Ukiona mtu anafanya kazi ya kumlaumu Heche, lakini hajawahi kuyakemea/ kuyasemea haya listed below, ujue katumwa na mbogamboga kumchafua Heche. Mfukuze kama ana kadi ya chama
1. Akiambiwa kuna tone tone haongei chochote
2. Akiambiwa free Tundu Lissu haongei chochote
3. Akiambiwa viongozi wa...
Naona kama Kuna collaboration kati ya vyombo vya habari na hawa machawa wa Abdul. Anaibuka mtu hata sio mwanachama wa CHADEMA na kudai Heche achunguzwe. Cha kushangaza, vyombo vya habari bila kutathmini na kuchunguza nafasi ya msemaji, vikaja na kichwa cha habari: Vijana wa BAVICHA Pwani wamtaka...
Nimewasikiliza watangazaji wa clouds wakishupalia Heche achunguzwe kwa kubugia mamilioni ya fedha za CHADEMA. Huyu mtangazaji anaitwa Oscar akashupalia kwamba Heche akubali kuchunguzwa kwa ubadhirifu. Cha kushangaza Oscar hajataja kiasi kilichoibiwa au kiasi kilichochangwa.
Naona Kuna kundi...
Habari za asubuhi
Katika hali ya kushangaza halmashauri karibu zote Tanzania zinataka kuchafua jitihada kubwa za Mh Rais Dr Samia Hassan Suluhu alizoweka kwa kutoa ajira takribani 12,000 kama ahadi yake ya siku 100 alivoitoa na kwa asilimia 100 kaitekeleza.
Kipembepembe kinakuja kwa hawa...
Hawa CCM na serikali yao siku hizi wamekuwa predictable sana. Baada ya hii barua ya Polepole ya kujiuzulu na kuukosoa uongozi wa Raisi Samia hadharani, utakuta kuna team maalum imewekwa kutafuta namna ya kumchafua. Sasa hivi utaona statements zikianza kutolewa kuhusu maovu aliyofanya...
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama amewataka Watanzania kutozitilia maanani na kuzipuuza habari zinazosambaa mitandaoni kwamba, amefukuzwa kwenye nyumba yake iliyopo Upanga jijini Dar es Salaam.
Msama amesema hayo leo jijini Dar es Salam kuwa kuna baadhi ya watu wenye...
Mbunge wa Bariadi na Naibu Waziri wa Maji, Kundo Mathew anadaiwa kutumia jina FEKI kupata elimu na kazi. Inadaiwa Kundo alibadilisha jina baada ya kufeli na kurudia darasa la saba. Jina halisi la Waziri huyo ni Andrew Nsumbu, na alibadilisha jina hilo baada ya kwenda kurudia darasa saba huko...
Watoto wa mjini wana usemi wao unasema... Ukijua hivi.. Sisi tunajua vile..!
Ukijifanya unazijua sana shotikati za mjini.. Utaingizwa kwenye chocho refu ambalo linaishia chooni kwa mtu ama magetoni kwa masela! Hapo uamuzi ni wako kunyoa ama kusuka, kwakuwa yote mawili hayatawezekana kwa wakati...
Taarifa ya awali ya jeshi la polisi kuhusu kushambuliwa kwa padri kitima ina viashiria vyote vya kumchafua na kuchafua taswira ya kanisa katoliki.
Wanadai alikuwa katika kantini akipata vinywaji (Wakiwa na maana akilewa na kuwayawaya) HAKUNA SEHEMU WAMETAJA KWAMBA Alishambuliwa akiwa katika...
Akichangia ktk topic iliowekwa ktk mtandao wa X na mwanaharakati na rafiki wa karibu wa Tundu Lissu bibi Maria Sarungi, Rais wa TLS ameandika kwamba kuna watu wamesambaa ktk mitandao ya kijamii kwa lengo la kumchafua.
Hii imekuja baada bi Maria kuweka post inayompongeza Rais huyo ya kwamba...
Ndugu zangu Watanzania,
Kama ni Wafuatiliaji wazuri wa siasa za nchi hii mtakubaliani nami na ukweli kuwa Dkt. Slaa amekuwa na Udini mkubwa sana ndani ya kifua chake. Amekuwa na chuki binafsi sana kila inapotokea utawala uliopo madarakani ni wa upande wa pili yaani Uislamu. Amekuwa ni mtu...
Salaam,Shalom!!
Twende Kwa kifupi zaidi,
Mtu wa ndani ni nani?
Mtu ni ROHO, anayo NAFSI na anaishi ndani ya MWILI.
Mtu wa nje ni nani?
Mtu wa nje ni mwili uliotokana na udongo,
Mtu wa ndani ana viungo vya mwili vyote kamili, hata kilema wa Kuzaliwa au kipofu wa mwili, katika yule mtu wa...
Ni habari mbaya kwa nchi yetu inaendelea kuwa na hadhi mbaya ndani /nje ya mipaka yake. Maisha ya waandishi wa habari, wanasiasa na wanaharakati yamekuwa ya mashaka.
Mwanahabari Ansbert Ngurumo aliyewahi kuwa mhariri wa Magazeti ya Tanzania Daima na Mwanahalisi, amekimbilia nchini Finland na...
Waziri Dotto Biteko ambaye pia ni Naibu Waziri mMkuu ameituliza sana Wizara ya Nishati iliyokuwa imeharibiwa vibaya kwa ufisadi na January Makamba. Foleni za kugombea mafuta hazionekani tena pia upatikanaji wa umeme umeimarika mno.
Kama kuwa na Wajomba nje ya nchi ni kosa hata Rais Samia ana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.