je wajua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Kifo cha Sokoine: Watoto wake wataka mwili uchunguzwe kubaini kama alikufa kwa ajali au la!

    Picha: Gari lililosababisha kifo cha Hayati Sokoine Katika hali ya kushangaza, watoto na baadhi ya ndugu wa aliekuwa waziri mkuu wa Tanzania, Hayati Sokoine, wanataka uchunguzi ufanyike wa mwili wa marehemu ili kubaini kama ni kweli kifo chake kilitokana na ajali au laa. Uamuzu huo ulofikiwa...
  2. M

    Je Wajua Mchezo wa Mieleka Uliwahi Kuwepo Hapa Nchini?

    Kijana wa leo akisikia mieleka anaweza kudhani ni mchezo unaochezwa tu huko marekani na akina John Cena, The Undertaker, CM Punk n.k. Nipo hapa kukujuza kuwa huo mchezo ulikuwa moja ya michezo maarufu hapa nchini miaka ya nyuma (hadi kufikia miaka ya tisini hivi). Mchezo ulichezwa kwenye...
  3. Pascal Mayalla

    Je, wajua kuwa Rais wa JMT ndie Serikali, Bunge na Mahakama? Yuko juu ya Mihimili yote 3. Je, kuna uwezekano Rais wa JMT pia yuko juu Katiba?

    Wanabodi, Hii ni makala kwenye gazeti la Mwananchi la Jumatano. Kwa wasomaji wapya, naendelea kutoa darasa kuhusu kuijua katiba ya JMT ya mwaka 1977, kwa jicho la Mtunga Katiba, kwa mimi kuvaa viatu vya mtunga katiba alidhamiria nini alipoweka kifungu fulani. Wiki iliyopita nilizungumzia...
  4. R

    Je, wajua, kuzimu ni Mtu, na Mauti ni Mtu?

    Salaam, shalom, Tuendelee na MADA zamivu katika masuala yasiyoonekana Kwa macho. Usilolijua, sasa tunaishi wakati ambao MUHURI wa nne umekwisha Funguliwa, kuzimu imeruhusiwa kuja Duniani kuvuna Roho za wakaao duniani theluthi Moja, Unashangaa Bado watu wanaenda kwenye mabaa na kununua Malaya...
  5. Pascal Mayalla

    Je Wajua, Japo Christmas Ina Sheherekewa kwa Sharmashamra Sana, Pasaka Ndio Sikukuu Kuu ya Wakristu Kwasababu ya Fumbo la Paska. Happy Easter!.

    Wanabodi Japo Sikukuu ya Christmas inasherekewa kwa shamra shamra sana, wengi wakidhani ndio sikukuu kubwa ya Wakristo, ukweli ni kuwa Pasaka ndio sikukuu kubwa ya Wakristo kutokana na fumbo la Paska, hakuna mtu yoyote aliyemshuhudia Yesu Kristo akifufuka, na baada ya kufufuka alikaa duniani...
  6. Mshana Jr

    Je wajua haya kuhusu Tanga?

    1. Reli ya Kwanza Tanzania Bara - Tanga 1893. 2. Shule ya kwanza ya Sekondari- Tanga 1890 (Tanga Old School). 3. Shule ya Kwanza (Anglikana) Tanzania 1848 - Tanga Magila Muheza. 4. Taasisi ya Kwanza ya Utafiti wa Malaria Duniani - Tanga Muheza, Ubwari 1949. 5. Hospitali ya Kwanza (1st Modern...
  7. DIDAS TUMAINI

    Je, wajua hili kuhusu kumbukumbu ya kifo cha Rais Mwinyi?

    JE WAJUA? Rais mwinyi amefariki 29/02. Hii tarehe mpaka kuja kuipata tena ni hadi miaka minne ijao yaani mwaka 2028, 2032, 2036, 2040, nakuendelea... Kwa maana hiyo kumbukumbu ya kifo chake itakuwa ikiadhimishwa kila baada ya miaka minne. 🙌🙌 R.IP Rais Mwinyi
  8. Analogia Malenga

    Je wajua, Turkmenistan inaruhusu magari meupe tu?

    Rais wa pili wa Turkmenistan, Gurbanguly Berdimuhamedow aliyetawala nchi hiyo tangu 2006 hadi 2022 aliamrisha watu kuagiza magari meupe tu na sio ya rangi nyingine. Nchi hii iko Asia ya kati (Central Asia) Rangi nyingine zilizuiwa bila kutoa sababu huku maafisa wa forodha wakisema kuwa rangi...
  9. Girland

    Je, wajua kuwa Palestina siyo Waarabu? Waarabu halisi ni Saudi Arabia? Je, kwanini vita ya israeli na Palestina itaendelea?

    Kwanza kabisa, uzi huu hauna lengo la kukashifu imani au itikadi yoyote na msimamo wa mwandishi haufungamani na upande wowote! ASILI YA ISRAEL, SAUDI ARABIA na PALESTINE, katika dini kuu tatu, yaani Uislamu(Islamic), Ukristo(Christianity) na Uyahudi (Judaism) anatajwa IBRAHIMU au Abrahamu...
  10. R

    Je, wajua nini hutokea katika Ulimwengu wa Roho wawili wanapoungana katika NDOA Takatifu?

