uvivu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. greater than

    JamiiForums Tanzania Mkoa/Wilaya gani watu wake wanaongoza kwa uvivu...?

    Kuna msemo unaosema "Kazi ni kipimo cha utu",lakini dah,kuna mikoa wenyeji wake ni wavivu . Pwani-wilaya ya Chalinze Dodoma na Unguja. Hizi sehemu tatu mimi zilibaki kunishangaza kwa kiwango cha uvivu nilichokiona Ni mkoa/wilaya gani uliwahi kwenda ukakutana na wenyeji wavivu...?
  2. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Mwanaume wa sasa Bongo ukiwa huna kazi na biashara imefeli utashambuliwa kwa uvivu na maneno makali na nchi nzima

    Mazungumzo ya wachungaji, mashehe, wanasiasa ni kana kwamba mwanaume kukoswa pesa ni jambo la kujitakia na uzembe. Mtu wa namna hii hupuuzwa na kushambuliwa kama ni mvivu hata kama ni kipindi cha mpito anapitia. Hii tabia inawaweka wanaume wenye changamoto za kiuchumi katika hali ngumu sana...
  3. Think2

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wasanii fanyeni kazi msitusumbue wananchi tuko bize kulikomboa taifa

    Kipindi cha kampeni wasanii wote mlikuwa upande wa CCM mkaanza kutukana wananchi eti tunalalamika sana tufanye kazi. Baada ya uchafuzi wa 29 kuisha wameanza kutia huruma et nendeni youtube tukasikilize ushuzi, machawa Pro max, show za ndani zimebuma na bado wananchi hatutasiliza nyimbo zenu...
  4. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Inasemekana wachezaji hawa Yanga wameanza kushindikana mapema, uvivu

    I salute you kinsmen Wakuu za chini ya kapeti ni kuwa kuna baadhi ha wachezaji wa team yetu wamekuwa hawatoi ushirikiano kwa asilimia mia na kuwa wavivu wakubwa kazini kwao. Ndio maana hatushangai sana kuwa hawapangwi kabisa 1️⃣Balla mussa Conte 2️⃣Lassine kouma Hawa jamaa inasemekana...
  5. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuache uvivu na wivu

    1. Tupunguze ujuaji na wivu kwa waliofanikiwa (wakiwemo Wafanyabiashara na viongozi wetu). 2. Tufanye kazi kwa bidii. Tulipe Kodi bila shuruti. Tutafanikiwa. #OktobaTunatiki. NB: Viongozi wetu wakifanikiwa tunajaa jazba, why?
  6. CHAGOSI GERALD

    JamiiForums Tanzania 🌹Pamoja na kujua unasell labour lakini bado unaisell for cheap! Are you cheap labour? Lakini ni uvivu wa kulima tu!

    MSOMI: MASHINE YA KIWANDA AU ROHO INAYOKIMBA? Huyu msomi! Huyu anayejivunia degree yake, akajilaumu kwa mshahara wa laki tano! Je, tuseme kweli: yeye si kiumbe, yeye ni mashine iliyotengenezwa na mfumo, iliyopachikwa akili ya urobot, imewekwa kwenye mtandao wa minyororo isiyoonekana, ili...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia awatolea uvivu waliokebehi kifo cha Ndugai. Asema "Sisi tuko wengi kuliko nyinyi"

    Spika Tulia amesema Wanaomuunga mkono Rais Samia ni Wengi kuliko wale wanaompinga hivyo Asiogope Spika Tulia amesema hayo wakati akitoa salamu za Bunge kwenye misa ya msiba wa Ndugai Aidha Tulia amewataka Watanzania kuacha kuwasema vibaya viongozi wanapofariki Kwani kuwasema vibaya marehemu ni...
  8. Think2

    JamiiForums Tanzania Uvivu wakulima tu😂

    Uzi tayari
  9. 05CUBA

    JamiiForums Tanzania Nakwazika mtu kila mkikutana anaomba buku 5 akatoe Lock

    Kuna wale jamaa hela alizotafuta yeye ni zakufanyia maendeleo ila ulizotafuta wewe anachukulia kama ni zakunywea pombe. MNASHINDA MAZINGIRA YENYE FURSA SAWA KWENU, NA AU MDA MWINGINE YEYE MDA WOTE YUPO KIJIWEN ANAPIGA STORY Ila kila mkikutana anakwambia "nipe buku5 nikatoe lock HUWA WANANIPA...
  10. Soul21

    JamiiForums Tanzania Uvivu Wa kutafuta maudhui kwa media zetu za mtandaoni utapoteza historia yetu Tanzania

    Picha: Pinterest Mtanzania lazima ufahamu kuwa Kila kitu unachokiona au kusikia kupitia media huathiri ubongo wako, na kwa hivyo utu wako. Kwani taarifa tunazopokea kupitia media zina athari kubwa kwenye fikra zetu, na hisia. Hivi karibu nimeona media zikipa kipaumbele habari za local...
  11. W

    JamiiForums Tanzania Ni kwa nini Waafrika wamejizolea umaarufu kwenye sifa mbaya kama wivu, fitna, kusalitiana, tamaa, rushwa, uvivu, uchawi, uzinzi na umaskini ?

