mwandishi

Mwandishi is the ninth album by jazz pianist Herbie Hancock, released in 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. tucker carlson

    JamiiForums Tanzania Rais wa Senegal atoa msamaha kwa Mwandishi wa Habari Rene Capain Bassene aliyekuwa amehukumiwa kifungo cha Maisha jela

    Rais wa Senegal ametoa msamaha kwa mwandishi wa habari, Rene Capain Bassene, aliyekuwa amehukumiwa kifungo cha maisha jela kuhusiana na mauaji ya watu 14 yaliyotokea mwaka 2018 katika mkoa wa Casamance. Mnamo Januari 2018, watu 14 waliokuwa wakikata mbao (loggers) walivamiwa na kuuawa katika...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Masoud Kipanya: Ningekuwa Bodi ya ithibati, kila Mwandishi aliyegombea kupitia chama asingerudi kwenye Uandishi

    Mchora Katuni Masoud Kipanya ambaye pia amewahi kuwa Mtangazaji wa Redio na TV kupitia chaneli ya Kipanya Tell A vision kuhusu Mtazamo wake kuhusu Waandishi wa Habari walioshiriki katika kuwania nafasi za uongozi kupitia Vyama vya Siasa.
  3. R

    JamiiForums Tanzania Msigwa: Mimi ndiye Mwandishi wa habari wa kwanza Tanzania kutuma stori kwa Internet

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji wa Serikali, Gerson Msigwa akifanya mahojiano na Bongo FM leo Mei 15, 2026 ameeleza namna alivyopambana wakati anafanya kazi na Radio Tanzania Mkoa wa Songea
  4. ngozimbili

    JamiiForums Tanzania Khalifa hakumtendea haki Jaji Warioba, ujumbe wa wazi kwa mwandishi Khalifa wa The Chanzo

    YA WARIOBA, MANGE NA KHALIFA: TANZANIA MOJA, ULIMWENGU MITATU TOFAUTI Tanzania ya leo inaishi katika mgawanyiko ambao hauonekani kwa macho, lakini unasikika kwenye kila mjadala wa kisiasa, kila “trend” ya mtandaoni, na kila tamko la viongozi. Ni mgawanyiko wa kizazi, wa taarifa, wa lugha, na wa...
  5. E

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali ndio iwe mwamuzi wa nani awe mwandishi wa habari na nani asiwe?

    Wakati Serikali ikitangaza kuwepo kwa mpango wa kuwatambua waandishi wa habari wakongwe ambao hawakusomea uandishi wa habari kwa ngazi ya stashahada, swali linalogonga vichwa ni kwa nini Serikali ndiyo iwe mwamuzi wa nani awe mwandishi wa habari na nani asiwe? Hivi karibuni, Msemaji Mkuu wa...
  6. R

    JamiiForums Tanzania BURUNDI: Mahakama yamwachia huru Mwandishi wa habari baada ya kukaa jela miaka miwili

    Mahakama ya rufaa nchini Burundi imemwachia huru kwa masharti mwandishi wa habari Sandra Muhoza, hatua inayohitimisha kizuizini cha karibu miaka miwili kilichoibua hofu mpya juu ya uhuru wa habari nchini humo. Muhoza, ambaye ni mwandishi wa habari wa shirika la La Nova Burundi, alikuwa...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Yericko Nyerere atikisa Afrika, Ashinda Tuzo ya Mwandishi Bora wa Vitabu Afrika

    Usiku wa Machi 07.2026 katika jijini la Kigali nchini Rwanda, Mtanzania Yericko Nyerere ametangazwa kuwa mshindi wa tuzo ya uandishi bora wa vitabu Barani Afrika, tuzo inayotolewa na 'Shining Stars Africa Awards' Yericko ambaye pia ni kada wa CHAUMMA alishinda kwa kura 7584 sawa na 53% alikuwa...
  8. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Zungu apigwa onyo kali kwa kukiuka maadili kuhusu tukio la uchelewaji wa ndege ya ATCL Mwanza - Dar

    JAB YAMPA ΟΝΥΟ ΚALI MWANDISHI KWA KUKIUKA MAADILI Dar es Salaam, 23 Januari, 2026 Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), kwa mujibu wa mamlaka iliyopewa chini ya Sheria ya Huduma za Habari, Sura ya 229 na kanuni zake, imempa ONYO KALI Mwandishi wa Habari, Bw. Kelvin Justine Raphael...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Mwandishi wa habari amnunulia dawati mwanaye baada ya kuona wanafunzi wanakaa chini katika shule ya Msingi Mwilamvya

    Nimeona ile stori ya Mwananchi mwenzangu wa Kigoma aliyoandika kuhusu Shule ya Sekondari Buhanda iliyopo Kigoma Mjini kuwa na upungufu wa madawati, ni kweli shule hiyo na nyingine kadhaa hazina madawati na ni changamoto ambayo ipo kwenye shule kadhaa. Nishee stori moja, kuna Mwandishi wa Habari...
  10. R

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Polisi Uganda wamemkamata mwandishi Yousra Elbagir kwa kurekodi askari wakipiga wafuasi wa Bobi Wine

