hayati jpm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Wote mliofurahia kifo cha hayati JPM leo hii mnaona aibu namna taifa letu linavyopelekwa. Mpo humu jukwaani na mnaona aibu

    Mlibeza kazi nzuri aliyokuwa akiifanya hayati JPM. Mlibeza na kudai ni maendeleo ya vitu. Leo hii mnaona aibu namna taifa letu linavyopelekwa. Hakuna cha maana kinachofanyika. Hata mradi wa Sgr imebaki stori.
  2. Fbn

    JamiiForums Tanzania Hayati JPM alifanya makusudi sana kuharakisha reli za SGR kanda ya ziwa kabla wahuni walivyomuwahi

    Katika miradi ambayo ingeweza kuishia njiani au kufa na mengine imebaki story. Ni miradi ambayo kanda ya ziwa ambayo jitihada za haraka kama angesubiri ziwe kwa awamu mfano SGR Dar -Dodoma kwanza basi reli kutoka dodoma kwenda Mwanza ingekuwa story.
  3. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha sana. Ujenzi wa SGR Makutupora ni 14% wakati angelikuwepo hayati Magufuli Ujenzi wa SGR ungekuwa umefika Mwanza kwa 100%

    Kuna janjajajanja tu tu wafanyabiasha wanaomiliki mbasi na malori hawataki ujenzi wa Sgr ukamilike kufikia 100% kwa sababu ya manufaa ya biashara zao. Hayati JPM aliwadhibiti .Leo hii Sgr ingekuwa imeshakamilika.
  4. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Legacy ya hayati JPM ni kwa Afrika nzima alikiwa mfano wa kuigwa kwa ajili ya Afrika. Angekuwepo taifa letu lisingepata mpasuko kama huu

    Nidhamu ya watumishi wa umma iliimalika. Wakafanya kazi kwa uadilifu na uzembe ukadhibitiwa. Wezi mali za umma kupitia miradi ya umma wakadhibitiwa. Mataifa yote ya Afrika yakatamani yawe na rais kama hayati JPM. Leo hii taifa letu lina mpasuko mkubwa. Ufisadi na nepotism linatajwa kuwa...
  5. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Wakati wa utawala wa hayati JPM usalama wa taifa ilikuwa idara makini. Taarifa zilitoka kwa wananchi. Ndio maana hayati JPM alifanya kazi kwa ufanisi

    Utawala wa hayati JPM ulifanya kazi kwa ufanisi na uliweza kuwaridhisha wananchi kuwa upo makini na ulijali maslahi ya wananchi. Idara ya usalama taifa ilikuwa karibu na wananchi. Ndio maana hata kama ni kero ndogo namna gani rais alikuwa na taarifa nayo kwa undani. Kero za wananchi...
  6. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Hayati JPM alisimama kidete deni la taifa lilikuwa himilivu. Utawala huu umefeli sasa deni la taifa ni tril 114 na sio himilivu

    Hii ni kwa sababu alidhibiti ufisadi na akahakikisha kuwq pesa na makusanyo yana kwenda kwenye mfuko wa taifa yaani consolidated fund. Kama rejesho kwa sasa ni 45% wakati kiwango kilichotakiwa ni 18% basi Watanganyika wana hali ngumu. Nasema Watanganyika kwa sababu Wazanzibari hawaumii...
  7. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Kama hayati JPM kwa miaka mitano alifanya makubwa taifa lake, je angekaa miaka kumi ingekuwaje? Angekuwepo Bandari ya Dar isingebinafishwa kwa Mwarabu

    Hili halipingiki hata kidogo nalipo dhahiri na wazi kabisa. Cha kwanza kabisa alihakikisha anakusanya fedha na fedha zitumzwe kwenye mfuko wa taifa ili mafisadi wasikwapue kama huko nyuma. Fedha za umma zilitumika ipasavyo bila ujanja ujanja. Miradi ya kimkakati ilisimamiwa ipasavyo Mfano Sgr...
  8. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Nakubaliana na John Heche hayati JPM alikuwa serious kudhibiti uzembe na ufisadi. Na ninaongezea asingethubutu kutembea na mtoto kama tunavyoshuhudia

    Naona wanaChadema wameanza kukubaliana na mimi juu namna hayati Magufuli alivyokuwa shujaa na mpambanaji kuzuia uzembe na ufisadi. Kwanza asingeweza kwenda Urusi na na mtoto wake au delegation kubwa namna ile na kuharibu pesa za Watanganyika.
  9. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Angekuwepo hayati JPM asingeruhusu waziri wake aaende Bungeni na mkoba wa mil 14 hata kama ni mkwe wake

    Wananchi wanahanhaika kupata hata maji safi, dawa na hata chakula tu. Alafu Waziri mwenye dhamana na wizara ya afya anaenda Bungeni na mkoba wenye thamani ya mil 14. Hayati Magufuli alikuwa na uchungu na wananchi wake. Asingekubali jambo kama hili.
  10. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Angekuwepo shujaa wa Afrika hayati JPM leo hii mradi wa SGR ungekuwa umekamilika hadi Mwanza. Hii ni kwa sababu alikuwa na uchungu maisha ya watu

    Leo hii Trc wanajinasibu kuwa shirika linajiendesha lenyewe bila kupata ruzuku toka serikalini. Hizi zote ni juhudi za Shujaaa wa Afrika. Alikuwa makini sana kusimamia pesa za umma. Kutandika reli na kuweka njia za umeme kama angekuwepo mradi ungekuwa umekamilika. Leo hii watu wangeweza...
  11. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Hayati JPM alikuwa kiongozi makini. Asingeweza kutamka hadharani habari ya kuchapa viboko Gen Z na wanawaharakati . Raia wa Kenya walimkubali sana

