mwongozo

 1. Uzalendo wa Kitanzania

  WITO Mhesh Ruto jahazi lazama, chutama, usione fedhea , fanya hima mtafute mheshimiwa Uhuru, kumbuka jungu kuu halikosi ukoko!

  Wadau hamjamboni nyote? Huu ni wito wangu binafsi kwa Mheshimiwa William Ruto Rais wa Jamhuri ya Kenya ambao umezingatia maslahi mapana ya nchi hiyo! Mheshimiwa Nikuombe Ndugu yangu usione aibu wala fedhea, chutama, zika ufahari wako, usisite, usijali, usiogope, usione aibu wala fedhea ...
 2. ashomile

  Naombeni mwongozo wa kupata simu kali iliyotengenezwa kati ya 2023/24

  Wakuu kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, nahitaji kujua Smartphone iliyotengenezwa hivi karibuni, isipokuwa TECNO, INFINIX NA ITEL.. Ninahitaji kununua Smartphone mpya, Budget yangu 450k hadi 500k pia processor isiwe ya SPD au MTK, hii sizihitaji katika list yangu.
 3. Excel

  Nifanye nini ili maombi yangu yajibiwe haraka?

  Hello Jf. Je, kuna watu humu waliwahi kufunga na kuomba kwa siku kadhaa? (3,7 ama mwezi) Je, lengo lenu la kufunga lilitimia? Nataka kufunga kwa siku tano tu kuombea jambo langu flani, nipeni ABC's nini cha kufanya katika kipundi hicho cha kufunga maombi yafanyike ya aina gani
 4. ivanmark714

  Msaada wa mwongozo wa jinsi ya kufika Visiwa vya Comoro tokea Dar Es Salaam

  Habari Wana jukwaaa? Mimi ni mkazi wa dar es salaam Mwishoni mwa mwezi June ni matarajio yangu kufika visiwa vya COMORO nimeleta Uzi huu ili kusaidiwa kupata mwongozo jinsi ya kufika visiwa hivyo Yani nauli vigezo na masharti mpka kuingia visiwa hivyo kutokea hapa DAR ES SALAAM Ahsanteni...!!
 5. Salman raj jetha

  SoC04 Mwongozo wa Maendeleo: Njia ya Tanzania kuelekea Uchumi Endelevu na Usawa

  Kwa kuwa maendeleo ni mchakato wa pamoja kati ya serikali na wananchi, hapa kuna hoja kadhaa ambazo zinaweza kuchangia maendeleo makubwa Tanzania ndani ya miaka 5 hadi 25 Ila katika kila point ntakayotoa ELIMU ni kipaumbele changu 1. Elimu Bora na Endelevu: Kuwekeza katika elimu ya msingi...
 6. SAYVILLE

  Jinsi tutakavyoshangilia magoli ya timu yetu ya Mamelodi Sundowns dhidi ya Yanga

  Kumekuwa na mwamko mkubwa wa wapenzi na mashabiki wa Mamelodi Sundowns kujiandaa kuhudhuria mechi dhidi ya Deportivo de Utopolo itakayofanyika tarehe 30/03/2014. Sasa tumekubaliana kila goli letu likifungwa tutacheza style inayotrend sasa hivi ya amapiano iitwayo Tshwala Bam...
 7. W

  Mwongozo wa Kujenga Maisha Mazuri kwa Kuzingatia Umri

  Kuishi maisha yenye mafanikio na furaha kunahitaji mkakati na maamuzi sahihi kulingana na umri wako na wakati sahihi. Hapa kuna mwongozo wa kujenga maisha mazuri kwa kuzingatia umri wako: Katika Umri Mdogo (Miaka 25-30): Katika kipindi hiki, fanya bidii na jitahidi kufikia malengo yako. Hata...
 8. Shining Light

  Usalama wa Mitandao ya Kijamii kwa Wazazi na Watoto

  Kwa kuenea kwa teknolojia na intaneti, watoto wengi wanakua kama watumiaji wa kidijitali na wapenzi wa mitandao ya kijamii. Ingawa kuna faida nyingi za matumizi ya mitandao ya kijamii kwa watoto, kuna hatari kadhaa kama vile kutolewa kwa maudhui yasiyofaa, uhusiano na watu wasiojulikana, na...
 9. Onny Alex

  Mwongozo wa Kazi ya Mhandisi wa Kompyuta (Computer Engineer Career Overview)

  Mhandisi wa kompyuta huchanganya uhandisi wa umeme na sayansi ya kompyuta ili kutegeneza teknolojia mpya. Wao hupanga, kujenga, na kuratibu vifaa vya kompyuta katika kompyuta za kisasa. Wahandisi hawa wanazingatia kuunganisha vifaa(hardware) na programu(software) katika mfumo mmoja...
 10. Vhagar

  Hivi kuna mwongozo wowote unaomlinda mlaji kwenye uuzwaji wa kuku? Kuzingatia uzito