    Mwandishi wa Sky News anayehusika na masuala ya Afrika, Yousra Elbagir, pamoja na timu yake, wamekamatwa na vyombo vya usalama vya Uganda baada ya kunaswa wakirekodi askari wa polisi na jeshi wakipiga na kuwatesa wafuasi wa kiongozi wa upinzani Bobi Wine. Hivi karibuni Yousra Elbagir alimfanyia...
  11. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Mwandishi wa Ivory Coast ahoji AFCON 2027 kufanyika Afrika Mashariki yenye barabara mbovu na miundombinu mibovu

    Katika mkutano wa CAF uliofanyika hivi karibuni, Kuna kipande cha video cha mkutano huo kimeibua maswali mengi hususani kwa watu wa Afrika Mashariki, ikiwemo wakenya ambao kwenye kurusa za mitandao yao ya kijamii video hii imekuwa ikisambaa sana. Video hii inamhusu muandishi wa habari kutokea...
  12. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Rais Samia kabadilisha mwandishi wa hotuba?!

    Nimemsikia Rais Samia Suluhu akiwahutubia mabalozi wanaowakilisha nchi zao hapa nchini. Hotuba yake imepiga hatua moja mbele. Rais Samia “ameishavua nguo lakini anaogopa kuoga maji”. Ama maji yana moto sana au ni baridi sana. NAMPONGEZA mwandishi wa hotuba. NAMPONGEZA Rais kwa kuwa mwaminifu wa...
  13. AARONI ULAYA

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwandishi wa vitabu

    Ndugu zangu sina maneno mengi kama wewe ni Mwandishi wa Vitabu nitafute kwa namba 0625568600 au kama unamjua mwandishi niunganishe naye tafadhari apate kazi nzuri
  14. ChekoFagia

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwandishi wa Millard Ayo Godfrey yupo Gereza Kisongo Arusha kwa kesi ya uhaini, Millard yupo bize na kumpost Msigwa

    Millard Ayo huyu mfanyakazi wake yupo Gerezani Kisongo Arusha kwa kesi ya uhaini ila yeye kapiga kimya yupo busy na Post za Girishon. Ndio maana leo Mauaji makubwa ya kutisha yanatokea Tanzania ila muandishi bora wa taarifa za Mauaji hayo anatoka Kenya.
  15. K

    JamiiForums Tanzania Mpigie kura Savatir wa Zambia tuzo za Zikomo mwandishi wa vitabu bora, amshinde msaliti Yericko Nyerere

    Igweeeee! Adui unayemmudu usimuachie Mungu Watanzania tumejeruhiwa na kudharauliwa sana na hawa wasaliti Huyu yeriko nyerere jasusi feki anashindana katika zikomo award,, the best author in africa na kura ndizo zitakazotoa mshindi Niwaombe wanajf wote tuingie katika link ya zikomo award...
  16. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Jennifer Bilikwija Jovin, ashitakiwa kwa Uhaini kwa Sababu ya Kuhimiza Umma Kutumia Barakoa kwa Usahihi

    Kushoto: NIffer akiwa katika make-up yake katika sura ya kikazi. Kulia: NIffer akiwa anashuka kutoka kwenye karandinga la magereza mahakamani kwa kuchechemea, kuashiria kuwa amepigwa hadi kuteguliwa mguu. Jennifer Bilikwija Jovin, maarufu kama "Niffer" ni Mwandishi wa Habari, Mwanamitindo na...
  17. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Arusha: Mwandishi wa Habari ambaye pia ni Mmiliki wa Kusaga Tv na Mwandishi wa AyoTv wakamatwa na Polisi

    Picha: Alphonce Kusaga (Mei 2025) Mwandishi wa kituo cha habari cha Sunrise Radio cha jijini Arusha, ambaye ni miliki wa Kusaga Tv, ndugu Alphonce Kusaga amekamatwa na Jeshi la polisi Arusha jana 04 Novemba 2025. Baada ya kukamatwa, alipelekwa nyumbani kwake kufanya upekuzi, kisha wakamrudisha...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Dar: Mwandishi Maneno Selanyika aliuawa kwa kupigwa risasi akiwa kwake

    Alikuwa hajasikia tangazo la Polisi la mwisho kutoka nje saa 12 jioni, akaenda kununua mkate... Majirani wanasema mtoto alilia juice akaenda kumnunulia, akapigwa risasi kifuani. Marehemu alikuwa nyumbani kwake, Mbezi Luis. Hadi jana jioni, bado mwili ulikuwa uko chumba cha kuhifadhia maiti...
  19. M

    JamiiForums Tanzania THRDC Walaani mwandishi wa Watetezi TV kukamatwa na kupigwa akiwa kazini

    Mwandishi wa Habari wa Kituo Cha Watetezi TV, kinachorusha matukio ya ukiukwaji wa Haki za Binadamu na kinachomilikiwa na Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) Ndugu JAHA Harith, Aliyechukuliwa tarehe 31/10/2025 na askari waliovalia kijeshi wakatiwa maandamano amepatikana ametupwa...
  20. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania PPR Vox Pop: Mwandishi na Mhariri Nguli Absolom Kibanda, Anazungumzia Ilani ya CCM, Kuhuisha Katiba Mpya ni Kubwa!.

    Wanabodi Nazungumza na Mhariri Waandamizi Absolom Kibanda akizungumzia ilani ya CCM. https://youtu.be/8BSHw4ZM7A8?si=Juc7jONBbKGtmz3b Karibu Paskali
Back
Top Bottom