Watu kuingia Uwanjani bure ni kuhamasisha uvivu wa kitaifa

Hakika, Bora waingie watu 5000 kwa malipo kuliko kuingiza watu 40,000 wasio na faida.
Unakuta timu inashambuliwa wanakaa kimya kama vile hawapo.

Yanga waache haya mambo wanawalemaza mashabiki wao.
Naamini kwa wanavyopendwa sasa hata wangesema 10K kwa mzungukp bado wangejaza watu.
Hii ni kufanya uwanja kuwa kama kokoro. Wezi, vibaka, mashabiki, wanaokuja kushangaa etc

Yaani ile commitment na consistency ya ushabikiaji haiwezi kuwepo. Ni mkakati mbaya.
 
Sasa hapo una anzisha vita ya wazi kabisa kwa uto..wakianza kuku popoa mawe sie tutakuwa wapenzi wasomaji tu japo umeongea ukweli.
 
Tabia ya watu kuingia uwanjani bure kuangalia Match ambayo walipaswa kulipia ni kuhamasisha uvivu wa kitaifa.

Mentality za ubure ni mentality za kuhamasisha umasikini. Watu wazoezwe kuwajibikia na kughalimikia burudani zao.

Ni hilo tu
Mboni kuna mpaka maporini ya bure webwana unataka kusemaje?
 
IMG-20240328-WA0010.jpg

Ukitazama vzr utagundua nibora mzunguko ufanye Bure tu, huwez sema had kesho zitafika 💯%
 
Tabia ya watu kuingia uwanjani bure kuangalia Match ambayo walipaswa kulipia ni kuhamasisha uvivu wa kitaifa.

Mentality za ubure ni mentality za kuhamasisha umasikini. Watu wazoezwe kuwajibikia na kughalimikia burudani zao.

Ni hilo tu
sahihi tupu
 
Hakika, Bora waingie watu 5000 kwa malipo kuliko kuingiza watu 40,000 wasio na faida.
Unakuta timu inashambuliwa wanakaa kimya kama vile hawapo.

Yanga waache haya mambo wanawalemaza mashabiki wao.
mashabiki wao hawana hela watafanyaje sasa 😂
 
Hakika, Bora waingie watu 5000 kwa malipo kuliko kuingiza watu 40,000 wasio na faida.
Unakuta timu inashambuliwa wanakaa kimya kama vile hawapo.

Yanga waache haya mambo wanawalemaza mashabiki wao.
Wasio na faida??? hakikisha unasomesha watoto bro, wasije kuwa kama wewe
 
Back
Top Bottom