ukaribu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Hakuna njia yoyote nyingine ya kumtengeneza mtoto bora zaidi ya ukaribu na mtoto ila ule ukaribu ambao sio wamazoea bali ule uitwao SECURE ATTACHMENT.

    Hakuna kitakachoweza kumuangusha mtoto ambae anapitia misingi muhimu inayompelekea awe mwenye afya nzuri ya kihisia, anayejiamini, anayeweza kujenga mahusiano mazuri na wengine na anayejifunza kudhibiti hisia zake. Haya yote hayaji kwa mtoto kama muujiza, haya yanatengenezwa na ukaribu wewe...
  2. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Simu inanipotezea muda, Wewe Umewezaje kudhibiti matumizi?

    Ndugu zangu leo naomba mawazo yenu maana imekuwa almost impossible kwangu kuweka simu chini hasa nipatapo free time. Huwa na panga kitu fulani lakini unakuta nasema ngoja nichukue labda dk10 ni cheki yanayo jiri mitandaoni ila hizo dk 10 zina geuka kuwa hadi lisaa, na hiyo huwa ni baada ya...
  3. PROFOUND NOTION

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Hawa ndio kuku na mayai yao tunalisha familia zetu. Nawaonea wivu watu wa mikoani kuwa na access na kuku wa kienyeji kila kona na kwa ukaribu

  4. Think2

    JamiiForums Tanzania Gerson msigwa :Serikali haiwalipi mastaa kuja Tanzania wanakuja kutokana na ukaribu na mheshiwa waziri Makonda

    Msigwa wadanganye watoto wako tu star mkubwa wa ball duniani aje bure ajilipie gharama zote za passport kuja tanzania kisa ameitwa na Makonda? Usikute hata ulaya hawamjui msukuma Makonda 😂 😂 na hilo trako lake kubwa 😂 Tusifiche ukweli tuwambie watanzania pesa zao za kodi wanalipwa hawa mastaa...
  5. Guru Master

    JamiiForums Tanzania Nilivyomuona Yesu nachanganyikiwa, nashindwa kuelezea, lakini leo ngoja niseme liwalo na liwe

    Nimekuwa nikifanya tafakari sana za juu ya suala la Yesu. Nimefunguka pakubwa sana sina shaka hata kidogo juu ya Uana wa Mungu wa Yesu. Wengi wanapomfikiria Yesu wanajenga kichwani hisia za Picha na Sanamu za Mzungu flani hivi wa Ulaya au Marekani. Yesu hakuwa mzungu. Kihistoria na...
  6. Mikopo Consultant

    JamiiForums Tanzania Uso wenye nuru ni ishara ya ukaribu kwa Mungu; uso uliopoteza nuru ni ya kuwa mbali na Mungu!

    Mawazo haya nimeyatoa kwenye Biblia: Kutoka 34: 29-35. Musa alivyoshuka mlima wa Sinai, alipokuwa anafanya agano na Mungu, Haruni na wana wa Israel waliona ngozi ya uso wa Musa ikiwa inang'aa sana (japo Musa alikuwa hajui kama uso wake unang'aa na una nuru kali). Na walipoona hivo, waliogopa...
  7. MBOKA NA BISO

    JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania, siyo watu wa kujenga ukaribu nao

    Ni mhimu kujifunza hili ; POLISI SIO JAMAA YAKO kama umewahi kuambiwa polisi ni mtanzania mwenzako nadhani afya yako ya akili haipo sawa nenda kapimwe mkojo. Ipo hivi, Polisi kabla ya kuwa POLISI lazima abadilishwe akili yake na kuwa kama Mbwa yani kule wanapopata mafunzo hubadilishiwa ubongo...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ukaribu wa Mwamposa na Rais Samia, sioni ajabu washarika wa Mwamposa kupewa oda ya kufika kwenye kampeni za Mama

    Ukweli ni kuwa, bila kuokoteza watu kiujaujanja, kampeni za CCM tenu hii, lazima ziwe kituko Kuna akina sisi mpaka tutapiga pesa ili tu tukajaze kampeni zaohalafu kula hatupigi Kuna wale machinga wa kariakoo lazima waende ili tu kulinda maeneo yao, cha ajabu uchaguzi ukiisha, mgambo wapo...
  9. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kwa nini hii Israel ya Sasa inaonekana kufanikiwa kuliko Israel za zamani ambazo hazikuwa na ukaribu na wazungu isipokuwa Mungu tu?

    Tangu kuwepo KWA Taifa hilo limekuwa ni taifa la kuonewa sana. Kipindi lilichokaa KWA amani ni wakati wa Mfalme Suleiman tu. Sababu za kufanikiwa kwao ni ukaribu wao na Mungu wao, sababu za kufeli kwao ilikuwa ni umbali wao na Mungu wao. Mfano Waliteswa na Wafilisti Walikuwa watumwa wa Wairaq...
  10. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Derby ya kariakoo serikali imewaachia mamlaka za mpira, huku ikifuatilia Kwa ukaribu mvutano uliopo

    Mbunge wa Jimbo la Makete (CCM) Festo Sanga ameitaka serikali kutoa kauli kuhusu mvutano unaoendelea kuhusu Dabi ya Kariakoo inayohusisha klabu za Simba na Yanga. Akijibu swali hilo Jumatano Juni 11,2025 Bungeni Jijini Dodoma Naibu Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma amesema...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo ukaribu wa Mshindi Leonardo na Ommy Dimpoz, Injinia Hersi Said pamoja na GSM ndiyo Kigezo Kikuu cha Yeye Kushinda Tuzo leo Masaki?