    (i) wivu/husda/fitna (ii) kusalitiana/kuuzana (iii) tamaa/rushwa (iv) uvivu (v) uchawi (vi) umaskini vii) uzinzi viii) kukwepa uwajibikaji kwa kupenda kuhamisha lawama
  12. K

    JamiiForums Tanzania Inawezekana tatizo la Samia ni uvivu tu !

    Nimeanza kumuelewa Mama Samia kwanini Samia wa 2021-2022 ni tofauti na huyu wa 2026 jibu . Kiuhalisia Mama ni type ya watu ambao wakiwa focus ni wafanisi wazuri lakini wamezaliwa wavivu tu. Sasa wakati ule alikuwa anachukulia kazi ya Uraisi kwa umakini sana na alikuwa makini. Kuanzia 2024 uvivu...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Wachambuzi wa bongo ni kukosa akili au ni uvivu wa kufanya utafiti?

    Nimeona wengi wakiizungumzia mechi ya Simba na Stellenbosch kwamba Simba awe makini kwani siyo kama alivyokutana na Almasry. Sababu ni kwamba wapinzani wa sasa wa Simba wamemtoa Zamalek! Ni napenda niwaulize hao wachambuzi,Je walichukua muda wao kutafiti matokeo ya hivi karibuni kati ya...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Open University of Tanzania (Chuo Kikuu Huria): Supervisors wafanye kazi zao waache uvivu na dharau kwa wanafunzi

    Kama wamekubali kuchukua ada zetumbon awnatudharau kiasi hiki. Ukiwa mwanafaunzi pale OPEN ndiyo utaona ada yako haina thamani kabisa na moja ya kitu najilaumu ni kuijiunga na hiki chuo. Kwa idadi ngo tuliyoko pale chuo ila vitu vinaendeshwa utafikiri pale ni UDOM au UDSM, halafu kwa makusudi...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Mtume Boniphace Mwamposa, Uvivu utawaangamiza Watanzania

    Sehemu muhimu ya mahubiri ya Leo Jumapili: - . Watanzania wengi ni maskini, sio kwakua hawana Maarifa au hawakusoma, ila ni kwa sababu ya UVIVU wa kufikiri na kutenda. Siasa ya ujamaa tuliyoletewa baada ya uhuru, haikuwa mbaya, ila haikuwekewa kanuni na Sheria bora za kuiongoza. Kana kwamba...
  16. ngara23

    JamiiForums Tanzania Singida Black Stars wamtolea uvivu coach Aussems na Crown FM Kwa kupotosha habari

    Singida BS wamesema kocha wao aliondolewa kikosini kwakuwa hakuwa na sifa za kukaa kwenye bench kutokana na kanuni na matakwa ya bodi ya ligi na TFF wala sio eti Kwa sababu alipanga kikosi kilichoipa upinzani Yanga Singida BS wameongeza kuwa coach Aussems alipenda maisha ya Anasa ya kula bata...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Aziz Ki kumuoa Hamisa: Mama yake mzazi amtolea Uvivu Rais wa Yanga SC Injinia Hersi kuacha kuwa na kimbelembele

    Mama wa Mshambuliaji wa Yanga Stephanie Aziz Ki "Sanata Ki" amemvaa rais wa Yanga Eng Hersi Said kwa kusimama kama mwakilishi wa familia kwenye maandalizi ya harusi ya mtoto wake bila yeye kushirikishwa. Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika kuwa "Hersi ngoja nikuambie kitu, wewe si mtu...
  18. G

    JamiiForums Tanzania Mawazo ya ndugu kujiona entitled ni lazima wasaidiwe na waliofanikiwa husababisha kuridhika, uvivu, umasikini zaidi. Nazipongeza jamii zenye mipaka.

    Ni tabia iliyo kwenye default settings kwa baadhi ya watu kwamba ndugu akifanikiwa basi ni lazima wasaidiwe mpaka kiama. Yani kinyume na hapo hata ukipunguza msaada aidha kwa matatizo yako ya kifamilia, marejesho ya mkopo, n.k. kelele zinaanza anajitenga, anaringa, mke wake kamnunulia gari...
  19. Surya

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hasa Vijana acheni uvivu, Njia ya mafanikio..

    We talk about Gift. au Talanta kila Mtu anayo ya kwake... Kwahiyo unatakiwa ujue Elimu sio Ufunguo wa Maisha, Kwa sasa ukija duniani na jambo la kifundishwa darasani hupati kazi, wasomi wa syllabus ni wengi sana. Sasa mbinu ya kujikwamua ni hii... Angalia wewe unaweza sana Kitu gani, alafu...
  20. O

    JamiiForums Tanzania Msione uvivu kuhesabu fedha mnazolipwa na ‘Teller’ wa benki

    Hivi karibuni mara kadhaa ninavyokuwa napokea pesa nyingi kutoka Bank (zile ambazo sio sealed) nikifika ofisini nakuta kuna pisi zinakua zinapungua Mwanzo nilikuwa nikipata changamoto hii kwenye bundles za 10,000 na 5,000 ila karibuni hata hizi za 2,000 na 1,000 Rai yangu kwenu mnaopokea pesa...
Back
Top Bottom