matukio ya utekaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Azim Dewji: Mbunge akiwatumikia wananchi hatajiriki bali anafilisika

    Charles William Mara nyingi ninapotoka kuzungumzia kuhusu masuala ya amani, utulivu, na jinsi ambavyo watu hawatakiwi kuendeshwa na propaganda, kuna watu wamekuwa wakisema Mzee Azim Dewji anatakiwa kuungana na Watanzania ambao wanalaani baadhi ya vitu vinavyotokea hapa Tanzania. Matukio kama...
  2. Megalodon

    JamiiForums Tanzania JWTZ inapaswa pia kutolea Ufafanuzi matukio ya Utekaji na Mauaji ya Watanzania

    JWTZ ni dhahiri limekubali kujinasibisha na SIASA- ambayo ni kinyume na KATIBA ya JMT ni hatari zaidi kwa ustawi wa TZ. Kwa mfano kauli ya Msemaji wa JWTZ kusema KAZI na UTU ni kauli ya kisiasa: kupitia ripoti ya Chande dhidi ya mauaji ya halaiki… Oct 29 moja ya sababu alizotoa zilizochochea...
  3. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Katambi: Matukio ya utekaji baadhi yanatokana na visasi vya biashara, uhasama wa kimahusiano, na baadhi kuwa ni "michongo ya kisiasa"

    Mbunge wa Tunduru Kaskazini (ACT Wazalendo), Ado Shaibu, ameibana serikali akitaka majibu na maelezo ya ziada kufuatia tukio la karibuni kabisa la kutekwa kwa David Jumbe, msaidizi wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu. Akijibu mwongozo huo, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania LHRC: Kurejea kwa kasi kwa matukio ya utekaji ni tishio kwa uhuru wa raia na Utawala wa Sheria nchini

    LHRC: KUREJEA KWA KASI KWA MATUKIO YA UTEKAJI NI TISHIO KWA UHURU WA RAIA NA UTAWALA WA SHERIA NCHINI Tarehe 22 Mei 2026, Dar es Salaam Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kinalaani na kupinga vikali kurejea kwa kasi matukio yenye sura ya utekaji nchini. Katika siku za hivi karibuni...
  5. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yalaani matukio ya utekaji na mauji yanayoendelea nchini, yalitaka jeshi la Polisi kuja na majibu ya kina

    Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa CHADEMA, Brenda Rupia akiongea na waandishi wa habari leo Februari 21, 2026 amesema kama chama wanasikitishwa na hawataacha kukemea na matukio ya utekaji na mauaji yanayoendelea nchini, akirejea tukio la hivi karibuni la mfanyabiashara wa Arusha, Banjoo...
  6. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Serikali ipambane na utekaji na uuaji nchini, Vijana wengi wazalendo wanajiunga na Vikundi vya Ukombozi

    Vijana hawana Kazi licha ya kua wana Elimu. Vijana wameshuhudia wenzao Walotekwa, kuuliwa . Vijana wanashuhudia Viongozi, WATOTO wao na familia zao kwa ujumla wakiendesha magari ya mabilion, wakifanya Anasa . Vijana wanashuhudia Utendaji wa JESHI LA POLISI . VIJANA WANA HASIRA . Nimekuja...
  7. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Ni aibu kubwa kwa kiongozi wa dini kusema matukio ya utekaji yalianza miaka 3 nyuma

    Ni aibu kubwa na unafiki Kwa kiongozi wa dini kusema matukio ya utekaji yameanza miaka mitatu nyuma, hii ni chuki ya udini.
  8. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Matukio ya utekaji bado ni mwiba kwa wananchi

    Afrika taabu sana aisee! Watu wenye silaha wamevamia Kijiji cha Chacho kilichopo jimbo la Sokoto, kaskazini magharibi mwa Nigeria, na kuwateka Wanawake 13, akiwemo mtoto mdogo.Utekaji huo ulitokea usiku wa Novemba 29, na umeongeza hofu miongoni mwa wakazi kutokana na ongezeko la matukio ya...
  9. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Engineer Charles Werema adaiwa kutekwa 12/11/2025, muda wa saa 7 mchana ofisini kwake Madale

    Tumepokea taarifa za kutekwa kwa mwenyekiti wetu wa tawi la Madale na mgombea udiwani wa kata ya Wazo 2020, Jimbo la Kawe Eng. Charles Werema._ Taarifa tulizopewa zinasema Eng. Werema ametekwa leo tarehe 12/11/2025, muda wa saa 7 mchana ofisini kwake Madale. Habari zinasema kuna watu walifika...
  10. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kuna Matukio ya Utekaji yanaendelea, Watekaji wanapitia Video Clips za Maandamano na kuwatafuta watu Mtaani. Vijana kuweni tayari kwa lolote!

