michongo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Nawezaje kuwa na marafiki wengi ili nipate michongo mingi ya pesa?

    Wanajamvi naomba ushauri wenu Kwa kuwa napitia kipindi kigumu kutokana na mfumo wa maisha yangu ni kama naisi unaniangusha au nina gundu naitaji kuondoa mkosi. Mimi sinywi pombe wala sivuti sigara wala bhangi sivuti Kwa ujumla Mimi si mtu wa mambo ya starehe na katika mfumo wa maisha...
  2. matunduizi

    Naanza kujawa na mashaka. Yawezekana haya mambo ya Iran/Israel ni michongo tu, tunachezewa akili na wakubwa

    Kabla chochote hakijafanyika wanaambiana. Hapa Iran anadai US anaomba Iran ijifanye kama inapigwa ili Israel ionekane iko vizuri au imejibu. Dunia ilipofika. Wawakilishi wa Iran, Russia, Ukraine, Israel, US na Ulaya wanaweza kukaa kikao sehemu mafichoni huku wanatrigger mambo duniani na media...
  3. Hermanx

    Sio lazima uajiriwe rasmi, kuna michongo hii unaweza kupiga ukaingiza hela kuliko aliyeajiriwa

    Wadau ni kweli kua wengi baada ya kumaliza masomo yetu vyuoni hua wengine tunakua hatuna connection so tunakaa kuwaza tutaanzia wapi na tutafanya kitu gani. Wengine tuaandaa CV nzuri na kuanza kutuma maombi ya kazi maeneo mbali mbali ambapo Mungu akinyoosha mkono wengine wanapata ajira za...
  4. Idugunde

    CCM mlizoea kufanya siasa za Michongo na CHADEMA ili wawalegezee na kuendekeza usanii. Wamekaza kiduchu tu mmesikia machungu

    Naona mwenyekiti wenu analalama kuwa haheshimiwi. Haheshimiwi vipi? Mlitaka wapinzani wakae kimya wakati wanaona kuna madudu? Mkataba wa bandari na usimamizi mbovu wa rasilimali za taifa zinawacost. Ukweli ni kuwa wamepata pa kuwashika.
  5. Pinda Nhenagula

    Naomba ushauri tafadhali

    Habari za muda huu nawapea pole na changamoto za hapa na pale wana JF wenzangu. Ndugu zangu mimi nimekuja na UZI huu kwa lengo la kupata ushauri. Nilikimbia nyumbani nikaenda Lindi, wilaya ya Kilwa lakn nikafika kwenye miji za wasukuma nikawaomba eneo la kulima UFUTA mwakani(2024) wakanipea...
  6. I

    Michongo Town

    Uzima upo wanaJamvi? Naomba kwa yeyote aliye tayari, tuungane week ijayo kuzunguka viwandani kutafuta KAZI Mimi naishi Dar es salaam Sina kazi kwasasa, Nahitaji mwenye nia kama yangu tuunge nguvu twende tukasake Ugali. Amani iwe Nanyi
  7. Saddie Omary

    Kozi gani ina michongo mingi kati ya Civil Engineering, Quantity survey na Geomatics?

    Wakuu kwema, Mimi ni muhitimu wa Diploma ya uhandisi madini (Mining Engineering) kutoka university of dodoma. Natamani kubadili upepo na kuongeza wigo mpana wa ujuzi kwa levo ya degree dirisha la mwaka huu likifunguliwa Inshaallah, katika moja kati ya kozi kama civil eng, Quantity survey na...
  8. sky soldier

    Fiverr & Upwork: Je, naweza kutengeneza account rapa za kununua na kujilipa huduma zangu na kujipigia promo kwenye reviews ili nipate michongo zaidi?

    Nataka nitengenez account kama 20 hivi za wanunuaji wa bidhaa wa fiverr, ntakuwa nalipia kupitia visa hizi za mpesa/ Airtel. Nataka niwe nanunua bidhaa zangu mwenyewe halafu najipongeza kwamba natoa huduma nzuri ili nijenge jina. Ntakuwa nacheza na Ip address tofauti kwa kila browser tofauti...
  9. GENTAMYCINE

    Yanga SC wanavyohangaika na Burudani za kuwa Mabingwa wa Michongo utadhani wamechukua Kombe la CAFCL au CAFCC

    Wakati wenye Akili tunajua kuwa mnaanzia hatua za Awali kabisa (za Wasiojua) kisha Mechi Moja tu mnarejea Kariakoo.
  10. M

    Washindi wa michongo pesa

    Habari za muda huu wanajamvi Nikijielekeza kwenye mada, nimekuwa nikisikiliza Clouds na hii bahati nasibu Yao Kwa kila kipindi. Changamoto ninayoiona hapo ni kwenye kupatikana Kwa mshindi na kumtangaza, ambapo mshindi huwa anatajwa Kwa namba chache za mwanzo au za Mwisho. Sasa najiuliza, mbona...
  11. Action and Reaction

    Jr. Farhan wa clouds fm mchambuzi wa michongo!

