Sisi watumishi akili zetu zimekubali kuongozwa na maandiko.
Maandiko katika kutoka 21:10 inatoa list ya mahitaji ya muhimu kwa mke au mwanamke.
1: Chakula.
2: Mavazi.
3: Ngono.
Kabla hujajiandaa kupiga misamba na style mbalimbali za kumfaidi mwanamke wako hakidha kwanza unamlisha vizuri...
Nimesoma vitabu na kusikiliza hotumbq mbalimbali youtube na machapisho kadhaa ya uchumi binafsi ( personal economy) nimeona wote wanasisitiza mtu kuwa na EMMERGENCY Fund.
Hiki ni kiasi ambacho umekitunza kiko standby kwa lolote litakalokupata ghafla. Kama ni mfanyabiashara au muajiriwa ni kiasi...
Wasalaam.
Twende moja kwa moja.
1: Kuamini Mungu anatoa pesa/Mali wakati yeye hutoa nguvu ya kuzipata hizo pesa.
Kumbukumbu la Torati 8:18
Bali utamkumbuka BWANA, Mungu wako, maana ndiye akupaye nguvu za kupata utajiri;
2: Mtazamo wa kifikra(Mindset) wa kimasikini.
Mithali 23:7
Maana...
Inaonekana wametumia vidrone vya kawaida sana, picha zinazoonyeshwa ni kama zile drone za kwenye maharusi au wanazotumia kurekodia kwaya.
Pia nimeshangaa gazeti la Jerusalem post kuweka picha ya mashambulizi ya Gaza kuonyesha ndio picha ya shambulizi lake Iran.
Kuna matatu
1: Amewaogopa...
Moja ya tamaduni ya zamani kabisa ni ile ya kuongea mwenyewe. Siku hizi ukiongea mwenyewe unaonekana chizi, hii haikuzuii kuongea mwenyewe au kujiongelesha mwenyewe ukiwa faragha.
Ukisoma maandiko matakatifu sehemu nyingi hasa zaburi mwandishi anajiongelesha mwenyewe. Hata Mungu mwenyewe...
Hepuka ushauri na kujifunza kwa watu ambao wanafeli mfululizo na muda wote wanapambana kifedha bila mafanikio.
Jifunze kwa watu wanaofaulu kihalali, watu wambao wamejijengea mifumo yenye kuleta ufaulu hata kama hawajasoma. Jifunze nidhamu zao, lugha zao za mwili, namna wanavyoendesha mambo...
Wasalaam.
Mahubiri mengi kwa hawa mitume na manabii wa kisasa yamejaa uchonganishi, manipulation, saikolojia na neno kidogo. Mengine yote sinashida nayo shida ni hii ambayo pia hata waganga huwa wanafanya. Uchonganishi.
Yaani mtu anaenda kuombewa, muombewaji anaaminishwa kalogwa, mlogwaji...
Kabla chochote hakijafanyika wanaambiana.
Hapa Iran anadai US anaomba Iran ijifanye kama inapigwa ili Israel ionekane iko vizuri au imejibu.
Dunia ilipofika. Wawakilishi wa Iran, Russia, Ukraine, Israel, US na Ulaya wanaweza kukaa kikao sehemu mafichoni huku wanatrigger mambo duniani na media...
Pesa inayokutajirisha ni ile inayogeuka kama chambo ya kunasa pesa zaidi.
Kuna mambo unayotakiwa kuyadhibiti kabla hujakurupukia ndoto za utajiri. Mambo ambayo yatakusababisha kila kinachoingia kiingie ili kilete pesa zaidi
1: Chakula
Hakikisha una mfumo imara wa kula tena kula vizuri...
Kwa mashambulizi ya jana na usiku huu waliyofanya Iran kwa Israel tutegemee Israel kujibu. Tishio ni kubwa kiasi kwamba "Doomsday Plane" ya Israel imeonekana ikipaa ikidhaniwa ni viongozi wanahama nchi. Ni kubwa kiasi kwamba inasemekana Netanyahu amehama Ikulu na kukimbilia kwenye jumba kubwa la...
Tofauti yako na yule ambaye unaona anamfaidi Mungu na nguvu zake iko kichwani na kinywani mwako.
Wote ambao akilini mwao wanaamini katika ufinyu na uhafifu wa uwezo wa Mungu watafaidi uhafifu na ufinyu huo.
Wale wanaoamini katika na kusadiki kabisa kuwa kwao Mungu ananguvu na uweza wote kuliko...
Mtu mvivu, legevu, asiyejali muda na mwenye maneno mengi kuliko vitendo Mungu hampendi na shetani hampendi. Waliomstari wa mbele (frontliners) kwa Mungu na kwa Ibirisi huwezi kukuta mtu mvivu asiyejali na mzembemzembe.
Hakuna nabii wa uongo mvivu asiye risk taker. Wako smart, wanaamka mapema...
Hili wazo niliwahi kusikia speech moja ya hayati Nyerere. Kabla ya Ukoloni lilikuwa ni kabila moja ambalo liliambaa Rwanda hadi Congo.
Kama Arizona iliwahi kuwekewa mipaka katikati na nusu ya waarizona wakawa US na wengine wako Mexico. Kama Wamasai wako Kenya na TZ, Wakurya wako Kenya na Tz...
Mambo yanaenda kasi sana.
Ujuzi ndio kila kitu.
1: Dogo wa kwanza anatengemeza Website, Apps, Systems, na projects zake kama akipata connections ninza mamillioni. Kama haitoshi huwa anawafanyia projects wanafunzi wa mwaka wa mwisgo wa chuo. Huyu anajituma sana, huwa anaingia maktaba ya taifa...
Kilele cha kila matukio ya sherehe za kidini ni matukio ambayo moja kwa moja au kwa kinyumenyume yanahamasisha dhambi kwa wahusika na wasiohusika.
Sikukuu za kikristo ambazo hazina baraka (endorsement) za Kristo huitimishwa na ongezeko la zinaa, matumizi ya anasa ya fedha, ulevi, ulafi, ajali...
Kama kuna hatari unaweza kumsababishia ndugu, rafiki, kiongozi au yeyote unayemuhusudu ni kumsifia na kumtegemea kupitiliza.
Mungu mwenye wivu huwa anawasaidia wanadamu wanaowategemea kupitiliza wenzao tena kuwapa sifa kinafiki au kihalali kwa kuwapumzisha makaburini mapema wategemewa hao.
Hii...
Kuna uhusiano mkubwa kati ya dhuruma na upole wa kimasikini.
Masikini mtata huwa anapunguza uwezekano wa kuonewa na Matajiri. I
Yanga kama hayati Magufuli ilitakiwa walete taharuki. Wagomee match wazue balaa ambalo litaleta attention ya FIFA na dunia nzima. Wamefanya kosa baya sana kukubali...
Tabia ya watu kuingia uwanjani bure kuangalia Match ambayo walipaswa kulipia ni kuhamasisha uvivu wa kitaifa.
Mentality za ubure ni mentality za kuhamasisha umasikini. Watu wazoezwe kuwajibikia na kughalimikia burudani zao.
Ni hilo tu
Kwa Mujibu wa Mungu, Kile mtu ambacho atafanikiwa kukiwaza anauwezo wa kukifanya.
"Awazavyo mtu moyoni mwake ndivyo alivyo".
Sababu ya Mwenyezi Mungu kushuka kuchafua Lugha kwenye mnara wa Babeli ni mawazo ya wale watu. Yeye aliona huo mnara umeshajengwa hata kabla hawajaanza.
Watu wengi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.