    Nikiwa kama Mdau ninayejitegemea wa Uchekeshaji na Mtaalam pia Leonardo siyo Mchekeshaji bali ni Mbahatishaji tu!!!!
  12. kyagata

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna haja yoyote ya kuwa na ukaribu na ndugu wa mke?

    Mambo vipi watu wa Mungu? Ebana nilikua nauliza,hivi kuna tija au ulazima wowote wa kuwa karibu na ndugu wa mke? Asanteni
  13. Jack Daniel

    JamiiForums Tanzania Ishi kistaarabu ukiwa ugenini,dumisha mahusiano ya undugu au ukaribu wenu

    Hello jamiiforums Hakuna ambaye hajawahi kupokea ugeni,hakuna ambaye hajawahi kuwa mgeni wa mtu,safari zipo iwe kikazi misiba ,sherehe au kuamua kutembelea ndugu zako hususani mwishoni mwa mwaka. Unaweza ukawa na shughuli fulani mkoani,ama utoke mkoani uje Jiji hili la Dar es salaam,ukawaambia...
  14. matunduizi

    JamiiForums Tanzania kwanini nchi zenye ukaribu na US/wazungu zinafanikiwa kiuchumi kuliko zile neutral au zenye ukaribu na Russia/China au Warabu

    Mfano Korea Kusini Taiwan Kwa East Africa Kenya. Israel middle east Rwanda (japo bado anaungaunga) Kimsingi nimejaribu kuangalia kwa ukaribu hata nchi yetu tukiamua kuqnzia sasa tufungamane bega kwa bega na wazungu tu na US, tukawapiga chini waarabu, wachina, warusi tunaweza kutoboa kirahisi...
  15. Right Marker

    JamiiForums Tanzania Usiruhusu ukaribu uliopitiliza kati ya mwenza wako na marafiki zako (mashemeji)

    Mhadhara wa 27: Ukaribu uliopitiliza kati ya Mwenza wako na marafiki zako ni hatari sana. Ukaribu wa marafiki zako kwa Mwenza wako ukipitiliza mambo huwa hivi. 1. Leo wanaitana "shemeji" 2. Kesho wataitana "shemu" 3. Keshokutwa wataitana "meji" 4. Mtondogoo wataitana "shemu darling" 5...
  16. Mkenye Mkuu

    JamiiForums Tanzania Uzi kwa ajili ya mtu uliyempenda na bado unampenda lakini aliondoka ghafla katika ukaribu wenu

    Habari wanaJF, Naamini kwa idadi kubwa ya watu wa humu, kunaye mtu uliyewahi kumpenda na pia bado unampenda lakini kuna mambo yalitokea hadi hivi sasa haupo karibu nae au haupo nae katika mahusiano. Je, unamkumbuka ni nani na kilitokea nini hadi hali kama hiyo ikatokea ilhali bado unampenda...
  17. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Kwanini CCM na Vyama vya Upinzani havina urafiki sana na Urusi ,je tuna viongozi vibaraka wa mabeberu ?

    Urusi ndiye rafiki wa kweli wa Afrika Alipambana pamoja na Afrika kipindi cha Ukoloni Alilia pamoja na Afrika mashujaa wetu walipouawa na mabeberu Mpaka sasa bado anakwenda tofauti na mabeberu wanaponyonya Afrika Najiuliza zile nchi zilizotutawala na kutunyonya ndiyo marafiki wakubwa wa...
  18. Chaka la wakubwa

    JamiiForums Tanzania Unaweza kuruhusu ex wako awe na mazoea ya ukaribu na mpenzi wako

    Bhana me niliachana na dada mmoja alikuwa mzinguaji sana yaani alizingua alikuwa amezoeana na masela zangu akaanza ushem shem si wakataka kummega akakubali nikamuacha. Sasa nkapata pisi moja hiyo nimeanza nayo mahusiano ex wangu akaanza kumzoea si wakawa marafiki ndo akaanza mazoea nae wakawa...
  19. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Kwanini Yesu Kristo hakuoa, hakuwa na mwanafunzi wa kike, pia Yesu hakuwa na ukaribu wala urafiki na wanawake? Kuna nini nyuma ya pazia ?

    Shalom, Habari kwenu nyote wadau wa jukwaa hili, nimekuwa nikijiuliza sana haya maswali kwanini Yesu hakuoa, Kwanini Yesu hakuwa na mwanafunzi wa kike, kwanini Yesu pia hakuwa na ukaribu wala urafiki na wanawake? Hili fumbo linatupatia Mtihani gani ? Tusaidiane kufikiria, karibu kwa rejea...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Wanaume tujifunze kujenga ukaribu mkubwa zaidi na familia zetu

    Asalaam, Natumaini wote mpo salama na poleni na mihangaiko yote ya week nzima. Niende direct kwenye mada yangu, Ndugu zangu wanaume kiukweli kabisa tunajisahau sana kwenye kuweka ukaribu mkubwa na familia zetu kipindi tupo kwenye peak ya mafanikio au maendeleo makubwa zaidi kwenye maisha yetu...
Back
Top Bottom