    Ndugu wananzengo mchumbuzi huyu sikuiz kashalevuka maana hana fact bali kajawa na mihisia kama ya mwanamke, leo ni siku aliyoipanga kwajili ya kimuinua mpuuz Zaka za Makazi ... dadeki eti hakuna afisa habar Tanzania kama wa Icecream Yaan unatuhamasisha twende tukafollow lipage la Kazikazini...
  12. B

    Spika Ndugai kaa na Mama Makinda akufunde, hukufundika vyema

    huyu jamaa siku hizi kama simwelewi yupo upande upi, inaonesha wakati anakabidhiwa usipka hakupata shule ya kutosha kabisa kutoka kwa bi mkubwa Makinda. mfano angalia hapo chini kauli 2 tofauti za JOB Ndugai 1: Bunge tunakupongeza Rais Samia kutuletea mkopo Trillion 1.3, hii ni boost kubwa...
  13. IslamTZ

    Tuwasemee na wale wengine wanaoozea mahabusu kwa 'ugaidi wa michongo'

    Mimi ni katika watu waliosikitishwa sana na kesi ya ugadi aliyobambikiwa Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe. Hii inaonesha suala la haki za raia lina mushkili sana. Fikiria kama inaweza kufanyika hivi kwa mtu mkubwa kama Mbowe, vipi hali zetu sisi wa kawaida? Hata hivyo, wakati tukishinikiza...
  14. N

    Shahidi wa michongo Afande Jumanne kuja na jipya lipi leo?

    Tunaona kila kitu kinavyoenda na kwa kweli sio mbaya kabisa kwani Mbowe akifungwa itakuwa ni chachu Zaidi ya mapambano kwani very soon we will see the right light! Leo Shahidi wa michongo Afande Jumanne anakuja kuendelea kutoa ushahidi wake wakati hata yeye anajua fika kuwa yeye ni Shahidi wa...
  15. Robert Heriel Mtibeli

    PhD ya michongo ni kubwa zaidi ya PhD ya darasani

    PhD. YA MICHONGO NI KUBWA KULIKO PhD YA DARASANI. Na. Robert Heriel. PhD ya michongo ni degree ya heshima ambayo mtu hafundishwi na mtu isipokuwa maisha. Mkufunzi mkubwa wa PhD ya michongo ni maisha, PhD hii ina coursework na thesis papo hapo Kwa pamoja. Ogopa mtu mwenye PhD ya michongo huyu...
  16. T

    Kisiasa, kisheria nini maana ya neno 'MICHONGO'?

    Mara nyingi nilikuwa nasikia kwa vijana vijiweni Luna mchongo pale. Nikaja kusikia mgombea Fulani anawambia vijana nitawapa michongo. Jana nimesikia mahakamani Michongo. Nini maana halisi ya neno Michongo? Je, ina athali kisheria kutumia neno hilo kwa shahidi awapo mahakamani?
  17. Mtamba wa Panya

    Uzi wa kupeana michongo ya 'kuzamia' nchi za ng'ambo

    Habari, Huu ni uzi wa vijana tunaopenda safari, namaanisha kuzamia nchi za Ulaya na America bila kusahau Japan na Australia. Lengo Ni kusaidiana kama watanzania ili kuwezesha wengi zaidi kutimiza ndoto zao za kuishi "mambele mbele" a.k.a duniani.. Tuambie upo chimbo gani na taratibu za...
  18. jitombashisho

    Uchaguzi 2025 itakuwa ni CCM na kivuli cha Hayati Magufuli

    Kama lipo eneo Magufuli aliwa-win wabongo ni kuwaaminisha kwanza Tanzania ni Nchi tajiri huko akitolea mifano akiba ya rasilimali tulizonazo na zaidi akiwaachia uhuru usiyo na mipaka walalahoi kufanya lolote lile wanalotaka huku akitoa amri ya wasifanywe lolote. Rejea machinga. Sasa,kwa...
  19. MUTUYAMUNGU

    Mliopo Mafinga tupeane michongo ya kazi za viwandani

    Ndugu zetu mliopo Mafinga tunaomba mtupe connection ya kazi za viwandani huko. Mtuambie viwanda vilivyopo na malipo yake kwa kila kiwanda. Pia kama nafasi zipo tunaomba mtushirikishe na sisi. Huku mjini njaa ni kali sana.
  20. k-bee

    Vijana tupeane michongo

    Habari gan wadau? Kitambo nlipotea ila nilikuwa na michongo flan naipiga so nlikuwa bize kidogo...! Tatizo la VIJANA sisi ni wagumu kupeana michongo. Ni hivi kuna ishu kama mbili tatu nlikuwa nazifanya ambazo now napiga mpunga tararibu ISHU hizo ni kama zifuatazo 1) FOREX...Ni kweli sema...
Back
Top Bottom