jpm

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kama wafanyabiashara wenyewe ndiyo hawa walanguzi wa nchi basi JPM alikuwa sahihi kutwaa pesa zao kibabe zikasaidie wananchi

    Kikao cha juzi cha walanguzi wa nchi kimetuthibitishia kitu kimoja. Sasa hivi tuna mtu aliyetayari kuuza Ikulu yetu, wakati hapo nyuma tulikuwa na Rais aliyeamua kutwaa pesa za wezi na walanguzi kwa ajili ya maslahi ya wananchi. Hawa Walanguzi wanatoa mabilioni ili wapate nini, ili walipwe...
  2. Atlast nimempata

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe kwa JPM!

    Sikiliza mpaka mwisho
  3. Fanfa

    JamiiForums Tanzania Uchungu wa Polepole kuhusu Haki, Demokrasia na Utawala bora unatoka wapi?

    Hivi karibuni ndugu Polepole baada ya kujiuzuru ubalozi ame-trend sana na kujipatia maujiko (umaarufu) kuwa ni mpigania haki, demokrasia na utawala Bora. Swali la kujiuliza ni kweli Polepole ana uchungu na mpigania haki, demokrasia na utawala Bora???. Hebu tujiulize maswali mengine haya tena...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hayati Jpm.

    Dah .... Nilimpenda sana sana Magufuli... Huyu kanisababishia niwe mfuatiliaji wa Habari sana hapa Tanzania... Kila siku nilikuwa natamani kusikia kitu kipya... Siku Giza lililopomkuta... Nakumbuka ... Nilikuwa nje kikazi... Mhhhh ... Ile nafika nyumbani saa sita usiku, kwa vile nilikula huko...
  5. kwa-muda

    JamiiForums Tanzania Haya yote yanayoendelea ni matokeo ya akina Polepole na utawala wa JPM - Tujifunze kupigia kelele viongozi kufuata sheria

    Haijalishi unampenda vipi Hayati JPM, lakini ameacha shida kubwa iliyoanza katika utawala wake. Tatizo shida ya sisi Watanzania huwa tunafurahi na hatujali pale sheria, katiba ikivunjwa na mtu tunayedai anatimiza matakwa ya wananchi. Tena tunasema kwamba kufuata utaratibu na sheria...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Actually Magufuli was not a presidential material

    There is always a say that survival of the fittest. Actually jpm was not a presidential material and this made him be like a monster because he did not not know where to start and where to end.
  7. Yoda

    JamiiForums Tanzania Ugomvi wa Nape, January, Kinana dhidi ya JPM ulitokana na nini hasa?

    Siasa za nchi hii zinachanganya sana, wote tunakumbuka jinsi hawa mapacha watatu walivyokuwa hawaivi chungu kimoja kabisa na Magufuli mpaka wakanaswa wakiwa wanamsengenya huku wakitengeneza waraka mzito na mpango wa kuutoa kwenye vyombo vya habari kutikisa nchi. Jambo ambalo sijawahi kuelewa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Anaye pambana na Samia anapambana na JPM | aliyepambana na JPM alipambana na Nyerere

    Anaye Pambana na Samia, Apambane na Kivuli cha Magufuli – Ni Kama Walivyopambana na Magufuli Walivyokuwa Wanapambana na Nyerere Na Costantine V. Magavilla Katika kuendeleza mada ya janga la upumbavu, nimesukumwa, kwa sababu ya fursa iliyo mbele yetu – fursa ya kipekee ya kuunganisha juhudi za...
  9. October 2pm

    JamiiForums Tanzania Aliyepambana na JPM ndiye hamtaki Mama. Polepole ni spika tuu

    CCM Hoyee... Chama kipo Imara kuliko Jana. Tunajua watu mliomtuma Polepole. Msidhani hatujui mnayoyapanga kwenye vikao vyenu. Tunajua aliyenyuma ya Polepole, alipambana pia na JPM. Ninawasikitikia maana round hii mmeshindwa alafu hamjui. Mnajua baada ya oktober kipi kitawatokea. Poleni mtakuwa...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Leo hakuna gazeti hata moja lililoandika habari kubwa ya Polepole!

