habari wa Ayo Tv afutiwa mashtaka ya uhaini na DPP

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imewaachia huru na kuwafutia mashtaka ya uhaini washtakiwa wanne akiwemo Mwandishi wa Habari wa Ayo Tv, Godfrey Ng’omba. Wengine walioachiwa ni watoto watatu wa kiume wenye umri wa miaka 13, 16 na 17 (waliokuwa mahabusu ya watoto) ambao kwa pamoja walikuwa...
  17. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Jennifer Bilikwija Jovin, ashitakiwa kwa Uhaini kwa Sababu ya Kuhimiza Umma Kutumia Barakoa kwa Usahihi

    Kushoto: NIffer akiwa katika make-up yake katika sura ya kikazi. Kulia: NIffer akiwa anashuka kutoka kwenye karandinga la magereza mahakamani kwa kuchechemea, kuashiria kuwa amepigwa hadi kuteguliwa mguu. Jennifer Bilikwija Jovin, maarufu kama "Niffer" ni Mwandishi wa Habari, Mwanamitindo na...
  18. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Arusha: Mwandishi wa Habari ambaye pia ni Mmiliki wa Kusaga Tv na Mwandishi wa AyoTv wakamatwa na Polisi

    Picha: Alphonce Kusaga (Mei 2025) Mwandishi wa kituo cha habari cha Sunrise Radio cha jijini Arusha, ambaye ni miliki wa Kusaga Tv, ndugu Alphonce Kusaga amekamatwa na Jeshi la polisi Arusha jana 04 Novemba 2025. Baada ya kukamatwa, alipelekwa nyumbani kwake kufanya upekuzi, kisha wakamrudisha...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna mwandishi wa habari wa kujitegemea ambaye naweza kushirkiana nae kwenye platform za kidigital

    Hivi kuna mwandishi wa habari wa kujitegemea ambaye naweza kushirkiana nae kwenye platform za kidigital Anaweza kushirikiana na mimi kwenye platform za kidigital kwa kuanza kujitolea, naomba kujua kama yupo tuwasiliane.
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania PRESS CARD kwa Mwandishi wa Habari: Itolewe na Serikali au Mwajiri?

    Nimekutana na hili andiko, naona mtoa hoja ana hoja: Na Ndimara Tegambwage Je, katika mazingira ya uandishi wa habari; yale ya ukusanyaji taarifa kwa ajili ya kuandaa habari au andiko la kuwasilisha katika chombo cha mawasiliano; bado kuna sababu au haja kwa Serikali kuendelea kutoa...
Back
Top Bottom