mashaka

Doto Mashaka Biteko (born December 30, 1978) is a Tanzanian politician and a member of the Chama Cha Mapinduzi political party. He was elected MP representing Bukombe in 2015.He was appointed as the Minister of Minerals on 9 January 2019.

View More On Wikipedia.org
  1. Bichwa ndani ya dryer

    JamiiForums Tanzania AI inanifanya niwe na mashaka na umahiri wa wataalamu wetu wanaohitimu .

    Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza napata mashaka hivi hawa wataalamu wetu katika nyanja mbali mbali kama vile Afya, uhandisi ,ualimu na nyinginezo ,je ni kweli wanaohitimu Kwa uwezo binafsi au kupitia matumizi ya AI Ukizingatia kwasasa vifaa vya kuibia kama vile simu ,miwani na nyenzo...
  2. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Hoja za Dudu baya zinashinda gani? Kwanini walengwa hawapeleki mashaka yao polisi?

    Kila nikijifikiria issue ya Dudu baya, naona kabisa ni yuko sahihi Maana washtakiwa wote wanaishia kuomba radhi na kutaka yaishe Ila serekali inaingilia kati, hasa hawa basata kama wa kina nani wakati wahusika na wanaozushiwa chakula hawasemi lolote? Hii inathibitisha kuwa jamaa anapiga...
  3. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati mko wapi mbona hamsemi chochote? Upo wapi uhuru wa Vyombo vya habari? Mnatupa mashaka.

  4. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Hivi huyu ni AI au ni mtu halisi nimekua na mashaka sana, anaitwa africanafai Instagram halllooooo chombo mzeer

    Ni mwanamziki, inasemekana ni mkenya picha zake zinanichanganya sana, aseee chombo kweli mtoto Yuko stand, mpaka naogopa nahisi ni AI
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nina mashaka na mfumo wa kuhakiki bidhaa original kwa kuscan stika za TRA, mchakachuaji hawezi kuprinti stika na kuibandika kwenye bidhaa feki ?

    Chukulia mfano, mchakachuaji ana kiwanda bubu cha kutengeneza pombe feki. Je hawezi kwenda dukani kununua chupa original au na kubandua hio stika kisha kumpa mtaalamu wa mambo ya printing amtengenezee stika hata 1000 ? Mteja kabla hajalipia bidhaa anascan QR code, kitu kinasoma freshi tu kumbe...
  6. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Well done JWTZ kwa kuwaondolea wananchi mashaka ya kiusalama na kuwahakikishia Amani na Utulivu wa kudumu waTanzania wote.

    Ama kwa hakika mmesimama vema na imara kwenye nafasi yenu, na mnatekeleza wajibu wenu wa kikatiba kwa weledi wa kiwango cha juu sana na kisasa zaidi. waTanzania wana imani kubwa na utendaji kazi wenu wa viwango, na baada ya taarifa yenu maalumu juu ya hali ya kiusalama nchini, imani ya wananchi...
  7. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kuna kitu kina nipa mashaka Mo foundation na jinsi kinamfanya kuwa billionaire

    Sio kwa wivu wala kwa ubaya hata matajiri wengi wemetumia foundation mfano marehemu mengi.Na wengine wanatumia mfumo wa foundation. Ila nimeona sio jambo zuri kuweka wazi ila kama unataka ukwepe kodi na kujipatia pesa nyingi hapa kuna tisha. Nachosema hapa ukifatilia mfano foundation utaona...
  8. Fbn

    JamiiForums Tanzania Napata mashaka na kampuni ya META na hii serikali yetu

    Hii kampuni hipo siku na kama siku mtakuja kusikia wamefikishwa mahakamani nchini mwao kuhusu wao na serikali ya CCM. Nacho furahi wenzetu hawa kurupuki wakija kukupeleka mahakamani A to Z wanazo.
  9. P

    JamiiForums Tanzania Askofu Dkt. Bagonza na nukta za mashaka

    Askofu huyu amekuwa mstari wa mbele kuonyesha kutofurahishwa na namna CCM na delegates yake inavyoongoza nchi hii akijinasibu kuwa mpenda haki! Na mimi kama mdau wa haki ninaungana nae mara kwa mara kumuunga mkono kwa maoni na hoja zake! Kitu ambacho huwa nashindwa kumuelewa ni yeye...
  10. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Nina mashaka na uungu wa Yesu. Inakuwaje Mungu anapigwa misumari msalabani na watu aliowaumba?

