Ukisikia viongozi weusi utaona wanatajwa sana Mandela, Nkrumah, Lumumba et al. Nyerere unakuta si maarufu sana kwenye majukwaa ya kimataifa, lakini kuna kiongozi kaipambania Africa kumzidi Nyerere?
Hospitali ya Nyerere Angola.
Haiwezekani na haiingii akilini iweje mtu mweusi asiabudu Mungu wake kama ilivyo jamii zingine Duniani zilivyozaliwa Hadi awe Anaabudu Mungu wa Wazungu,Mungu wa Wayahudi na Mungu wa Waarabu?
Binafsi Sina huo ujinga wa kuabudh kina Mungu wa jamii zingine ni utumwa wa kifikra na kutojitambua...
Ni kwa sababu hii ni dunia ya mwenye nguvu na mamlaka, kwa maana hata machifu/watemi waliokuwa na nguvu na mamlaka kuliko babu zetu ndio waliowakamata babu zetu na kuwauza kwa wazungu na waarabu kama kuku.
Familia za wazamiaji wengi kutoka west africa walibaki na maswali kuhusu ukimya mkali wa ndugu zao walio waaga kwenda kutafuta maisha ughaibuni kwa kupitia njia za north africa.
Miaka ilipita na ukimya mkali, wanafamilia walidhani wamefariki au pengine kukamatwa na makosa mbali mbali...
1. Unakuta mnyamwezi au Muha anaomba Bismillah, salamaleko alhamudilalah hicho kiarabu na hajui maana yake,
Hivi ukisema Asante Mungu utakufa?
2. Mgogo au Mluguru na kipiripiri chake eti anafuga ndevu ili awe kama mwarabu?
Hajui waarabu wao wameubwa na ndevu nyingi hata wakifuga ndevu...
Watafiti wanadai hii inatokana na mazingira duni "darkie" anapitia. Nigger anasavaivu shida na dhiki anavyokua. Na akizikamata anatafuta attention kwa fujo, dhihaka na madharau.
Inasikitisha sana
Nimepita Kawe hapa, aiseee wanachi wanapigwa na jua mpka huruma, na bado wana hongwa baiskeli na nyama za ng'ombe.
Ila wanasiasa wanabagaza, na kubananga kodi za wananchi kwa kununua magari makali , na kuishi maisha ya starehe, mbaya zaidi pesa zingine wamezificha huko nchi...
Ndugu Byabato usiendelee na hizo dharau za kusema unaweza kuwachagulia wananchi wa Bukoba mjini Mbunge .
Kuwa makini Sana wala usithubutu kuingia katika huo mtego wa kushindana na Mwenyekiti wa chama na kamati kuu waliokukata.
Akihojiwa na MaxMedia aliyekuwa msanii maarufu wa bongo flavour Dudu Baya anajutia kuzaliwa mtu mweusi. Kauli Yake.
I hate blacks. Mimi najuta kuzaliwa jitu jeusi. Nachukia sana majitu meusi. Yani jitu jeusi kugewa hela kamuue max ni jambo la kawaida halafu wazungu wamekaa wanachekelea. We are...
Uzi huu natamani hata usomwe na mtu mmoja tu ntafurahi,
Ilimradi mtu huyo mmoja spare ufahamu juu ya ukweli juu ya Baraka alizokirimiwa mtu MWEUSI na namna mtu mweus alivyo ongelewa kwa uzuri ktk biblia .
Kuanzia sa nne naanza kupost taratibu, Sasa uuonapo Uzi huu comment kitu chochote ili...
Sababu ya kumzaa mtoto ni ili umsaidie ikiwezekana hadi uzee wake.
Ni utegevu kutafuta watoto ili waje wakusaidie. Kabla haujapanga kupata mtoto weka na mikakati ya kumsaidia hadi mwisho.
Muandalie mifumo, urithi wa kutosha ikiwezekana hadi wa wajukuu wako ( watoto wake).
Hivi ndivyo vitabu...
Mara ooh "dawa ya ukimwi ipo sema tu anataka tuendelee kufa ili waje waichukue Africa"
Mara ooh "hizi chanjo tunazochanjwa ndio zinatufanya kuendelea kudaa akili na tusiweze kuwafikia wao"
Mara ooh "mzungu ndio anaesababisha vita ili waingilie kati wachukue vito na rasilimali"
Saw hadi siku...
Japo watu weusi tuna matatizo mengi sana na ye kipekee tofauti na races lakini sio jambo jema kujidharau kama watu weusi, sio vyema kudharau hali yetu kutokana na weusi tu, sio sawa kujiona duni na dhalili na vituko mbele ya jamii nyingine zilizoendelea.
Mwaka 2025 uwe ni mwaka wa kujikubali...
Chama Chadema kuna watu waliokosa maono .
Tundu lissu , yupo sahihi kutokubali kukichangia hiki chama I agree with him.
Mimi nachojua life is about priority Maisha ni swala la vipaumbele zaidi .
Kulikuwa kuna haja gani ya kununua jengo la billion 1.6 wakati tunashindwa kugharamikia uchaguzi...
Kwanza kabisa poleni na pilika za mwisho wa mwaka, mambo yamekuwa mengi ajali, magonjwa na kila aina ya ubaya unaotulenga sisi binadamu.
Tuwe na mwisho mwema.
Hili suala la uhuru kiukweli mimi sioni kama ni uhuru wenye haki na kufuatwa kwa misingi ya katiba kama inavyoagiza.
Kama haitoshi...
Msikilize hapa aliyewahi kuwa Waziri wa ardhi JMT
Ni kwamba watu weusi hatukujifunza kabisa kuwa ukoloni, utumwa na kutawaliana kimabavu kuwa ni kitu kibaya.
Kumbe wazungu na waarabu walikuwa sahihi sana kututawala kimabavu na kutukamata watumwa na kuuza sokoni kama mbuzi sasa nimeelewa kuwa...
Sisi watu tuna akili ndogo.
Kwa nini hawa wakoloni hawakulazimisha elimu kwa jamii yetu lakini wakalazimisha dini? Kwa malengo gani hasa tuzidi kuwa wapumbavu?
Mwafrika mweusi mwenzangu namuona takataka kwa sababu hayupo upande wangu wa kiimani hawa wakoloni walitutaka nini hasa sisi waafrika...
Mungu sio mbaguzi kiasi icho haiwezekani mitume na manabii wote Mungu alio watuma wawe rangi nyeupe hizo ni fix.
Mungu alimtuma yesu kama kiwakilishi kwa watu weusi kwamba hatuja hachwa nyuma tukapewa mwakilishi wetu.
Kwanini wapindishe ukweli huu mchungu lengo na madhumuni yao ni nini?
Sipo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.