Sijawahi kufikiri itakuja siku Sisimizi akawatisha na kuwafyatisha mkia wale wanyama wetu wanaojulikana kama The Big Five, yaani wanyama wakubwa zaidi wapatikanao Nchi kavu. Wanyama hao ni Tembo, Simba, Twiga, Nyati/Mbogo na Faru.
Lilipoandaliwa pambano kati ya Sisimizi na wanyama hao, vilitokea...