    Sikio la Kufa halisikii Dawa !!. Hawa Wapumbavu wanadhani Mbinu zao zitawasaidia , Hawajui, hawajui kua mambo yamebadilika sana. Kwani Vijana ,situmekufa?? Situmeuliwa ?. Hata hili pia Muwe nalo tayari, Msigopeshwe, msirudi Nyuma!!. Njia tuloichagua ,ndio njia sahihi, Lazima tupambane...
  11. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kenan Kihongosi: Gwajima anafanya upotoshaji na uchochezi

    Katibu Mwenezi wa CCM, Kenani Kihongosi amesema Askofu Josephat Gwajima anatumia dini kupotosha umma pamoja na kufanya uchochezi.
  12. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) Yasikitishwa na Matukio ya Utekaji na Kupotea kwa Watu Nchini

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kinasikitishwa na kuendelea kwa matukio ya utekaji na kupotea kwa watu nchini. Tukio la hivi karibuni la kutoweka kwa Ndugu Humphrey Polepole na mengine yanayofanana nalo yanaibua maswali mazito kuhusu usalama wa wananchi na uwajibikaji wa vyombo vya...
  13. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ole Sendeka: Rais Samia hata ukimuangalia usoni kwa moyo wa upendo alionao hawezi kuhusika na Utekaji, ni kiongozi mwenye upendo wa dhati kwa nchi

    Mwanasiasa mkongwe na Mbunge wa zamani wa Simanjiro kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Christopher Ole Sendeka, amepinga vikali matukio ya utekaji yanayoripotiwa kutokea nchini, akiyataja kuwa ni vitendo vya hovyo na visivyokubalika katika taifa linalothamini haki na utu wa binadamu Akizungumza...
  14. Luca Paguro

    JamiiForums Tanzania GE2025 Msanii wa Vichekesho, Ramso atekwa na 'watu wasiojulikana'. Aliposti video akimtaka Samia ajiuzulu

    Kuna kijana anaitwa Ramso, alipost hii video Tiktok, alikuwa anaomba Samia ajiuzulu atuachie nchi Huyu ni kijana mdogo tu alikuwa anatoa maoni yake ya kisiasa kuhusu utendaji kazi mbovu wa Rais Samia Lakini leo tarehe 8 October kuna video hii inasambaa kuwa kijana anatafutwa, haonekani alipo...
  15. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Huyu kijana amefanya kazi ya kitume kumpiga spana waziri mkuu mstaafu Mizengo Pinda kukalia kimya matukio ya utekaji

    Huu ujasiri wa huyu kijana ni wa kuigwa, anamchana waziri mkuu mstaafu kuhusu tabia ya kukaa kimya na kutokukemea matukio ya utekaji na watu kupotezwa na sasa wanaenda kutafuta kura kwa wananchi, wakitekwa wote wakaisha nani atawapigia kura?
  16. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Polisi: Baadhi ya matukio ya utekaji ni kujiteka wenyewe na migogoro ya kifamilia

    Jeshi la Polisi nchini Tanzania limetoa ufafanuzi kuhusu matukio ya utekaji na kupotea kwa watu ambayo yamekuwa yakiripotiwa mara kwa mara katika vituo vya polisi ambapo kwa mujibu wa uchunguzi uliofanywa kwa kina, imebainika kuwa si matukio yote yanayotokana na uhalifu wa kweli, bali mengine...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Mbatia amuuliza murilo: Kwa moyo wako, moral inner ssense hujui wanaoteka?

    Sikiliza kwa makini hoja ya Mbatia kuhusu polisi na utekaji NA MAJIBU YA mULILO https://www.youtube.com/watch?v=HFAXCAzPP7c
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Bashungwa alikumbusha Jeshi la Polisi kukomesha matukio ya utekaji nchini

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ameliagiza Jeshi la Polisi kuendelea kuzingatia maelekezo yaliyotolewa na Rais Samia Suluhu Hassan kuhakikisha linashughulikia masuala ya jinai ikiwemo kukomesha matukio ya utekaji nchini. Mbali na hilo, ameliagiza jeshi hilo kudhibiti...
  19. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Madeleka: IGP asiishie kupunguza matukio ya utekaji, akomeshe kabisa

    " Watu wanatekwa na juzi IGP ni shahidi nampongeza sana, kasema wamefanikiwa kupunguza utekaji, maana yake IGP anawajua wanaoteka ndiyo maana ameweza kuwadhibiti. Sasa mimi wito wangu kwa IGP, ili watu waweze kuwa na amani ya kweli, nampongeza kwa kupunguza matukio ya utekaji lakini watanzania...
  20. W

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe: Magufuli alivyokemea matukio ya Utekaji nchini 2019

    Magufuli alisema Watanzania wanajua kuchambua mambo na lilipotokea tukio la kutekwa kwa Mo zilikuja habari nyingi kwamba waliohusika na utekaji ni Wazungu wa aina fulani lakini suala hilo lilipomalizika liliacha maswali mengi zaidi. Aliongeza kuwa walijaribu kulichoma moto gari lakini baadaye...
Back
Top Bottom