matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 6,603
- 15,404
Hili wazo niliwahi kusikia speech moja ya hayati Nyerere. Kabla ya Ukoloni lilikuwa ni kabila moja ambalo liliambaa Rwanda hadi Congo.
Kama Arizona iliwahi kuwekewa mipaka katikati na nusu ya waarizona wakawa US na wengine wako Mexico. Kama Wamasai wako Kenya na TZ, Wakurya wako Kenya na Tz, Wajaruo wako Kenya, Tanzania, Uganda na South sudan, Wamakonde wako kote na makabila mengi duniani.
Kwanini wenzetu hawa watutsi ambao kiasiri wamekuwepo huko mashariki mwa Congo, Rwanda na Burundi imekuwa ni tatizo?. Kwa nini wasitambuliwe kama makabila mengine ambayo yanapatokana nchi mbili.
Wajuvu mtujuze zaidi..