    Salaam / Shalom!! INTRODUCTON. (Mwanzo 2:18,21-24) na (Mathayo 19:3-9). NDOA ni muunganiko wa KIMWILI kati ya mume mmoja na mke mmoja KIMWILI na kiroho. Asili ya NDOA ni Mbinguni, NDOA ni usafi, NDOA ni utakatifu. Kila mtu aliyezaliwa Huwa anae mtu mmoja ambaye Huwa ndiye ubavu wake. Na hao...
  11. Mhaya

    Je, wajua jangwa kubwa zaidi Duniani?

    Tunapofikiria jangwa, kwa kawaida huwa tunapiga picha maeneo yenye joto na mchanga kama Sahara. Na ni mara nyingi watu huhusisha jangwa na mazingira ya joto, yenye mchanga na Jua kali lakini kiuhalisia jangwa hufafanuliwa na viwango vyao vya chini vya mvua. Kwa hivyo, jangwa ni sehemu ambayo...
  12. Venus Star

    Je wajua? 60% ya High-Speed train duniani zipo China

    BWANA WETU YESU KRISTO ASIFIWE. Ninaendelea kutoa taarifa za kiuchunguzi za kina kuhusu dunia yetu hii. Kwa muda wa wiki mbili nilikuwa katika utafiti kuhusu High-Speed Train. High-Speed Train ni nini? Hii ni train inayokimbia kwa mwendo wa kuanzia 200 km/h (124 mph). Train ikiwa na mwendo huu...
  13. Mjukuu wa kigogo

    Je, wajua umaarufu wa Mlima Ararat ni wa kipekee kabisa?

    Umaarufu wa mlima Ararat ulio mpakani mwa Armenia, Uturuki na Iran unatokana na kwamba bada ya Gharika kuu kuisha, safina ilienda kutua katika mlima huu!
  14. William Mshumbusi

    Je wajua Thank ya kipa wa Simba Ni zaidi ya mishahara ya wachezaji wote wa Yanga msimu mzima!

    Lile garasha limesajiliwa billion 3. ($1.3 milion). Mishahara ya wachezaji Yanga Ni bilion 2.7 kwa mwaka (ndio kikosi Bora kwa Sasa Tanzania) Izo ela za kumleta huyu jamaa katoa mo na kamtuma try again kuleta. Walitaka walete yule mbraziri ikabuma.
  15. Ricky Blair

    Je wajua?

    Je wajua kipindi cha Apartheid South Africa; wachina walikuwa classified Km blacks na wajapani wazungu au honorary whites??😂😂😂 imagine we ndo polisi unaanza kuamua nani mjapani na nani mchina na nani apendelewe kwa uzungu na nan aonewe au atengwe kuwa mweusi.😂😂😂
  16. Mr Lukwaro

    Je wajua kuhusu hasara za kunywa Juice nyingi?

    Wataalamu wa afya wanasema Unywaji wa juice nyingi ya matunda au matunda yenyew kwa wakati mmoja Inaweza kusababisha kwenda chooni sana yaani kuendesha (kuharisha) , Hapa wahenga tuliokulia kijinini nadhani tunaelewana ,Hasa ile misimu ya Maembe , Huwa tunayafakamia then tunaenda kucheza sasa...
  17. Doctor MD

    Je wajua mzunguko mzuri wa damu huleta afya Bora ya uzazi?

    Afya Bora ya uzazi hutegemea zaidi mambo makuu matatu 1. Mzunguko wa damu(ufanyaji kazi mzuri wa moyo) 2. Saikolojia ya mtu 3. Mfumo mzuri ya neva katika ubebaji wa taarifa Afya Bora ya uzazi hutegemea zaidi ufanyaji kazi wa moyo katika kusafirisha damu ya kutosha kwenye maungo ya mfumo qa...
  18. Bujibuji Simba Nyamaume

    Je wajua Nyimbo za taifa za nchi hizi, hazina maneno?

    Spain, San Marino, Kosovo, na Bosnia and Herzegovina. Watakuja mbumbumbu na kuanza kusema chai
  19. aron lissu

    Je, wajua abiria una haki ya fidia endapo basi ulilopanda litapata ajali?

    Habari ndugu Jf mebers, leo napenda kushare jambo ambalo wengi pengine hawalijui kuhusu fidia za bima kwa abiria wa mabasi. Ipo hivi, kama ilivyo Sheria ya Tanzania ni lazima chombo cha moto kiwe na bima, hivyo mabasi yote hukata bima na kampuni za bima huwa wanacharge kiasi cha malipo...
  20. Munch wa annabelletz47

    Je, wajua kwamba mechi ya Al ahly na Wydad ilikua ni saa 2 usiku?

     Kwann kulikua na jua wakati ni usku? ili ndo swali wengi wamejiuliza. Jibu ni hili Watu wanaoishi katika eneo la North Pole, au karibu na eneo hilo, wanakabiliwa na hali ya kipekee inayoitwa "Msimu wa Mvua". Wakati wa msimu wa joto, ambao ni takriban miezi sita kutoka Machi hadi Septemba...
Back
Top Bottom