giza

Giza (; sometimes spelled Gizah or Jizah; Arabic: الجيزة‎ al-Jīzah, Egyptian Arabic pronunciation: [el ˈgiːze]) is the second-largest city in Egypt after Cairo and fourth-largest city in Africa after Kinshasa, Lagos and Cairo. It is the capital of Giza Governorate with a total population of 8.8 million as of October 2018. It is located on the west bank of the Nile, 4.9 km (3 mi) southwest of central Cairo, and is a core city of the Greater Cairo metropolis. Giza lies less than 30 km (18.64 mi) north of Memphis (Men-nefer), which was the capital city of the first unified Egyptian state from the days of the first pharaoh, Narmer.
Giza is most famous as the location of the Giza Plateau, the site of some of the most impressive ancient monuments in the world, including a complex of ancient Egyptian royal mortuary and sacred structures, including the Great Sphinx, the Great Pyramid of Giza, and a number of other large pyramids and temples. Giza has always been a focal point in Egypt's history due to its location close to Memphis, the ancient pharaonic capital of the Old Kingdom. Its St. George Cathedral is the episcopal see of the Coptic Catholic Eparchy of Giza.

View More On Wikipedia.org
  1. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Asagwile Mwasongwe: Kama Wewe ni Nuru, Giza Linakuweza Vipi? Njoo Tupige Kolabo

    Mwimbaji wa nyimbo za Injili nchini Tanzania, Asagwile Mwasongwe, ameweka wazi msimamo wake kuhusu mjadala unaoendelea wa ushirikiano wa kimuziki kati ya wasanii wa dini na wale wa muziki wa kidunia (secular). Katika video aliyorekodi na kuisambaza kwenye mitandao ya kijamii, Asagwile ametoa...
  2. W

    JamiiForums Tanzania GIZA HALIJAWAZUIA SOMANGA KUMPOKEA WAZIRI AWESO , ATOA MPANGO WA DHARULA

    https://www.instagram.com/p/Ddu3mhyoS9n/
  3. W

    JamiiForums Tanzania GIZA HALIJAWAZUIA SOMANGA KUMPOKEA WAZIRI AWESO , ATOA MPANGO WA DHARULA

    https://www.instagram.com/p/Ddu3mhyoS9n/
  4. M

    JamiiForums Tanzania KERO: Je, tatizo ni nini kwenye mechi za usiku za NBC Premier League? Mbona viwanja vina giza na mwanga hafifu sana?

    Wakuu salam, Nimeona nitoe dukuduku langu hapa ambalo nina amini wadau wengi wa soka wa hapa nchini mnaona kinachoendelea. Tumeshuhudia maboresho kadhaa kwenye Ligi Kuu ya NBC (NBC Premier League), lakini kuna changamoto moja inatia doa sana tasnia yetu ya soka, nayo ni ubora wa mwanga wa mataa...
  5. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Mikocheni Hakuna umeme. Giza totoro

    Je huko sehemu zingine za Dar vipi? Umeme wa Tanesco upo? Nauliza kwa sababu isije ikawa Ile post niliyoandika sasa hivi kuhusu yule jamaa inaleta balaa
  6. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Anastahili Pongezi Na Heshima Kubwa Sana Kwa Hapa Alipolifikisha Taifa Letu. Amelivusha Nyakati Zote Ngumu Na Za Giza

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Anastahili Pongezi,anastahili heshima na kuheshimiwa, anastahili kuungwa Mkono kwa kazi kubwa na njema aliyoifanya ya kulivusha Taifa letu katika nyakati Nguma na za...
  7. Lastborn Mkubwa

    JamiiForums Tanzania Hata giza ni mwanga uliopungua

    Kuna sentensi moja ambayo ukiielewa vizuri inaweza kubadilisha kabisa namna unavyoitazama dunia: "HATA GIZA NI MWANGA ULIOPUNGUA." Watu wengi wakiisikia hukataa mara moja. Wanasema, "Haiwezekani. Giza ni kinyume cha mwanga." Lakini hebu jiulize swali moja. Giza linawezaje kutoweka kwa kuwasha...
  8. Mzee Rufiji

    JamiiForums Tanzania Wanyama wa giza: Siri ya paka, mbwa na ndege wa usiku wanavyotumiwa kuchunguza maisha yako

    Katika ulimwengu wa kiroho, viumbe hai wote wana masafa ya nishati wanayofanyia kazi. Hata hivyo, kuna wanyama na ndege fulani ambao kimaumbile na kiroho wana milango ya fahamu iliyo wazi kuona tabaka la giza [Maalim Abdul Daruwesh]. Wachawi na nguvu za giza hawatumii wanyama hawa kwa bahati...
  9. Street brain

    JamiiForums Tanzania Falsafa ya 'Mvuli wa Giza': Jinsi ya Kuishi Kijasusi Katika Ulimwengu Unaoabudu Kelele

    Wana-JamiiForums,Tunaishi kwenye kizazi cha "Angalia nini ninafanya." Kila mtu anataka kuonekana. Watu wanapost mafanikio, safari, hadi migogoro ya kifamilia. Lakini leo nataka tuongelee Usiri wa Kiwango cha Juu (Strategic Secrecy)—sio kama tabia tu, bali kama silaha ya kiakili na kiulinzi...
  10. FEBIANI BABUYA