    Jana balozi Polepole alizungumza na vyombo vya habari vya ndani na kimataifa. Kati ya mengi aliyoyoyazungumzia, ni kupinga ukiukwaji wa katiba na taratibu za kumpata mgombea wa urais katika uchaguzi wa mwaka huukupitia chama chao. Kichekesho ni kwamba serikali imezuia media zote zesitangaze na...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Tuliopiga pesa kwenye mbolea zenye ruzuku miaka 2010 hadi 2014 na kufirisiwa na Hayati Magufuli tukutane hapa

    Binafsi, nimekaa na kukumbuka harakati za kimaisha na jinsi nilivyokuwa milionea na kufirisika na kuwa Kapuku. Nilikuwa nina duka la Pembejeo za Kilimo pale Makambako nikiuza pembejeo za kilimo mbalimbali. Baadaye mbolea zenye ruzuku ya serikali zikaanza wakati wa Kilimo kwanza. Mwaka 2010...
  12. THE BIG SHOW

    JamiiForums Tanzania Kama ni kujiuzulu,alipaswa afanye hivyo enzi za JPM badala yake alitoa kauli kuwa kipindi cha uongozi wao watashikisha watu adabu,huyo ni mfa maji tuh

    Friends and our Enemies, Muda siku zote huwa ni hakimu sahihi sana wa matendo yetu hapa ulimwenguni. POLE POLE,Enzi za mwendazake kipindi ambacho demokrasia ya Taifa hili ilikuwa gizani,uhuru wa vyombo vya habari ulikuwa mashakani,wafanya biashara walipokawa kifungoni na kutakiwa kuishi kama...
  13. Marco Seth

    JamiiForums Tanzania Nani alifaa baada ya Kifo Cha JPM?

    Wewe uliona nani Angeendelea kuuongoza Urais baada ya kifo cha JPM
  14. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Aliyekuwa Katibu wa Rais Magufuli, Ngussa Samike ajitosa kuwania ubunge jimbo la Sengerema

    Aliyekuwa Katibu wa Rais wa awamu ya tano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli Ndugu Ngussa Samike leo Jumamosi Juni 28, 2025 amechukua Fomu ya Chama Cha Mapinduzi CCM ya kuomba ridhaa ya kupeperusha bendera ya Chama hicho kwenye Kinyang'anyiro cha Ubunge, Jimbo la Sengerema Mkoani Mwanza katika...
  15. Kididimo

    JamiiForums Tanzania Hii ni kukosea au kutojua. Kwa heshima inastahili kuwepo picha za JPM daraja la Kigongo- Busisi na siyo vinginevyo

    Mheshimiwa Rais wetu Mama Samia ameridhia Daraja la Kigongo- Busisi liitwe ni Daraja la JPM kama heshima maalumu kwa uasisi na utekelezaji wa wazo hilo. Kama ni kweli tumemuheshimu hivyo, basi yafaa picha za JPM angalau kila upande ziwepo. Nimepita leo, nikaona picha picha zingine tuu. Aidha...
  16. mirindimo

    JamiiForums Tanzania JPM aliwezaje kusimamia TANESCO wasikate umeme ?

    Huyu mwamba aliwezaje kuhakikisha anaondoa hii kukatwa umeme na mgao usio na mpangilio !? Na huyu mama anashindwa wapi hasa ?
  17. P

    JamiiForums Tanzania JPM Aliona mbali kuhusu home shopping center,Karia hukuijua GSM Sasa ulinywe

    Ndugu wapenzi wa mpira, hasa wa Tanzania,kama mnakumbuka wakati JPM anaingia madarakani alibaini madudu makubwa sana kuhusu ukwepaji wa Kodi uliokuwa unafanyika Tanzania.Miongoni mwa kampuni iliyobainika ilikuwa ni home shpng center Hadi kupelekea kupotea. Watu wenye akili walitia...
  18. D

    JamiiForums Tanzania I give u five Samia. Jpm banned all political activities in the country but your humility has cost you a lot

    Refer to the caption above Surely samia is real an icon. Imagine jpm banned all politics of the opposition claiming that ccm is the only party to dwindle politics. Jpm new that if chadema had been allowed to exercise politics that could have been the end of ccm. when samia came into power...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Demokrasia ipo juu sana tanzani. Hongera mama. Jpm aliogoa sana demokrasi kwa kuw hakujiamini.

    Wote tunakumbuka kipindi kile ukitokea we ni mpinzani unawindwa na akinq sabaya na makonda kwa maagizo ya yule nduli. Alifunga mikutano yote ya chadema kwa kuwahofia na hakuwa anapenda kabisa siasa ndo mana nchi iliongozwa kwa uongo mwingi mana hakukuwa na mkosoaji na aliogopa hilo Mama...
  20. Mbabani

    JamiiForums Tanzania Ndoto ya JPM kwa Simba na CAF kupeleka mechi Zanzibar

    Leo nimemkumbuka aliyekua Rais wa JMT hayati John Pombe Magufuli, sehemu ya maneno alisema "naiomba Simba ilete kombe la Afrika hapa". Baada ya JPM kufariki, mwili wake ukaaagwa Dar, ukapelekwa Zanzibar, ukarudishwa Dodoma, ukapelekwa Mwanza kisha mwili wake ukapelekwa Chato kupitia Geita. Hii...
Back
Top Bottom