  Hello JF? Naamini kila kitu kina mwongozo kiserikali. Kwa siku za karibuni nimenotice ni kama hawa kuku yatima wanawawaisha sana kutolewa. Yaani now wamekua kama vinjiwa. Hivi inapaswa auzwe akifikia uzito gani? Au inategemeana na hitaji la soko. Kwamba uhitaji ukiwa mkubwa basi mtu anaamua...
 11. Erythrocyte

  Pamoja na kuhujumiwa CHADEMA yafika Hospitali ya Mkoa na kusalimia Majeruhi. Yachangia pesa

  Tulishasema mara kadhaa humu JF na Kwingineko, kwamba kwenye Dunia hii hakuna mahali kokote ambako Shetani aliwahi kumshinda Mungu . Pomoja na utitiri wa hujuma, ambazo ni hujuma za kijinga zilizojaa wivu wa kipumbavu , Chadema imefanikiwa kuingia kwenye Hospitali ya Mkoa wa Manyara kuwaona...
 12. Execute

  Kituo kinachofuata ni Rumion, naombeni mwongozo, ni gari nzuri au ninapotea?

  Hii gari nimeanza kuipenda siku za karibuni. Naomba kupewa muongozo wa uzuri na udhaifu wake.
 13. D

  Mwongozo wa utoaji ardhi kwa raia- ardhi isiyomilikiwa kiasili

  (fungu la 24 - 30) UTANGULIZI Mwongozo huu wa umiliki kwa ajili ya raia wa Tanzania unatokana na fungu la 24 - 30 la sheria ya ardhi Na. 4 ya mwaka 1999. Aidha, ardhi inayoombewa milki inaweza kuwa kwenye mojawapo ya makundi yafuatayo kwa maeneo ya mijini hapa Tanzania. Ardhi inayotolewa...
 14. Mhaya

  RASMI: Diploma waanza kupokea mikopo kutoka HESLB, soma muongozo hapa

  Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imeanza kutoa mikopo ngazi ya Diploma kupitia bodi ya HELSB MWONGOZO WA UTOAJI MIKOPO KWA WANAFUNZI WA STASHAHADA KWA MWAKA WA MASOMO 2023/2024 MAELEKEZO MUHIMU KWA WANAFUNZI WOTE WANAOOMBA MIKOPO. Waombaji wote wa mikopo ya elimu kwa ngazi ya...
 15. R

  Spika Tulia Ackson azuia Mjadala wa Sakata la Bandari Bungeni, asema Bunge lilishatoa maamuzi

  Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson amezuia mjadala wa sakata la bandari kuzungumzwa bungeni lakini akaruhusu kuwa litakapokuja kwa utaratibu mwingine wa kibunge itakuwa ruksa. Spika Dk Tulia ametoa kauli hiyo leo Jumanne Agosti 29,2023 muda mfupi baada ya kipindi cha maswali na majibu ya wabunge...
 16. Mwande na Mndewa

  Waraka wa Baraza la Maaskofu (TEC) kuhusu uendeshaji Bandari utasomwa kila Jumapili kwa wiki 6, utasomwa pia kwenye vigango

  Kesho tunasali Misa ya kwanza Kanisa la Roma kusikiliza waraka wa tamko la Maaskofu 37, Wakiwakilisha Mikoa 31 na Mikoa ya kikanisa yaani majimbo 6. Watanzania kesho watajaa makanisani kusikiliza waraka huo wa Maaaskofu baada ya vyombo vyote vya habari kukataa kurusha waraka huo wa Maaskofu...
 17. M

  SoC03 Kuimarisha Uwajibikaji na Utawala Bora Katika Sekta Yote: Mwongozo wa Hatua za Mabadiliko

  Kichwa Cha Andiko: Utasaidia kuongeza uwajibikaji na kuboresha utawala bora katika sekta yoyote kwa kuzingatia hatua zifuatazo: 1. Kuunda mfumo wa uwajibikaji: Fanya uhakiki wa muundo wako wa uongozi na uwajibikaji. Hakikisha kuwa majukumu na wajibu wa kila mtu wanaeleweka wazi. Weka njia za...
 18. Sci-Fi

  Unlocking Business Potential through Artificial Intelligence: A Comprehensive Guide-Kufungua Uwezo wa Biashara kupitia Ujasusi Bandia: Mwongozo Kamili

  Habari za Muda huu wakuu, Wengi wameandika kuhusu AI, ila na mimi ningependa kutia neno kidogo lakini katika angle ya baishara, kama title inavosema "Unlocking Business Potential through Artificial Intelligence: A Comprehensive Guide, kwa tafsi isiyo rasmi sana "Kufungua Uwezo wa Biashara...
 19. ommytk

  Natafuta msaada wa kupata mwongozo nipate Visa kwenda Canada

  Wadau ebu nisiongee sana naomba nisimame kama kichwa cha habari yangu nilivyoandika kwa atayekuwa na msaada au mawazo yoyote napokea
Back
Top Bottom