    JamiiForums Tanzania SIKU ZA GIZA

    STORY: SIKU ZA GIZA MWANDISHI: FEBIANI BABUYA WHATSAPP: +255621567672 EMAIL: thomasibabuya@gmail.com AGE: 18+ UKURASA WA KWANZA DARK DAYS INTRO. USIKU: INASIKIKA SAUTI YENYE MSISIMKO MKALI NDANI YAKE IKIWA INANENA KWA HISIA. “Uhalisia wa maisha haupo kwenye kuyatafuta maisha bali ukweli wa...
  11. a sinner saved by Christ

    JamiiForums Tanzania Mistari 20 ya biblia ambayo ufalme wa giza hawaipendi kutokana na kubeba nguvu kubwa ya moto mkali unaounguza na kuharibu kazi zote za giza,shetani

    Zaburi hizi 1)zaburi ya 23 (wagalatia 3:13,mwanzo 22:14 isaya 54:17) 2)zaburi ya 27 3)zaburi ya 64 4)zaburi ya 91 5)zaburi 112 (wagalatia 3:29,mithali 3:29) 6)zaburi ya kwanza 1 .(yeremia 17:7-8,wafilipi 4:19) 7)zaburi 30
  12. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Lango la Kiroho la July 1 na uhusiano wake katika Ulimwengu wa Giza

    Tarehe 1 Julai inawakilisha lango kuu la kiroho la katikati ya mwaka (Mid-Year Portal) linalogawa kalenda katika pande mbili sawa. Katika mifumo ya kiroho, tarehe hii si siku ya kawaida, bali ni majira ya mpito ambapo milango ya kiroho hufunguka ili kuruhusu mabadiliko ya kiutawala, tathmini...
  13. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania ISHARA KAMA HALISI: Usafiri wa Kijasusi wa Giza na Vita vya Kuteka Fahamu za Kiroho

    Katika ulimwengu wa roho uliogubikwa na usiri mkubwa na pazia la giza totoro, kuna mchezo hatari wa kijasusi unaoendeshwa dhidi ya mwanadamu nao unajulikana kama "Ishara Kama Halisi." Huu ni mfumo wa hali ya juu ambapo nguvu hasi haziji zikiwa na sura za kutisha, bali hutengeneza mitego, maono...
  14. Fbn

    JamiiForums Tanzania Pazeni sauti zenu kuna kitu kipo kwenye giza kwa kisingizio umeme

    Kuna jambo linataka kufanyika likionekana kuwa sio mtandao ila litakanushwa ni kwa umeme nawala sio wahusika. Mliopo karibu na wana CHADEMA wote mnatakiwa kuzibitiwa au kupotezwa kabla jumapili.
  15. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Michele Lamy: Malkia wa giza

    Michèle Lamy ni mjasiriamali, msanii, na nembo ya kipekee ya utamaduni na mitindo (fashion icon) kutoka nchini Ufaransa, anayejulikana zaidi kama mke na mshirika mkuu wa kibiashara wa mbunifu mashuhuri Rick Owens. Kabla ya kujenga himaya yao kubwa ya mitindo ya kipekee, Lamy alianzia maisha yake...
  16. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Nuru ya Imani Katika Giza la Wasioamini: Wito wa Upendo na Ushuhuda wa Kiroho

    1. Kiu ya Kiroho na Fumbo la Imani Imani sio milki ya walio ndani ya nyumba ya ibada pekee, bali ni mbegu ya kiungu iliyopandwa ndani ya kila mwanadamu. Hata moyo wa mtu asiyeamini hubeba kiu ya siri ya kutafuta ukweli, amani, na chanzo cha uzima. Katika ulimwengu wa kiroho, kukataa kuamini...
  17. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Dunia ya giza nyuma ya kuta za mochwari

    Je ni mapema sana kupost hizi mambo ama tusubiri usiku? Nadhani muda huu ndio sahihi kwakuwa shughuli nyingi hufanyika nuruni.. Kuna watu muda huu wako mochwari na majonzi tele.. Tuwaombee sana! Ukweli wa kutisha zaidi kuhusu kazi za mochwari ni kwamba miili ya marehemu mara nyingi hutoa sauti...
  18. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Mambo 7 ya kiroho kwenye ulimwengu wa giza

    1. Maagano ya Damu (Blood Covenants)Ulimwengu wa giza hufanya kazi kupitia maagano ya damu ya siri, ambapo kafara za wanyama au wanadamu hutumika kama sarafu kuu ya kiroho. Kwenye dunia ya asili, jambo hili linajidhihirisha kupitia matukio yasiyoelezeka ya vifo vya ghafla au ajali mfululizo...
  19. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Vita ya kumaliza kesi ya Lissu katika giza la kufungiwa kwa CHADEMA

    Wakati CHADEMA ikianza operesheni ya “Katiba Mpya Free Lissu” katika mikoa ya Kanda ya Ziwa, tayari hofu imeshatanda serikalini, ambapo Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imeiandikia baria ikitaka ijieleze kwa nini isifungiwe au kutozwa faini. Miongoni mwa makossa wanayotakiwa kujieleza ni...
  20. a sinner saved by Christ

    JamiiForums Tanzania MORNITORING SPIRITS/ROHO ZA GIZA ZINAZOFUATILIA MAISHA YAKO

    Kila mwandamu ana kitu chake Mungu amemuumba nacho cha pekee kinachomfanya awe wa pekee tofauti na mwingine ambacho kitampa nafasi fursa hapa za kufanikiwa hapa duniani(kuleta ugali mezani) ambacho kitampa pia heshima na kuthaminiwa . DALILI ZINAZO ONYESHA UMEKWISHA IBIWA KITU CHAKO CHA NDANI...
Back
Top Bottom