kutajirika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kambi ya Fisi

    Mashabiki wote wa Yanga mnaoamini kuwa April 20 Simba Watapigwa tumieni hii fursa ya kutajirika

    Ni muda wa kuweka kando tambo za Kimaskini , ni muda wa kuachana na ufukara. Tukutane kwa khanjbay tupige hela, sio hela ya kitoto, tutapiga hela ndefu huku tukishangilia kono la nyani lililotutoa kwenye ufukara. Enyi madogo, Frank Wanjiru, Labani og, Half american na wengineo tumieni fursa...
  2. matunduizi

    Vitu vya kuanza navyo kuchochea safari ya kutajirika mapema

    Pesa inayokutajirisha ni ile inayogeuka kama chambo ya kunasa pesa zaidi. Kuna mambo unayotakiwa kuyadhibiti kabla hujakurupukia ndoto za utajiri. Mambo ambayo yatakusababisha kila kinachoingia kiingie ili kilete pesa zaidi 1: Chakula Hakikisha una mfumo imara wa kula tena kula vizuri...
  3. wanzzuki

    Je, inawezekana kutajirika kupitia kubeti kwenye michezo?

    Kwenye makampuni mengi ya kubeti kuna hii kitu inaitwa jackpot ambapo kwa pesa yako kidogo tu utakayoweka unaweza kuondoka na mamilioni ya fedha. Sasa na mimi nataka niingie mazima kwenye kubeti soka ila kabla sijaingia naomba niwaulize, hivi inawezekana kweli kwa buku tu mtu akashinda jackpot...
  4. B

    Je, kuna mtu alishawahi kutajirika kwa kubashiri?

    Hakuna atakayetajirika kwa kubashiri tuseme ukweli. Ndio, unaweza kushinda wakati mwingine, lakini ukijaribu kutafuta njia ya kupata utajiri kupitia michezo ya kubashiri sio! Ni njia nzuri ya kupata umasikini ikiwa wewe ni tajiri. Unatakiwa kuchukulia michezo ya kubashiri kama jambo la...
  5. B

    Je, kuna mtu alishawahi kutajirika kwa kubashiri

    Hakuna atakayetajirika kwa kubashiri tuseme ukweli. Ndio, unaweza kushinda wakati mwingine, lakini ukijaribu kutafuta njia ya kupata utajiri kupitia michezo ya kubashiri sio! Ni njia nzuri ya kupata umasikini ikiwa wewe ni tajiri. Unatakiwa kuchukulia michezo ya kubashiri kama jambo la...
  6. matunduizi

    Kwanini Graduate huwezi kutajirika kwa kukimbilia kijijini. Ni kujizika

    Utajiri ni watu. Ni rahisi kutajirika ukiwa kwenye watu wengi kuliko ukiwa mwenye porini eti unatafuta maisha. Vijijini ni kwenda kuchukua mali ili uzitele kwa watu wengi utajirike. Ukiwa msomi graduate halafu ukakata network na kukimbilia kijijini porini eti kutafuta maisha na utajiri...
  7. Hyrax

    Naomba kufahamu tofauti ya Kutajirika na Kufanikiwa

    Haya maneno mawili yananichanganya kidogo naomba mwenye uelewa aniandikie hapa nijifunze Kufanikiwa si ndio kutajirika huko au kutajirika ndio kufanikiwa kwenyewe mi sielewii.
  8. BARD AI

    Wakili: Deni la Membe kwa Musiba liko palepale

    Wakili Jonathan Mdeme, aliyekuwa akimwakilisha mwanasiasa mkongwe nchini Tanzania, Bernard Membe (69) kwenye kesi dhidi ya mwanahabari Cyprian Musiba, amesema deni la waziri huyo wa zamani wa mambo ya nje kwa Musiba liko palepale na msimamizi wa mirathi ataendelea alipoishia. Membe ambaye...
  9. Stuxnet

    Ripoti za CAG na Ufisadi: Ni kipindi cha TAKUKURU kutajirika

    Majuma 2 yaliyopita yalitawaliwa na mijadala ya ufisadi kutoka kwenye ripoti ya CAG kwa mwaka 2021/22. Sina haja ya kuingia ndani kuhusu ni nani wanahusika na ni fedha kiasi gani wamepiga. Kwanza nawapongeza CAG na timu yake kwa kufanya kazi ILIYOTUKUKA. Inawezekana katika Taasisi za kujivunia...
  10. Mtu Asiyejulikana

