Hiki kitu wamepewa wanadamu wote wanaomuamini na kutomuamini Mungu, ila waafrika hasa Tanzania hatuoendi kukitumia

matunduizi

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
6,587
15,371
Kwa Mujibu wa Mungu, Kile mtu ambacho atafanikiwa kukiwaza anauwezo wa kukifanya.

"Awazavyo mtu moyoni mwake ndivyo alivyo".

Sababu ya Mwenyezi Mungu kushuka kuchafua Lugha kwenye mnara wa Babeli ni mawazo ya wale watu. Yeye aliona huo mnara umeshajengwa hata kabla hawajaanza.

Watu wengi wanawaza mambo makubwa na kuishia kuwaza, bila kujua mawazo walioyoyawaza yanaendana na kimo na uwezo wao wa kutafanya yawe halisi.

Siku ya mwisho watu wengi watahukumiwa kwa kosa la kutotenda kile qmbacho walikiwaza na kutumia nguvu walizopewa kukitekeleza.

Tumia Muda mwingi kutekeleza unavyoviwaza, tumia Muda mwingi kuongeza upeo wako wa kuwaza. Kifaa pekee kinachoweza kukusaidia kutanua upeo wako wa kuwaza ni Biblia. Kuwa na ratiba ya kutafqkqri maneno ya biblia.

Ni hayo tu.
 
Tatizo twiga kama alama ya taifa. Atleast tungekuwa na picha ya simba au chui au hata tai ingekuwa poa sana af kingine lile li moshi la kibatari mwenge limetuathiri sana kwa kulivuta hadi limetengeneza utando kwenye medulla za wanakusadikika wengi . JUST JOKES.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom