https://youtu.be/VucOADP1loY?si=f0xgGxMinKLYLnbZ
Mnajua yuko wapi huyu Jesusi wa mbinguni, Askofu Josephat Gwajima?
Mnakumbuka aliyowahi kusema huko nyuma kuhusu Tanzania na mwisho wa CCM?
Sikilizeni...
Vita ya kuikomboa Tanganyika inapiganwa katika maeneo mawili;
1. Mwilini (Physical realm...
Wiki chache zilizopita tulitangaziwa kuwa aliyekuwa makamu wa Rais, Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi amejiuzulu nafasi hiyo. Siku chache baadaye CCM wakatutangazia kuwa wamemfukuza Nchimbi uanachama wa chama chao! Ajabu ni kuwa CCM katika taarifa yao kwa wanahabari hawakutoa fursa ya maswali...
Huyu mke mwenza wangu sijui katokomea wapi?
Alikuwa ananichamba sana lakini nilimnyoosha mpaka akaacha ndala.
Chanzo ni kumuibia mumewe Extrovert akawa na gubu mpaka leo.
Sijui kabadili ID au kabadili jinsia kawa ankali?
Haya mambo yanatafakarisha sana kwa sisi wenye akili.
Bring back...
Kihisitoria, Makamu wa rais wa kwanza kujiuzulu nchini alikuwa Aboud Jumbe.
Alirubuniwa na wachoyo na walafi wa madaraka hasa vijana wakiongozwa na marehemu Seif Shariff Hamad ili wamuondoe wachukue ukanda wakaisha kuishi na kufa kwa upanga kama walivyoishi kwao. Nchimbi kaondolewa. Tunajua ni...
Tangu ajiuzulu wadhifa wake amekuwa kimya mno. Je, ameenda kijijini kwake kwenda kulima na Kufuga?
Emmanuel Nchimbi, nakukumbusha kumbuka viapo vyako ulivyoapa!
Linaweza kuwa swali la kijinga sana lakini lililobeba tafakuri kubwa
Ukimya na kutoonekana kwake hadharani kumezua sintofahamu kubwa inayotoa mwanya wa speculations za kila aina
Kwamba yuko house arrest
Kwamba yuko mahali salama
Kwamba kapokonywa simu zake zote na kuzuiwa kuonana na yeyote...
Hivi karibuni kumekuwa na mjadala kuhusu baadhi ya wanawake kuvaa mavazi yanayoonekana kama nguo za ndani katika maeneo ya umma. Je, hali hii inaendana na kanuni na maadili ya mavazi katika jamii?
Tunaona katika maeneo mbalimbali ya umma, ikiwemo kwenye vyombo vya usafiri, baadhi ya abiria na...
Anonymous
Thread
jukumu
kusimamia
taifa
vazi
vazi la taifa
wapiyukoyukowapi
Wadau bila shaka mko poa, swali langu yule waziri mkuu fake aliyetokana na uongozi wa kuua watu na umwagaji damu aliyekuwa anafanya ziara uchwara zisizo na matunda yuko wapi?
Tokea awekewe vikwazo na Marekani, huyu takataka aitwaye Mafwele sijamsikia wala kumwona tena.
Hivi yuko wapi huyu kiumbe?
Nashangaa mpaka sasa kwa nini raia wema hawajamuua! Sisi Watanzania sijui tukoje tu.
Ila hawa watu hawana kabisa busara.
Miaka 10 ijayo huyu Mafwele hatokuwa na hicho...
Tokea awekewe vikwazo na Marekani, huyu aitwaye Mafwele sijamsikia wala kumwona tena.
Hivi yuko wapi huyu kiumbe?
Ila hawa watu hawana kabisa busara.
Miaka 10 ijayo huyu Mafwele hatokuwa na hicho cheo alichonacho.
Ataishi wapi huyu takataka ukizingatia yote aliyoyafanya?
Natamani sana...
Ndugu zangu, ni wapi alipo Rais wetu wa awamu ya nne. Mh. Jakaya Mrisho Kikwete?
Hakuna kipindi ambacho wapinzani waliinjoi kama kipindi cha Kikwete. Walizoa wabunge wengi sana madiwani na wenyekiti wa vijiji.
Maisha ya wapinzani yalianza kuwa magumu pindi tu alipokaa pembeni Mh. Kikwete...
Na je,
Mkapuchini Jude Thaddeus Ruawa'ichi O.F.M.Cap, Archbishop of Diocese of Dar Es Salaam Tanzania, yu hali gani kisiasa kwa sasa?
Au amerudishwa madhabahuni kwa lazima na katekista J. Lodovick?
Na je,
water melon wa kanisa katoliki Tanzania, Wolfgang Pisa, O.F.M Cap, Bishop of Lindi...
Huyu MwanaJF yuko wapi ni muda sasa hajaonekana hapa jukwaani.
Nimeona reply yake ya mwisho ni mwezi wa tisa mwaka jana.
Kabla ya uchaguzi.
johnthebaptist
Katika mjadala wa maendeleo ya sekta ya afya na usalama kazini nchini Tanzania, jina la Akwilina Victor Kayumba haliwezi kupuuzwa. Ni miongoni mwa wataalamu waliopitia safari ya kitaaluma yenye uzito—kuanzia utafiti wa kisayansi hadi kushika nafasi ya juu ya uongozi serikalini.
Dkt. Kayumba ana...
Ni mda watanzania wote bila kujali itikadi za vyama na dini zetu kutoka na kushinikiza mamlaka kumwachia Tundu Lissu bila masharti yoyote. Na mamlaka kutoka na kusema Polepole yuko wapi hii nchi sio mali ya mtu hii ni nchi ya wananchi wote au Mamlaka mnataka kuona Nguvu ya Umma ile ya October...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.