    Wengi wanapenda Kudai: "Yesu hajawahi kusema waziwazi kwamba yeye ni Mungu." Kisha wanachukua vifungu vichache kama: • "Hakuna aliye mwema ila Mungu peke yake." • "Siku ile na saa ile hakuna aijuaye ila Baba." Halafu wanahitimisha kwamba Yesu si Mungu. Lakini tatizo ni kwamba wanaangalia...
  11. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania Sio afya kwa serikali, Jeshi letu la Polisi linapotiliwa mashaka

    Kaka yangu Nape, mapema mwaka huu aliwahi kusema, kama serikali isipodhibiti matumizi ya nguvu dhidi ya raia, Siku moja wananchi watakikataa chama chetu. Kila mtu anaweza kuwa na mtazamo wake juu ya hili, lakini mimi napenda kuwakumbusha viongozi wangu uchaguzi wa 2010 Mbeya mjini kati ya Sugu...
  12. ngara23

    JamiiForums Tanzania Napata mashaka mno na CHADEMA, wamelegeza msimamo wao?

    Kwa ufahamu wangu japo mdogo naona chadema wameregeza kamba kwenye hoja na misimamo Yao Kwadababu 1. Kushangilia ushindi fake wa kuruhusuwa kufanya siasa. Naona mtandao viongozi wa Chadema wakifurahi mno. Hivi hawa akina Heche wanaona ati mahakama imewatendea haki?😂 2. Media tour ya Heche...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG: TEMESA imepata Hati Mbaya, Chama cha CUF kimepata Hati yenye mashaka

    Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), CPA Charles E. Kichere akisoma Ripoti ya ofisi yake ya Mwaka 2024/2025, leo Machi 30, 2026, Ikulu Dar es Salaam.
  14. R

    JamiiForums Tanzania Charles Kichere, Mkaguzi Mkuu CAG: CUF na NRA wamepata hati ya Mashaka, sikuweza kukagua hesabu za CHADEMA sababu ya kesi zao Mahakamani

    Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles E. Kichere akiwasilisha Ripoti za ukaguzi za kila Mwaka leo Machi 30, 2026 Ikulu Dar es Salaam " Kwa uapnde wa vyama vya siasa chama cha Civic united front (CUF) kimepata hati ya Mashaka na Nationai reconstruaction Alliance (NRA)...
  15. nzalendo

    JamiiForums Tanzania Tuna mashaka sana na Elimu yetu kwa sasa.

    Naam, ashakum si matusi inauma lakini yaweza kuwa dawa. Zamani mtu akimaliza darasa la saba alikuwa anakuwa na uwezo wa kukabiliana na changamoto zinazomzunguka, Naweza kuamini kwamba baadhi ya masomo kama vile Sayansi kimu,sanaa,michezo na kilimo yalikuwa ni sababu ya kuwaimarisha kimwili...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Video nyingine ya Netanyahu yamuonyesha akiwa salama salmini, wachambuzi waliodai kafa waikosoa ni video feki

    Wachambuzi wamedai video ni feki kwasababu Mbwa habweki,
  17. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Mafwele amendelea kutuhumiwa na utekaji

    Kutoka na ripoti na Kwa taarifa za kuaminik zisizo na mashaka kutoka BBC afisa wa juu wa jeshi la "Mafwele" ameendelea kutuhumiwa na utekaji
  18. Penguinelli Cactussini

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wahariri na waandishi wa makala za magazeti nyakati hizi nina mashaka na afya zenu za akili

    Zamani tulisoma magazeti ya kila siku kwa sababu wahariri na waandishi wa makala walikuwa wanaibua hoja nzito kwa manufaa ya jamii na kutoa elimu kwenye maandiko yao. Ila sasa hawa wa sasa hivi hata waliopo hapa Jamiiforums ni kama kasuku. Wamegeuka praise team na bahati mbaya sana hata ule...
  19. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Nchi hii tajiri, mtu asikutie mashaka, mambo yote yatakwenda

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 23, 2026 akiweka jiwe la msingi mradi wa Ujenzi Vituo vya Kusukuma Maji, Mabomba Makuu ya Usafirishaji Maji na Matanki ya Kuhifadhia Maji jijini Mwanza amesema kuwa Tanzania ni tajiri ndio maana kuna miradi inaendelea kila kona ya nchi, hivyo watu...
  20. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kuna jambo lina nipa mashaka ila kama litakuwa siri ila siku litakuwa wazi tu nchi hii.

    Serikali ikishaelekea kufeli ufanya njia yoyote kubaki madarakani. Na njia yoyote inaweza kuwa mbaya kwa nchi ila ikawa faida yao kwa mambo yao. Kukosekana kwa ajira nchini ,serikali inaweza kutumia mwanywa kuonesha inawapa watu ajira kumbe wanaenda kutumikia ajira za magendo. Kwa sasa nchi...
Back
Top Bottom