    Kisa cha Rafiki yangu Kutajirika na Kufariki kinahuzunisha

    Jamaa tulimaliza naye shule mwaka 1996 form four. Mimi nikaendelea na masomo na kufanikiwa kumaliza chuo. Nlikuja kutana nate tena mwaka 2003 akiwa anahangaika na maisha kwa kufanya biashara ndogo ndogo. Aliendelea nazo mpaka mwaka 2019 ambapo maisha yake yalibadilika sana. Akaja kuwa na pesa...
  11. N

    Bashe: Wananchi acheni kulima kwa Twitter na WhatsApp

    Leo waziri wa kilimo Hussein Bashe amezungumza na waandishi wa habari amewasihi vijana wanaofikilia kulima kilimo kwenye mitanzandao ya kijamii waache mara moja "Tunatoa uelewa acheni kulima kwa Twitter na WhatsApp, hakuna mtu anayeweza kukuambia lete milioni 10 na baada ya mwezi utapata 15...
  12. chiembe

    Kupanda kwa bei ya mazao iwe fusra ya kuwekeza kwenye kilimo

    Ni wazi Sasa kwamba,utajiri uko shambani, kupaa kwa bei ya mazao iwe alama ya kijani ya kutuelekeza turudi shambani, na tuwekeze katika kilimo. Mtu amekaa mjini anasubiri mwenzake wa shamba aingie gharama kulima, halafu aje amuuzie mazao kwa bei nafuu! Huko huko mjini, wa Kijijini wakija...
  13. Kiboko ya Jiwe

    Sasa ni wakati wa wafanyabiashara wakubwa (Wawekezaji) kutajirika kwa ukwasi wa mabilioni ya wajinga

    Habari! Neno mjinga halina uhusiano na matusi. Ni mtu asiyejua kitu kuhusu jambo husika. Kwahiyo kwakuwa Watanzania wengi hawajui yanayoendelea katika nchi yao kutokana na kukosekana kwa uwazi ndani ya shughuli za kiserikali basi ni vyema tutumie msamiati huu wa WAJINGA. Walipopiga hesabu na...
  14. Robert Heriel Mtibeli

    Tanzania ukitaka kutajirika wekeza kwa wajinga na masikini

    TANZANIA UKITAKA KUTAJIRIKA WEKEZA KWA WAJINGA NA MASIKINI. Anaandika Robert Heriel, Mtibeli. Taikon Leo sina mengi maneno. Leo ni Kwa wale wanaopenda kuwa na pesa lakini hawaelewi wazipataje. Taikon sio mchoyo wa maarifa hilo hata ninyi ni mashahidi. Haya nilisema sina maneno mengi, turudi...
  15. V

    SoC02 Mambo ya kuzingatia ili kuweza kutajirika kwa kuwekeza kwenye soko la hisa

    Muhtasari: Dhumuni la nakala hii ni kuelimisha jamii kuhusiana na kanuni za kuzingatia ili kuweza kutajirika kwa kuwekeza kwenye soko la hisa. Pia, kutoa hamasa kwa vijana na wajasiriamali mbalimbali kukuza mitaji na utajiri kwa kuwekeza kwenye soko la hisa la Dar es Salaam...
  16. Masokotz

    General Commercial Company inawezaje kukusaidia kutajirika?

    General Commercial Company ni aina ya kampuni ambayo husajiliwa kwa minajili ya kufanya shughuli yoyote ile halali ya kuweza kukuingizia PESA, iwe kuwekeza, kukopa, kukopesha, kuzalisha, kuuza, kununua etc. Kwa kawaida unachotakiwa ni kuhakikisha kwamba unachofanya ni halali na unakifanya kwa...
  17. Makirita Amani

    Hivi Ndivyo Unavyoweza Kutajirika Kwa Kuanza Na Shilingi Elfu Moja

    Moja ya sababu kubwa ambayo watu wengi husema kwamba inawazuia kufanya biashara ni mtaji. Mimi huwa nakataa sana sababu hii kwa sababu haiwezekani leo huna mtaji, mwaka kesho huna mtaji na hata miaka mitano ijayo huna mtaji. Nasema mtaji ni kigezo tu ambacho watu wengi hutumia kuficha...
Back
Top Bottom