    Utatamkaje hadharani habari ya kuchapa viboko hadharani wanaharakati? Hiyo sio suluhu. Harakati dunia ya leo zinafanyika online. Kule Tunisia yalifanyika mapinduzi ya Facebook. Hayati alikubalika sana Kenya mpaka wakatamani awe rais wao. Dawa ya hawa wanaharakati ni kudhibiti ufisadi na...
  12. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Tatizo lilianza baada ya wanaCCM mtandao kudhania wakimuondoa hayati JPM watafanikisha mambo yao. Hali imewageukia vibaya na wanatawala kwa tabu

    Kama ilivyokuwa kwa Burkinafaso Blaise Compaore alidhania kumuua Thomas Sankara itaKuwa neema kwake kuwa atatawala kwa kujiachia na kula mali za umma anavyotaka. Naona hapa Tanzania hali ni mbaya sana kwa wanaCCM mtandao ambao wanahusishwa kumuondoa hayati JPM ambae alionekana kuwazibia mianya...
  13. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Angekuwepo shujaa wa Afrika hayati JPM leo taifa letu lisingekosa kama anavyohangaika Rais Samia sababu ya kukumbatia mafisadi

    Hayati Magufuli alikuwa smart hasa kwa kusimamia pesa za umma tangu akiwa Waziri mpaka anakuwa rais. Taifa lenye utajiri na rasilimali nyingi kama Tanzania sio la kukosa pesa za kujenga viwanja vya mpira likae vikao na na nchi kama Kenya ambayo haina uwezo hata wa kudhalisha mahindi ya ugali...
  14. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Hizi propaganda mnazoeneza kuwa Hayati JPM alikumbatia mafisadi ni upuuzi. Jibuni tuhuma zenu. Why DP world? Why Nepotism.?

    Msiwawafanye watanzania ni wajinga na wapuuzi. Kwa nini Dp World ambao ni waarabu wapewe kandarasi ya kuendesha bandari wakati uwezo tunao. Kama ni kupanua na kujenga angepewa mkandasi akajenga na kuweka miundombinu ya kisasa. Watanzania wakapewa utaalamu na kuendesha bandari yao. Kuhusu...
  15. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Je, Angekuwepo shujaa Afrika hayati JPM Angela Kiziga na Januari Makamba wangekuwepo uraiani?

    Kupitia mradi wa Mahindra Tec na ununuzi wa genereta kutoka Usa Januari Makamba alipiga bil 85 jumla. Huyu Angela Kiziga ndio alijichotea kabisa pesa za Watanganyika bil 60 bila hata kutoa jasho. Huku maafande wakivaa Khaki zilizopauka. Ufisadi kama huu hayati JPM asingeuvumilia. Utakumbukwa...
  16. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Yaliyotokea Oktoba 29 yasingetokea na kuichafua nchi yetu kama hayati Hayati Magufuli angekuwepo

    Alipingana na ufisadi. Upendeleo wa kifamilia na kisiasa. Hakuna aliyejua juu ya habari ya watoto wake na familia yake. Alipenda kusimamia nidhamu ya watumishi wa umma. Wananchi walimpenda maana alikuwa upande wao. Alikuwa pamoja na wananchi wanyonge. Hakuna raia wa kawaida angethubutu...
  17. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania Tarehe 29 Oktoba ni kumbukizi ya kuzaliwa Hayati JPM na ndiyo siku ya uchaguzi mwaka huu huku wananchi wakidai kuandama kupinga uchaguzi huo

    Wakuu kuna mambo nayaona kuelekea Oktoba 29 mwaka huu isiyo ya kawaida kabisa katika nchii tangu kizazi cha uhuru. Tarehe hii 29 Oktoba imebeba historia nzito sana kwa Taifa la Tanzania,inahusisha mambo makuu matatu ya kuogofya 1.Uchaguzi Mkuu wa Rais,Wabunge na Madiwani. 2. Kumbukizi ya...
  18. figganigga

    JamiiForums Tanzania GE2025 CHADEMA: Tumepata taarifa ya Tundu Lissu kutaka kupewa sumu

    TAARIFA KWA UMMA Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapenda kuujulisha umma kuwa kimepokea kwa mshtuko mkubwa taarifa zinazodai kuwa Mhe. Tundu Lissu, Mwenyekiti wa Chadema Taifa, kuna mipango ya kuwekewa sumu akiwa kizuizini. Taarifa hizi zimetolewa usiku huu wa leo, tarehe 02...
  19. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Ombi kwa Humphrey Polepole. Kwa kuwa unafahamu hujuma zote alizofanyiwa hayati Magufuli, ziweke wazi na uwataje waliomhujumu

    Nimesikia kwa umakini ukieleza namna hayati alivyokuwa akikueleza juu ya hujuma alizokuwa anafanyiwa. Ikiwemo ile ya watu kutaka kumchafua kuwa anataka kuongeza muda wa kukaa madarakani. Kwa mantiki hii ni wazi kuwa kuna hujuma nzito alifanyiwa na wewe unazijua. Tuweke wazi...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Hayati Jpm.

    Dah .... Nilimpenda sana sana Magufuli... Huyu kanisababishia niwe mfuatiliaji wa Habari sana hapa Tanzania... Kila siku nilikuwa natamani kusikia kitu kipya... Siku Giza lililopomkuta... Nakumbuka ... Nilikuwa nje kikazi... Mhhhh ... Ile nafika nyumbani saa sita usiku, kwa vile nilikula huko...
Back
Top Bottom